Serikali iwalipe fidia watanzania wanaopata madhara wakiwa wanahojiwa na polisi. Ni wangapi ni vilema mpaka sasa kwa kipigo ?

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu!

Jeshi la polisi halina mbinu nyingine ya kipelelezi lazima watumie virungu? Interjensia inayosemwa kila siku iko wapi ? Watu wanavunjwa kende anatoka polisi ni hanithi, na asilimia kubwa ya hawa wanaovunjwa miguu ni watoto wa maskini wasio na kitu ,ni wale wanaotuhumiwa tu na bado mahakama haijathibitisha kama ni kweli wengi wao ni wenye vikesi vidogo vidogo ,kama kukutwa anakunywa gongo ,kutembea usiku ,wizi wa simu au vibaka na wadokozi wa vimiamia.

Lakini huko serikalini tunasikia mafisadi na wezi wa mabilioni na mabilioni ,hawaguswi hata na ncha ya njiti ya kiberiti ,wale wanaomiliki ardhi mahekali na mahekali kwa njia za utapeli wapo tu na mavx mitaani ,kwanini viongozi wa juu hawataki kufuatilia kinachotendeka vituo vya polisi ?

Waziri Masauni umewahi kufanya tathmini ya walemavu walioupata ulemavu wao wakiwa wanahojiwa na polisi? Ni lini sheria itatungwa ya kumlinda raia na uonevu wa polisi na watapataje fidia pale wanapopata ulemavu wakiwa kwenye vituo vya polisi?

Tafadhali kama kuna mtu sasa anaweza kuwa miongoni mwa wahanga wa mateso ya polisi wakiwa centre police tuungane kudai haki ya kulipwa fidia ,wanasheria wawasaidie waathirika waliosababishiwa ulemavu na polisi na hawana la kufanya ,wakati mwingine maisha ya polisi yanakuwa magumu sana kwa sababu ya laana za wananchi ,tuamke polisi sio miungu!
 
Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu! Jeshi la polisi halina mbinu nyingine ya kipelelezi lazima watumie virungu? Interjensia inayosemwa kila siku iko wapi ? Watu wanavunjwa kende anatoka polisi ni hanithi, na asilimia kubwa ya hawa wanaovunjwa miguu ni watoto wa maskini wasio na kitu ,ni wale wanaotuhumiwa tu na bado mahakama haijathibitisha kama ni kweli wengi wao ni wenye vikesi vidogo vidogo ,kama kukutwa anakunywa gongo ,kutembea usiku ,wizi wa simu au vibaka na wadokozi wa vimiamia ,lakini huko serikalini tunasikia mafisadi na wezi wa mabilioni na mabilioni ,hawaguswi hata na ncha ya njiti ya kiberiti ,wale wanaomiliki ardhi mahekali na mahekali kwa njia za utapeli wapo tu na mavx mitaani ,kwanini viongozi wa juu hawataki kufuatilia kinachotendeka vituo vya polisi ? Waziri Masauni umewahi kufanya tathmini ya walemavu walioupata ulemavu wao wakiwa wanahojiwa na polisi? Ni lini sheria itatungwa ya kumlinda raia na uonevu wa polisi na watapataje fidia pale wanapopata ulemavu wakiwa kwenye vituo vya polisi? Tafadhali kama kuna mtu sasa anaweza kuwa miongoni mwa wahanga wa mateso ya polisi wakiwa centre police tuungane kudai haki ya kulipwa fidia ,wanasheria wawasaidie waathirika waliosababishiwa ulemavu na polisi na hawana la kufanya ,wakati mwingine maisha ya polisi yanakuwa magumu sana kwa sababu ya laana za wananchi ,tuamke polisi sio miungu!
Unavunjwa mguu badae unaachiwa huna hatia.......watu watalaaniwa sana
 
Watanzania asilimia 90 wana sick-mind kama hii ya kwako ndiyo maana Taifa limefika hapa lilipo.

Serikali inayosimamia mateso kwa raia wake kwa kutumia vyombo vyake vya dola kama vile polisi unawezaje kuwaambia walipe fidia kwa raia wanaoumizwa?!Wewe hujui ya kwamba jeshi la polisi lipo chini ya serikali iliyopo madarakani na kila kitu wanachofanya kina baraka zote za Serikali hiyo?!

