Huenda Vice President Dkt. Phillip Mpango alikuwa kwenye shambulizi la hatari, akafichwa mahali. Hii ndio maana ya "Alikuwa kwenye kazi maalumu"

Uzima Tele

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
1,221
2,665
Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini.

Baada ya muda, eti serikali inajitokeza na kudai kuwa VP alikuwa mahali fulani (hapatajwi) na alikuwa kwenye kilichopewa jina la "kazi maalumu" isiyotajwa.

La kujiuliza ni hili kuwa, hivi, ni kazi gani maalumu yenye maslahi kwa nchi hii isiyo na jina aliyokwenda kufanya VP kwa siku 30..?

Kinachofanya tujiulize swali hili ni wajihi na mwonekano wa VP baada ya kujitokeza. Anaonekana ni mtu mnyonge sana. Ni mtu mwenye mawazo mengi (troubled person). Ni kama vile kweli alikuwa anaumwa na labda alikuwa anapata matibabu sehemu.

Lakini kama alikuwa anaumwa na alikuwa anapata matibabu sehemu fulani hapahapa nchini au nje ya nchi, iweje taarifa za kuumwa kwake ziwe siri?

Kwanini haisemwi alikuwa anaumwa badala yake tunaambiwa alikuwa kwenye kazi maalumu? Kunafichwa nini?

Kuumwa mtu (kiongozi VP akiwemo) hakuwezi kufichika jamani. Ambacho si lazima kijulikane ni ugonjwa anaoumwa mtu. Hili linaweza kufichwa na haina shida yoyote...

Kuna hisia kali zinazoweza kuthibitika muda si mrefu kuwa lipo tatizo huko serikalini. Kuna Kila viashiria kuwa huyu mtu alikuwa hatarini na aidha alifichwa au alijificha mahali mwenyewe (Kwa ruhusa ya deep state) ili kujiokoa..!

Lakini kwanini kiongozi mkuu wa level ya VP awe hatarini? Kuna nini ndani ya serikali hii?

Wakati utasema tu, TUSUBIRI.
 
Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini...

Baada ya muda, eti serikali inajitokeza na kudai kuwa VP alikuwa mahali fulani (hapatajwi) na alikuwa kwenye kilichopewa jina la "kazi maalumu" isiyotajwa..

La kujiuliza ni hili kuwa, hivi, ni kazi gani maalumu yenye maslahi kwa nchi hii isiyo na jina aliyokwenda kufanya VP kwa siku 30..?

Kinachofanya tujiulize swali hili ni wajihi na mwonekano wa VP baada ya kujitokeza. Anaonekana ni mtu mnyonge sana. Ni mtu mwenye mawazo mengi (troubled person). Ni kama vile kweli alikuwa anaumwa na labda alikuwa anapata matibabu sehemu...

Wakati utasema tu, TUSUBIRI...
Wenye kumpa kazi maalumu ni sisi tunaomlipa iweje tusijue mtumishi wetu aliko?
 
Kwa mdomo wake anasema alipofika alikimbilia kanisani kumshukuru Mungu.
☺☺☺☺☺☺☺☺☺☺
Alikuwa kwenye hatari. Mungu Yehova kamwokoa. Ni muhimu kukimbilia nyumbani mwa Bwana kumshukuru..

Swali linabaki kuwa, walitaka kumfanya nini huyu mzee wa watu? Mbona ni humble sana na anaonekana kabisa kuwa hana shida na mtu yeyote?

Au ndiye anapigiwa upatu mwaka 2025 kushika mikoba ya CCM na hivyo wezi na walafi wa madaraka wanataka kumtoa kwenye picha?
 
Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini...

Baada ya muda, eti serikali inajitokeza na kudai kuwa VP alikuwa mahali fulani (hapatajwi) na alikuwa kwenye kilichopewa jina la "kazi maalumu" isiyotajwa..

La kujiuliza ni hili kuwa, hivi, ni kazi gani maalumu yenye maslahi kwa nchi hii isiyo na jina aliyokwenda kufanya VP kwa siku 30..?

Kinachofanya tujiulize swali hili ni wajihi na mwonekano wa VP baada ya kujitokeza. Anaonekana ni mtu mnyonge sana. Ni mtu mwenye mawazo mengi (troubled person). Ni kama vile kweli alikuwa anaumwa na labda alikuwa anapata matibabu sehemu...

Lakini kama alikuwa anaumwa na alikuwa anapata matibabu sehemu fulani hapahapa nchini au nje ya nchi, iweje taarifa za kuumwa kwake ziwe siri?

Kwanini haisemwi alikuwa anaumwa badala yake tunaambiwa alikuwa kwenye kazi maalumu? Kunafichwa nini?

