Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.

Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga... Ukisusa wao wala. Unaona nawe uchukue kwa shingo upande huku ukiona huruma.

HAPO TUKAWA TUNAANZISHA MIRADI BUBU YA WAZALENDO humo ndani ndo tunasosomola madollar. Nyie wananchi endeleeni kutudumisha tu. Tudumu cc , tudumu.

Serikali imeshindwa lipa Wakandarasi. Imeshindwa lipa wengi ambao walifanya huduma kwayo. Hakuna pesa. Donors wanasema wanatoa pesa zinaliwa tu na wachache. Hali ni mbaya.

Traffic sasa wamepewa hesabu kwa siku ukiwa barabarani unahakikisha unakusanya kiwango ulichowekewa. Hali imekuwa tete. Makosa yanatafutwa hata usipochomekea unaweza pigwa faini kuwa unaendesha gari bila kuchomekea ni hatari shati linaweza nasa kwenye pedal ya accelerator ukashindwa hamisha mguu kuja kwenye brake.
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Hata ujenzi wa barabara ya Sengerema mpaka Nyehunge tokea wazindue ujenzi na Prof Mbarawa mwezi wa sita mpaka leo Mkandarasi hajaingia site!
Pia barabara ya Kahama Kakola mgodi ulishatoa hela serkali Ikazichukua ni zaidi ya mwaka sasa ujenzi hamna!
 
Ofcz ukishaona mabenk mpaka bank kuu zinatangaza uuzaji wa bond ni dalili tosha kuna upungufu mkubwa wa pesa . Na pia kwenye na ma bank kuna ishu ya liquidity.

Tahadhar kubwa sana ni kwamba mwakani unaweza ukawa mwaka mgum sana EPUKA MIKOPO maana umaweza shindwa kui service kulingana na mzumguko wa pesa ku shake zaidi mtaani.

Mdau mkubwa sana ambae kwasasa ndio amekua ananufaisha hiz taasis za kifedha ni MFANYA KAZI kupitia mikopo yenye riba kandamizi
 
Kimsingi toka mwezi wa 9 hakuna Malipo yoyote yanayofanyika serikalimi. Kibubu hakina kitu. Miradi ya maendeleo yote imesimama ndio maana wale YASP wa SGRA wanapunguza wafanyakazi. Hakuna OC kwenye mataasisi au Halmashauri. Kimsingi, hakuna pesa yule ajuza wa Zanzibar ana kazi ya kuturembulia macho tu. Katika pogo amblo Mungu alitupiga watanzania ni lile la 17/3/2021. Hii takataka isingeingia madarakani.
 
HAPO TUKAWA TUNAANZISHA MIRADI BUBU YA WAZALENDO humo ndani ndo tunasosomola madollar. Nyie wananchi endeleeni kutudumisha tu. Tudumu cc , tudumu.

Serikali imeshindwa lipa Wakandarasi. Imeshindwa lipa wengi ambao walifanya huduma kwayo. Hakuna pesa. Donors wanasema wanatoa pesa zinaliwa tu na wachache. Hali ni mbaya.
Hali ilijidhihirisha miezi miwili watumishi wa serikali walipolipwa mishahara kwa mafungu mafungu
 
Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho.

Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga... Ukisusa wao wala. Unaona nawe uchukue kwa shingo upande huku ukiona huruma.

HAPO TUKAWA TUNAANZISHA MIRADI BUBU YA WAZALENDO humo ndani ndo tunasosomola madollar. Nyie wananchi endeleeni kutudumisha tu. Tudumu cc , tudumu.

Serikali imeshindwa lipa Wakandarasi. Imeshindwa lipa wengi ambao walifanya huduma kwayo. Hakuna pesa. Donors wanasema wanatoa pesa zinaliwa tu na wachache. Hali ni mbaya.

Traffic sasa wamepewa hesabu kwa siku ukiwa barabarani unahakikisha unakusanya kiwango ulichowekewa. Hali imekuwa tete. Makosa yanatafutwa hata usipochomekea unaweza pigwa faini kuwa unaendesha gari bila kuchomekea ni hatari shati linaweza nasa kwenye pedal ya accelerator ukashindwa hamisha mguu kuja kwenye brake.
Tukiwambia mama na serikali yake wamekata moto na nchi imewashinda, chawa hawaelewi wao ni kusifia tu....tukisema mama punguza safari zisizo za lazima, na katika safari zako punguza idadi ya wapambe, watu hamtuelewi...mnaona kama wivu. Kinachoungua ni kodi na kama ni mkopo unaesifia pia utakuhusu.

Pesa ya covid watu waligawana, tulisikia mkwara lakini ulikoishia hatujui...watu walikula kwa urefu wa kamba zao. Bunge limelia kwa ufisad serikali iko kimya na mbaya zaidi mawaziri wanatetea. Rais mwenyewe analalamika kwa rushwa na ufisadi kukithili kwenye taasisi za serikali. Sijaelewa ni nani anaepaswa kushughulika na haya kama kila mtu analalamika hadi waziri mwenye takukuru!
 
Back
Top Bottom