DOKEZO Maafisa wa TRA (TMU) wakishirikiana na Wakala wa bandarini kuwadhulumu wasafirishaji

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa.

Ukifika wakati wa magari kufikisha mzigo unakataliwa kulipwa pesa yako, kisha unapigiwa simu na afisa wa TMU anakulazimisha ushushe mzigo ambao haujalipiwa ama lasivyo anatishia kusizi magari.

Wakati mwingine Afisa huyo anakukutanisha na Beno ili mfanye makubaliano wakati huo TRA inasimama kama dhamana.

Baada ya gari kushusha mzigo basi jamaa hata simu hapokei na ukirudi TRA hakuna msaada wowote.
 
Mhh mbona hii kama taarifa haieleweki na ni kama kuna mtu hapo anatafutwa kuchafuliwa? Ingekuwa busara ukamuona Kamishna wa tra ili huyo au hao maofisa wafatiliwe ama sivyo huu ni uzushi utakuwa pengine mmeshindwana na huyo Beno. Kama unao ushahidi ingekuwa vizuri kupeleka sehemu husika kuliko kuja na taarifa ambazo zinaonekana ni uzushi.
 
"Maelezo Yako hajajitosheleza" Msaada utakao upata ni mdogo sana vinginevyo leta maelezo yenye ushahid wa kutosha
Mhh mbona hii kama taarifa haieleweki na ni kama kuna mtu hapo anatafutwa kuchafuliwa? Ingekuwa busara ukamuona Kamishna wa tra ili huyo au hao maofisa wafatiliwe ama sivyo huu ni uzushi utakuwa pengine mmeshindwana na huyo Beno. Kama unao ushahidi ingekuwa vizuri kupeleka sehemu husika kuliko kuja na taarifa ambazo zinaonekana ni uzushi.
Kuna baadhi ya maafisa wa TRA (TMU) wanatumika na bwana mmoja anaitwa Beno wa kampuni ya Will Logistics, anachokifanya bwana huyo anakodi magari halafu halipi pesa kama inavyotakiwa.

Ukifika wakati wa magari kufikisha mzigo unakataliwa kulipwa pesa yako, kisha unapigiwa simu na afisa wa TMU anakulazimisha ushushe mzigo ambao haujalipiwa ama lasivyo anatishia kusizi magari.

Wakati mwingine Afisa huyo anakukutanisha na Beno ili mfanye makubaliano wakati huo TRA inasimama kama dhamana.

Baada ya gari kushusha mzigo basi jamaa hata simu hapokei na ukirudi TRA hakuna msaada wowote.
Sasa kama huyo jamaa unavyodai hawalipi mnaendelea mtumia wa nini kama siyo kuchafua watu? kama kweli unauhakika na taarifa yako kwanini usimfate kamishna Kidata . Wabongo tunapenda sana fitinisha watu , kama umezidiwa kete kwa pisi kali mtaani sasa umeona uje wachafua waliokuzidi sema tu kuna nia za kukusaidia.Shida mkigombania wanawake mnakuja chafua ofisi , malizaneni yaishe. Kwani ukizidiwa kete siutafute mwingine.
 
Back
Top Bottom