Shunshaa Trump, Trump has finished. Somo kwa CHADEMA, ACT Wazalendo na ulevi wao kwa wazungu

Leslie Mbena

Verified Member
Nov 24, 2019
170
1,000
SHUNSHAA TRUMP,TRUMP HAS FINISHED,SOMO KWA CHADEMA, ACT WAZALENDO NA ULEVI WAO KWA WAZUNGU.

Leo 13:15hrs 10/01/2021

Nimejifunza mengi baada ya kusoma vitabu vya "Pan Africanist" kama Chachage Chachage,Haroub Othman,Issa Shivji na Bashiru Ally,Let me say "Writing is on the Wall" kila mwenye jicho na aone yanayotokea Marekani,Chadema na Act were dancing on the tune of American,Chadema na Act hawakufanya research ya neno Demokrasia ni nini, Chadema hawakujua kwamba Mzungu hasa mmarekani hana "win win situation kwa mwafrika" Trump Mimi namuita kilaza ndio maana hata Chuo cha Lehigh University has rescinded the honorary degree it awarded to President Donald Trump more than 30 years ago,that means the real American President could be the like of Jimmy Carter,whose speech was authority to the World,

Chadema na Act wameipenda Demokrasia ya Marekani na kuichukua,Mimi naiita Demokrasia ya Marekani ni "Political Masterbation" lakini Chadema na Act wameamua kuichukua kwa vile inafanywa na Wazungu,leo Tindu Lissu na Lema wanaishi Ulaya baada ya kumalizia kazi ya kutumwa kuharibu nchi zao,Sasa kwa nini leo Upinzani umekufa!? Jibu linatoka kwenye

1-Behavior ya Marekani aliyoonyesha Trump ambayo Chadema na Act waliipokea tabia hiyo.

2.Tabia ya mtumwa wa wazungu Tindu Lissu ambae hana tofauti na Mhuni Bob Wine kule Uganda.

3.Muungano wa CCM na Act kule Zanzibar,Kuna watu hawajui kama Zitto na Seif ni opportunist.

4.G19 kuapishwa baada ya ofisi ya Katibu Mkuu wa Chadema kusaini na kutuma majina yao Nec.

5.Kujiuzuru kwa Bernard Kamilius Membe na pengine kurejea CCM.

-Shunshaa Trump ni sentesi ya kichina inayomaanisha Trump amekwisha.

Trump anakuwa Rais wa kwanza tangu Andrew Johnson 1869, kugoma kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais anayemkabidhi kijiti hata kudiriki kujaribu kugoma kutoka madarakani,Heshima ya Trump aliyojijengea ujanani anaipoteza uzeeni,Heshima ya Marekani iliyojengwa kwa Miaka 232 Trump anataka kuivunja kwa Miaka minne tu,Inawezekana Trump ndiye rais bora kabisa Mzalendo kwa nchi yake kuwahi kutokea Marekani,lakini ameonesha rangi halisi za beberu,bwenyenye,kabaila,mpinga Demokrasia na mkoloni.

Pengine Trump aliona ni muda sasa wa kuwa Mzalendo kwa Taifa la Marekani na kusalia Madarakani kama inavyoonyeshwa kwa Wazalendo Rais Putin wa Russia, Mzalendo Kim wa North Korea, Ayatollah Khemei wa Iran, Sultan wa Saudi Arabia au kama aliyekuwa Emperor Jean Bokassa wa Central African Republic,na pengine kama Mzalendo Mussolini,Huyu ndiye Donald Trump,Rais wa Marekani aliyekuwa akiweka vikwazo kwa nchi za kiafrika ambazo Marais wake walikataa kutoka Madarakani,Trump aliongeza vikwazo kwa Zimbabwe,Trump aliweka vikwazo Nigeria,Trump aliweka vikwazo Tanzania,Trump aliweka vikwazo Sudani,Trump aliweka vikwazo Irani,lakini leo kwa anachokifanya Donald Trump,Third world countries like Tanzania are by far more democratic & constitutional than US of Donald J. Trump.

Tafsiri ni kuwa Trump bado hakubaliani na ushindi wa Joe Biden katika uchaguzi uliokwisha kupita.Trump ni king'ang'anizi,yaani kwa watu tulio na roho nyepesi tungekua tushakata tamaa na kuachia, ukisemwa kidogo tu unanuna na kuachia madaraka unasema shauri yao Mimi nilitaka kumake America Great Again ila wamekataa,hii ni tofauti kwa Njemba Trump limetukanwa na vyombo vya habari, maandamano yamefanywa dhidi yake, mitandao ya kijamii imerindima matusi kumuhusu lakini yupo yupo na tena ndio anawasha mzuka,anawezaje kupata usingizi huyu ndugu Donald Trump!?

