Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru Hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,450
147,171
Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM kwa masomo ya Masters ambapo ametunukiwa Shahada hiyo jana na mh Mizengo Pinda

Ridhiwani Kikwete amesema Mkapa ndiye aliyemshawishi kusoma Shahada hiyo ya Diplomasia na kana Kwamba haitoshi alimlipia na Ada kabisa Hapo Ridhiwani Kikwete alikuwa ni Mbunge wa Chalinze tayari

Source: Mwananchi
 
Ni sawa Tu , watoto wa vigogo na hao ndio watoto wenyewe, ukisikia mfumo ndio huo sasa kama hamko ktk huo utaichukia ccm na Tanzania

NB : kuna mifmo miwili. 1.ndani ya chama ccm na 2..ndani ya serikali
Kama haupo jipange ila. wapo walio ktk mfumo wanakula hata wakiwa wapinzani
 
Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM kwa masomo ya Masters ambapo ametunukiwa Shahada hiyo jana na mh Mizengo Pinda

Ridhiwani Kikwete amesema Mkapa ndiye aliyemshawishi kusoma Shahada hiyo ya Diplomasia na kana Kwamba haitoshi alimlipia na Ada kabisa Hapo Ridhiwani Kikwete alikuwa ni Mbunge wa Chalinze tayari

Source: Mwananchi
Baba fisadi mama kahaba mtoto anauza ngada ni wimbo mtamu sana..
 
Back
Top Bottom