Tuwe Wakweli, kwa Katiba Hii ya 1977 Rais wa JMT ana Nguvu kuliko CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,141
Ipo dhana kwamba kwa sababu Rais wa JMT ni Mwanachama wa Chama cha Siasa basi Chama chake kilichompitisha ndio kina Nguvu ya mwisho

Hii siyo kweli, Chama kinakuwa na Nguvu kabla Rais hajaapishwa, akishaapishwa Hapo hakunaga wa kumzidi

Nyerere alisema Katiba Hii inaweza kumfanya Rais kuwa " mungu mtu" lakini hakusema inaifanya CCM kuwa mungu mtu

Nawatakia Majilio Yenye Baraka 😀
 
Nawatakia Majilio Yenye Baraka
Hayo maneno aliyasema baada ya yeye kutoka kudadek
 
Ila Kumbuka Rais Huyo Ndio Mwenyekiti wa CCM

Uwezi mtenganisha Rais wa Tanzania na CCM kwa maana kote ni Head

Imagine CCM ingekua na mwenyekiti mwingine nje ya Rais ( kungekua na Mgogoro usio wa kawaida)
 
Mwenyekiti wa CCM Nje ya uRais hana Nguvu yoyote

Mwanzoni mwa 2016 ilijaribiwa pale Lumumba na JK akatengenezewa ofisi nzuri lakini haikuwezekana!
 
Haha ila mwisho wa Siku tukubali CCM ni Dubwana 😀

Hata Jp waliomnyima usingizi awakua Chadema Wala wapiga kura bali kikundi kidogo kilichopo CCM ( waafidhina)

Mifumo hii yetu ukifwatilia bila upendeleo imejaa Itikadi ya Ccm
Hivi wale maafisa wanavaa suti pale CC wanatokaga chombo gan?

Bonyeza nyota kupata Nyimbo Hii ( CCM mbele mbele)

GM
 
Nakuhakikishia sio kweli, CCM ni zaidi ya chama cha siasa. CCM ndio baba wa dola, ndio baba wa serikali. Wakidhamiria kumwondoa wanamwondoa.

Yes, kuna hatari yake ya kujaribu kufanya hivyo, lakini tumeshaona vyama vinavyofanana na CCM kama vile ZANU-PF wakifanya na kufanikiwa.

Katika hali ya kawaida sitegemei chama kujaribu kufanya hivyo, lakini kama uhai wa taifa uko hatarini, kwa mfano serikali ikitaka kuvunja muungano, basi amini usiamini anaondolewa vizuri tu.

You have the power as long as the people (especially the military and intelligence services ) agrees to grant you that power. They can take it away. CCM iko huko kote.
 
Haha ila mwisho wa Siku tukubali CCM ni Dubwana 😀

Hata Jp waliomnyima usingizi awakua Chadema Wala wapiga kura bali kikundi kidogo kilichopo CCM ( waafidhina)

Mifumo hii yetu ukifwatilia bila upendeleo imejaa Itikadi ya Ccm
Hivi wale maafisa wanavaa suti pale CC wanatokaga chombo gan?

Bonyeza nyota kupata Nyimbo Hii ( CCM mbele mbele)

GM
Mhafidhina aliyebaki CCM ni Wassira pekee kwa sasa!
 
Magufuli alionyesha nguvu ya urais dhidi ya taasisi zote ndani ya Tanzania,aliweka mfukoni bunge,mahakama ,majeshi yote mpaka wananchi wakawa wanaimba nyimbo za kumsifu na kumwabudu. Mbona umesahau mapema sana kaka Yohana?

Bibi Samia ameshaonja utamu wa madaraka na amekua sio kama yule mnyenyekevu wa kipindi kile ametoka kuapishwa. Atamvutuga au kumuumiza mtu yeyote ambaye atataka kumpora Keki ya urais nje au ndani ya chama .
 
Ipo dhana kwamba kwa sababu Rais wa JMT ni Mwanachama wa Chama cha Siasa basi Chama chake kilichompitisha ndio kina Nguvu ya mwisho

Hii siyo kweli, Chama kinakuwa na Nguvu kabla Rais hajaapishwa, akishaapishwa Hapo hakunaga wa kumzidi

Nyerere alisema Katiba Hii inaweza kumfanya Rais kuwa " mungu mtu" lakini hakusema inaifanya CCM kuwa mungu mtu

Nawatakia Majilio Yenye Baraka
Mtajitafuna mpaka mtachoka. Njia pekee ya Rais au serkali kuwa juu ya Chamatawala ni kwenye Katiba ya Chama Kimoja. Anayepata ridhaa ya Wananchi ni Chama, kwa Ilani yake. Rais hana kitu zaidi ya kile alichotumwa na Chama. Makonda yuko 100% sawa anapoagiza Serkali itekeleze Ilani ya Chama. Kama hampendi Chama kusimamia Ilani yako basi turudini enzi za Chama Kimoja.
 
Back
Top Bottom