Mzee Kinana afungua Semina ya mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,076
Makamu mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana leo amefungua Seminar ya mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM.

Komredi Kinana amewataka Wajumbe hai Kuwa Wabunifu na Wazalendo wa kweli ili kukifanya Chama kiaminike kwa wananchi na kiendelee Kuwa Imara.

K1.jpg

 
Yuko kwenye mikutano ya climate change huko Duniani
Ukisema tu Climate change wengine wanaona janga la dunia. Kwa sura ya nje ni kama jambo jema lakini subiri itakapokuja "Climate Lockdown" hapo ndo kutakuwa na kusaga meno na kulia. Yetu macho!!!!!
 
Back
Top Bottom