Trump anakwenda kuacha doa Marekani ambalo itachukua muda kuja kufutika,pengine hii ni laana kutoka Afrika baada ya kuuawa kwa George Floyd kwa kuwekewa goti shingoni"I can't breath" kwenye sala za Trump wakati wa Uchaguzi,walisikia wakiamuru malaika kutoka Afrika kwenda kuwasaidia "All Angel of God from Afrika,come and intervene"hili ni neno la rohoni sana na walijua tayari Wana laana kutoka Afrika baada ya kutufanyika hila nyingi,kututesa,kututukanana kutuibia hata walipotuambia tutakufa kama kuku kwa sababu ya corona,hao Angel from Africa waliokuwa wanawaita waliichukua corona kutoka Afrika na kuipiga kwao na Afrika kunusurika na corona,

-Kuminywa kwa Demokrasia na Uhuru wa Vyombo vya habari.

Trump na kulinganisha na nchi zetu za Afrika wamekuwa wakituambia tunaminya uhuru wa vyombo vya habari,Sasa Vyombo vya habari vimefungia Wafuasi wa Trump na Trump mwenyewe,and Trump was real a Twiter man,Sasa Trump atakuwa na maisha magumu sana nje ya Twitter,

Uongozi wa Twitter umeifungia maisha akaunti ya Twitter ya Rais wa Marekani anayemaliza muda wake ndg. Donald Trump kwa kuhamasisha fujo na migomo katika jiji la Washington wiki iliyopita. Akaunti ya Donald Trump yenye jina la @realDonaldTrump (twitter.com) ndio akaunti ya sita duniani kuwa na followers wengi ikiwa inafuatiliwa na takriban watu milioni 90. Akaunti hiyo ukiitembelea sasa unakutana na neno "ACCOUNT SUSPENDED"

Tweets zilizopelekea Twitter kumfungia Trump ni hizi hapa

On January 8, 2021, President Donald J. Trump tweeted:

“The 75,000,000 great American Patriots who voted for me, AMERICA FIRST, and MAKE AMERICA GREAT AGAIN, will have a GIANT VOICE long into the future. They will not be disrespected or treated unfairly in any way, shape or form!!!”

Shortly thereafter, the President tweeted:

“To all of those who have asked, I will not be going to the Inauguration on January 20th.”

Mtu mwingine ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kutuma ujumbe mfupi kusema kuwa anataka kumpiga risasi spika wa bunge, Nancy Pelosi. Cleveland Grover Meredith, Jr., aliyefika Washington DC siku moja kabla ya tukio la siku ya Jumatano alimtumia ujumbe mfupi mwenzake akisema kuwa anataka "kumpiga risasi [Pelosi] kichwani wakati matangazo mubashara ya televisheni yakiendelea" huku katika ujumbe mwingine akisema kuwa anaenda Washington akiwa na silaha za kutosha. Polisi wamesema kuwa Meredith alipamba ujumbe wake kwa kutumia 'emoji' za shetani huku akitumia maneno yanayoashiria viungo vya mwili wa mwanamke kumtaja Spika Pelosi.

Watu watano wamepoteza maisha, akiwemo mwanamke mmoja aliyetaka kuingia kwa nguvu ndani ya ukumbi wa mikutano wa jengo hilo la bunge, pamoja na polisi mmoja aliyefariki akiwa hospitali kuuguza majeraha yaliyotokana na kuvamiwa na kundi la wafuasi wa Rais Donald Trump walipokuwa wakitumia nguvu kupita vizingiti vya polisi waliokuwa wakilinda eneo hilo. Watu wengine 67 wamekamatwa huku 13 wakifunguliwa mashtaka kufuatia tukio hilo

Sasa Waafrika yetu macho, wakizichapa wao kwa wao itakuwa fundisho kubwa kwao Wamarekani ili waone chungu na fitna walizofanya kwa nchi zetu za Afrika,

-Kuondolewa kwa Rais Trump Madarakani kabla ya siku 10 za muhula wake kuisha.

1. Impeachment of Donald Trump is inevitable

2. And then linching will intensify even more

3 US is clearly heading downwards FOREVER -- to put it more succinctly, USA is at the peak of long-standing deterioration.

4. China is the next hyper-politico-economic power in the world, Tanzania has seen it.

5. Socialism and communism are resurrected to replace capitalism, as a leading political system. It fails miserably. Then there are endless wars and power struggles.

Trump amekuwa kama muhubiri,mchungaji,katekista anayehubiri tusitende dhambi halafu baada ya hapo anatongoza muimba kwaya au Sheikh anayehubiri tuache dhambi halafu anabaka msikitini,Trump alitaka kuiweka Republican mfukoni yeye kuwa ndiyo final say.Itakuwa jambo la afya sana kwa demokrasia ya Marekani, kwa sababu Republicans wakigawanyika hawatakaa washinde tena urais.I think wamarekani wamejifunza jambo kwa sababu madikteta dunia nzima wameshangilia sana hiki kitendo kilichoiaibisha Marekani.Madikteta dunia nzima wamejinadi kuwa Marekani haipaswi tena kunyooshea kidole madikteta.Kweli awamu hii Marekani wamepatikana. Trump kawaachia doa ambalo itachukua muda kuja kufutika.

Hili na liwe somo kwa Vijana wa sasa wa Tanzania,kama Vijana wangu Erick,Benjamin na Moris wakiwa pale Posta,wao wanajua tu when did Vasco da Gama came to Tanzania,they don't know why did Vasco Da Gama came to Tanzania!? Vijana awa hawamjui Kwame Nkrumah,hawamjui Julius Nyerere,hawamjui Dalali Ramazani aliyetumwa na Karl Peter "Mkono wa Damu" kwenda kutafsiri uongo kwa Chifu Mangungo wa Msovero na kusaini mkataba wa kuuza ardhi yote ya Kilosa hadi Bagamoyo na Tanga kwa Karl Peter's,Awa ndio Vijana ambao hata Rais amesema somo la historia lirudiwe kufundishwa kwao iwe kwenye mitandao ya kijamii kwa kuandika makala kama hivi ama kwa kualika wanahistoria kama Mh Profesa Mwaluko Kabudi katika vipindi vya redio na Television,lazima Vijana wa kileo ambao Mimi nawaita Toddlers kwenye historia wafundishwe na Maguru wa historia kila uchwao ili waweze kuwa Historian Academic Terrorist.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

  • Bachelor of Business Administration in International Business.
  • Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
- Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,596
2,000
Lilipaswa kuwa somo kuu kwa CCM kuwa hakuna aliye juu ya sheria,hata Rais.

Trump amenajisi cheo cha U rais na leo ana face consequencies,je hapa kwetu na nchi nyingine inaweza kutokea hivyo?

Hili ni funzo kuwa Katiba sio ya kuchezewa na mtu yoyote na hapa ushahidi kuwa TAASISI IMARA ni bora kuliko kiongozi imara umeonekana.
 
Bikis

Member
Feb 23, 2019
45
125
Huyu jamaa ni kilaza sijawahi kuona.

Funzo kubwa kuhusu Trump (rais wa USA) ni kwa ccm na madikteta wote wa africa kwamba hamna yeyote aliye juu ya sheria siyo rais wala spika wa bunge.

Umeshindwa kuandika kuhusu ndugai aliyevunja ibara ya katiba yetu live live ya kuwatambua wabunge waliokwisha fukuzwa ama jiuzulu kwa vyama vyao wakati katiba imezungumza vzr kuhusiana na mbunge kujiuzulu au kufukuzwa.

Wewe ni shahidi na ndugu zako ni mashahidi kwa aina uchaguzi uliofanyika 2020 October.

Ngoja Chadem ife tuone hizi drama za kuipamba chama tawala pambio kwa lengo la kuonekana na kupata uteuzi ni ushamba mkubwa.
Mod ondoa huu uzi cos mwandishi hajui alichokiandika/ni kilaza au labda kaandika kwa purpose fulani!!

Tz tuna safari ndefu sana kwa vijana tunaishi kuandika kile tusichokiamin kwa kutumwa na njaa na umaskini!!

Kwa waliojifunza democracy ya US haiwezi kutingishwa wala kubabaishwa na yeyote.

.zaidi zaidi tushuhudie Marekani wakibadilisha katiba ili kuruhusu kumwondoa rais kirahisi bila hata kupita mabunge yote miwil.
na kuthibitisha hili Trump lazima atoke ofsn hata kama imebaki siku moja..
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,363
2,000
Lilipaswa kuwa somo kuu kwa CCM kuwa hakuna aliye juu ya sheria,hata Rais.

Trump amenajisi cheo cha U rais na leo ana face consequencies,je hapa kwetu na nchi nyingine inaweza kutokea hivyo?

Hili ni funzo kuwa Katiba sio ya kuchezewa na mtu yoyote na hapa ushahidi kuwa TAASISI IMARA ni bora kuliko kiongozi imara umeonekana.
Zungumzia ulevi wa ccm kwa wachina
 
Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
576
1,000
Kwa kweli elimu yetu Tanzania inapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu! Eti mleta mada naye ana Masters!

