Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,660
- 46,350
Timu ya kutengeneza dira ya taifa ya mwaka 2025-2050 imewaweka wataalamu tu katika maeneo mbalimbali.
Japo sioni umuhimu wa kutengeneza kitu hicho kinachoitwa dira ya taifa ila ni naipongeza sana serikali kutowajumuisha viongozi wa dini katika timu hiyo kwa sababu hawana utaalamu wowote ila kwa muda mrefu sana wamekuwa mstari mbele na kupewa kipaumbele katika mambo mengi ya kitaifa bila kuwa na umuhimu wowote.
Hii ni hatua muhimu sana kuelekea kuongozwa na sayansi na uhalisia zaidi kuliko hisia zinazotokana na superstitions za kidini.