chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,007
- 20,683
Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye.
Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena.
CCM bado Wana fursa ya kujifunza kupitia historia.
Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena.
CCM bado Wana fursa ya kujifunza kupitia historia.