Kuumwa mtu (kiongozi VP akiwemo) hakuwezi kufichika jamani. Ambacho si lazima kijulikane ni ugonjwa anaoumwa mtu. Hili linaweza kufichwa na haina shida yoyote...

Kuna hisia kali zinazoweza kuthibitika muda si mrefu kuwa lipo tatizo huko serikalini. Kuna Kila viashiria kuwa huyu mtu alikuwa hatarini na aidha alifichwa au alijificha mahali mwenyewe (Kwa ruhusa ya deep state) ili kujiokoa..!

Lakini kwanini kiongozi mkuu wa level ya VP awe hatarini? Kuna nini ndani ya serikali hii?

Wakati utasema tu, TUSUBIRI...
Mzee wa msoga alijitahidi kuwa muwazi alipofanyiwa operesheni ya tezi dume.
Na sote tulishiriki kumuombea apone haraka.
 
Alikuwa kwenye hatari. Mungu Yehova kamwokoa. Ni muhimu kukimbilia nyumbani mwa Bwana kumshukuru..

Swali linabaki kuwa, walitaka kumfanya nini huyu mzee wa watu? Mbona ni humble sana na anaonekana kabisa kuwa hana shida na mtu yeyote?

Au ndiye anapigiwa upatu mwaka 2025 kushika mikoba ya CCM na hivyo wezi na walafi wa madaraka wanataka kumtoa kwenye picha?
Washachungulia watu, wakapata majawabu
 
Story za Jaba...

Acha bange
Ulivyoandika tu, ni uthibitisho kuwa wewe ndiye unavuta bangi huko uliko...

Wavuta bangi au madawa ya kulevya huwa hawajui chochote. Huwa hawa - digest mambo. Wao hupayuka kama wehu..

Bila shaka wewe ni miongoni mwao..

Pole sana. Jiponye kabla hujaharibikiwa...
 
Mkuu sio kilakitu unapaswa kujua.

KUNA MAMBO INABIDI UYAPUUZE TU NA SIO KULALAMIKA KAMA UMEKOSEWA NA MTU.

KAMA UNAMPENDA VICE PRESIDENT BASI SHUKURU KUWA NI MZIMA, HAYO MENGINE ACHANA NAYO MKUU.

PRIVACY YA MTU IHESHIMIWE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Au alifichwa Sumbawanga kwa Kalumanzila? Waganga wajadi/wachawi wanawaamini sana lakini wanaona aibu kujinasibu nao.
Kuna wakati nilistaajabu kusikia Bashite anamletea Jiwe wachawi kadhaa lakini jiwe kila jumapili anaongozana na makamera kwenda kanisani na kuonyesha unyenyekevu.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini...

Baada ya muda, eti serikali inajitokeza na kudai kuwa VP alikuwa mahali fulani (hapatajwi) na alikuwa kwenye kilichopewa jina la "kazi maalumu" isiyotajwa..

La kujiuliza ni hili kuwa, hivi, ni kazi gani maalumu yenye maslahi kwa nchi hii isiyo na jina aliyokwenda kufanya VP kwa siku 30..?

Kinachofanya tujiulize swali hili ni wajihi na mwonekano wa VP baada ya kujitokeza. Anaonekana ni mtu mnyonge sana. Ni mtu mwenye mawazo mengi (troubled person). Ni kama vile kweli alikuwa anaumwa na labda alikuwa anapata matibabu sehemu...

Lakini kama alikuwa anaumwa na alikuwa anapata matibabu sehemu fulani hapahapa nchini au nje ya nchi, iweje taarifa za kuumwa kwake ziwe siri?

Kwanini haisemwi alikuwa anaumwa badala yake tunaambiwa alikuwa kwenye kazi maalumu? Kunafichwa nini?

Kuumwa mtu (kiongozi VP akiwemo) hakuwezi kufichika jamani. Ambacho si lazima kijulikane ni ugonjwa anaoumwa mtu. Hili linaweza kufichwa na haina shida yoyote...

Kuna hisia kali zinazoweza kuthibitika muda si mrefu kuwa lipo tatizo huko serikalini. Kuna Kila viashiria kuwa huyu mtu alikuwa hatarini na aidha alifichwa au alijificha mahali mwenyewe (Kwa ruhusa ya deep state) ili kujiokoa..!

Lakini kwanini kiongozi mkuu wa level ya VP awe hatarini? Kuna nini ndani ya serikali hii?

Wakati utasema tu, TUSUBIRI...
Mwendazake tuliambiwa Yupo Ofisini anachapa kazi kuwa yupo Kijitonyama

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom