Fernando Wolle
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 387
- 764
Mapokezi ya Mh. comrade Paul Makonda yameibua mijadala mbalimbali hapa Bongo. Huku wengine Wakimponda na wengine kumsifia.
Binafsi naungana na Makonda hasa kwenye Kauli yake ya kwamba Tanzania hakuna Upinzani Kuna Watoa Taarifa tu.
Ukitaka kujua Upinzani Tanzania hakuna, chunguza tu mijadala yao. Kwanza hakuna agenda maalum wao wanategemea kudakia dakia tu visentensi.
Hakuna agenda ambayo iko focused, ikitokea ajali mambo yote wanasahau wanajadili ajali, ikitokea kiongozi kafumaniwa basi mjadala utajikita kwenye suala la fumanizi ni kwamba hakuna hoja, hakuna agenda, hakuna Upinzani ila taarifa tu ndio zinazotolewa.
Kwa Sasa Upinzani haujielewi hawajui wazungumze Nini zaidi sana Wana kazi ya kumponda Makonda tu. Hiyo kitu haitasaidia hata kidogo.
Ndio maana mnadharaulika. Wapinzani kwa Sasa hawana hata nguvu ya kuzungumzia Ufisadi maana walikuwa wanatetea Ufisadi kipindi Cha Magufuli kwa mwamvuli wa Haki za binadamu. Hapa ndio naamini Kuna Watoa taarifa sio Wapinzani.