Solution hapa ni Serikali ya CCM kuondoka madarakani mara moja tena bila shuruti yoyote ile kutoka kwa wananchi kwa sababu serikali hii imeshindwa kusimamia haki zetu ndani ya miaka 60 ya uhuru.Wewe unaipaka mafuta kwa mgongo wa chupa ukifikiri kuwa ndiyo itasimamia haki zetu?What an ill-minded!!
 
Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu!

Jeshi la polisi halina mbinu nyingine ya kipelelezi lazima watumie virungu? Interjensia inayosemwa kila siku iko wapi ? Watu wanavunjwa kende anatoka polisi ni hanithi, na asilimia kubwa ya hawa wanaovunjwa miguu ni watoto wa maskini wasio na kitu ,ni wale wanaotuhumiwa tu na bado mahakama haijathibitisha kama ni kweli wengi wao ni wenye vikesi vidogo vidogo ,kama kukutwa anakunywa gongo ,kutembea usiku ,wizi wa simu au vibaka na wadokozi wa vimiamia.

Lakini huko serikalini tunasikia mafisadi na wezi wa mabilioni na mabilioni ,hawaguswi hata na ncha ya njiti ya kiberiti ,wale wanaomiliki ardhi mahekali na mahekali kwa njia za utapeli wapo tu na mavx mitaani ,kwanini viongozi wa juu hawataki kufuatilia kinachotendeka vituo vya polisi ?

Waziri Masauni umewahi kufanya tathmini ya walemavu walioupata ulemavu wao wakiwa wanahojiwa na polisi? Ni lini sheria itatungwa ya kumlinda raia na uonevu wa polisi na watapataje fidia pale wanapopata ulemavu wakiwa kwenye vituo vya polisi?

Tafadhali kama kuna mtu sasa anaweza kuwa miongoni mwa wahanga wa mateso ya polisi wakiwa centre police tuungane kudai haki ya kulipwa fidia ,wanasheria wawasaidie waathirika waliosababishiwa ulemavu na polisi na hawana la kufanya ,wakati mwingine maisha ya polisi yanakuwa magumu sana kwa sababu ya laana za wananchi ,tuamke polisi sio miungu!
Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu!

Jeshi la polisi halina mbinu nyingine ya kipelelezi lazima watumie virungu? Interjensia inayosemwa kila siku iko wapi ? Watu wanavunjwa kende anatoka polisi ni hanithi, na asilimia kubwa ya hawa wanaovunjwa miguu ni watoto wa maskini wasio na kitu ,ni wale wanaotuhumiwa tu na bado mahakama haijathibitisha kama ni kweli wengi wao ni wenye vikesi vidogo vidogo ,kama kukutwa anakunywa gongo ,kutembea usiku ,wizi wa simu au vibaka na wadokozi wa vimiamia.

Lakini huko serikalini tunasikia mafisadi na wezi wa mabilioni na mabilioni ,hawaguswi hata na ncha ya njiti ya kiberiti ,wale wanaomiliki ardhi mahekali na mahekali kwa njia za utapeli wapo tu na mavx mitaani ,kwanini viongozi wa juu hawataki kufuatilia kinachotendeka vituo vya polisi ?

Waziri Masauni umewahi kufanya tathmini ya walemavu walioupata ulemavu wao wakiwa wanahojiwa na polisi? Ni lini sheria itatungwa ya kumlinda raia na uonevu wa polisi na watapataje fidia pale wanapopata ulemavu wakiwa kwenye vituo vya polisi?

Tafadhali kama kuna mtu sasa anaweza kuwa miongoni mwa wahanga wa mateso ya polisi wakiwa centre police tuungane kudai haki ya kulipwa fidia ,wanasheria wawasaidie waathirika waliosababishiwa ulemavu na polisi na hawana la kufanya ,wakati mwingine maisha ya polisi yanakuwa magumu sana kwa sababu ya laana za wananchi ,tuamke polisi sio miungu!
Huna kazi ya kufqnya mpaka utake kufundisha jeshi mbinu za ufanyaji kazi? Ingia kwenye 18 halafu uwafundishe huko huko ukiwa ndani
 
Naunga mkono hoja.
 
Watumie mbinu Kama za CIA kupata taarifa kutoka kwa mshukiwa, hauvunjwi mifupa wala nini ila unapigwa waterboarding ndani ya dk 30 mpaka unaongea Kila kitu au unawekwa kwenye chumba chenye baridi kali au unanyimwa usingizi zaidi ya masaa 100.
 
Back
Top Bottom