Maneno meeeeeeengi lakini huwezi elewa anataka nini au ana- reflect nini cha maana.

Unataka kuelezea demokrasia ya America wakati huo huijui kabisa!
Donald Trump siyo kipimo cha demokrasia ya America! Trump ana matatizo yake binafsi ambayo siyo matatizo ya America .

Uimara wa demokrasia ya America iko kwenye Utawala wa sheria na uimara wa taasisi zake.
Unalaumu watu bila facts zozote bali "vioja" vya kuokoteza na kuungaunga!
This is unfair !
Jikite katika kutafuta maarifa na siyo vyeti!
 
ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,147
2,000
Yaani wewe ndo punguwani kabisa kwani hao waliochukua madaraka ni wakagulu wenzio. Marekani ni ile ile ambayo rais hua anakuta vipaa umbele mezani awe rais wa chama chochote ni lazima afuate sera za Marekani huwa ziko mezani , Mfano
1. Ni lazima Marekani iwe ya kwanza duniani, NI LAZIMA LIWE TAIFA KUBWA KUZIDI URUSI
2. Kumlinda Mmarekani kwa gharama yoyote akipata matatizo nje ya nchi
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,429
2,000
SHUNSHAA TRUMP,TRUMP HAS FINISHED,SOMO KWA CHADEMA, ACT WAZALENDO NA ULEVI WAO KWA WAZUNGU.

Leo 13:15hrs 10/01/2021

Nimejifunza mengi baada ya kusoma vitabu vya "Pan Africanist" kama Chachage Chachage,Haroub Othman,Issa Shivji na Bashiru Ally,Let me say "Writing is on the Wall" kila mwenye jicho na aone yanayotokea Marekani,Chadema na Act were dancing on the tune of American,Chadema na Act hawakufanya research ya neno Demokrasia ni nini, Chadema hawakujua kwamba Mzungu hasa mmarekani hana "win win situation kwa mwafrika" Trump Mimi namuita kilaza ndio maana hata Chuo cha Lehigh University has rescinded the honorary degree it awarded to President Donald Trump more than 30 years ago,that means the real American President could be the like of Jimmy Carter,whose speech was authority to the World,

Chadema na Act wameipenda Demokrasia ya Marekani na kuichukua,Mimi naiita Demokrasia ya Marekani ni "Political Masterbation" lakini Chadema na Act wameamua kuichukua kwa vile inafanywa na Wazungu,leo Tindu Lissu na Lema wanaishi Ulaya baada ya kumalizia kazi ya kutumwa kuharibu nchi zao,Sasa kwa nini leo Upinzani umekufa!? Jibu linatoka kwenye 1-Behavior ya Marekani aliyoonyesha Trump ambayo Chadema na Act waliipokea tabia hiyo.
2.Tabia ya mtumwa wa wazungu Tindu Lissu ambae hana tofauti na Mhuni Bob Wine kule Uganda.
3.Muungano wa CCM na Act kule Zanzibar,Kuna watu hawajui kama Zitto na Seif ni opportunist.
4.G19 kuapishwa baada ya ofisi ya Katibu Mkuu wa Chadema kusaini na kutuma majina yao Nec.
5.Kujiuzuru kwa Bernard Kamilius Membe na pengine kurejea CCM.

-Shunshaa Trump ni sentesi ya kichina inayomaanisha Trump amekwisha.

Trump anakuwa Rais wa kwanza tangu Andrew Johnson 1869, kugoma kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais anayemkabidhi kijiti hata kudiriki kujaribu kugoma kutoka madarakani,Heshima ya Trump aliyojijengea ujanani anaipoteza uzeeni,Heshima ya Marekani iliyojengwa kwa Miaka 232 Trump anataka kuivunja kwa Miaka minne tu,Inawezekana Trump ndiye rais bora kabisa Mzalendo kwa nchi yake kuwahi kutokea Marekani,lakini ameonesha rangi halisi za beberu,bwenyenye,kabaila,mpinga Demokrasia na mkoloni.

Pengine Trump aliona ni muda sasa wa kuwa Mzalendo kwa Taifa la Marekani na kusalia Madarakani kama inavyoonyeshwa kwa Wazalendo Rais Putin wa Russia, Mzalendo Kim wa North Korea, Ayatollah Khemei wa Iran, Sultan wa Saudi Arabia au kama aliyekuwa Emperor Jean Bokassa wa Central African Republic,na pengine kama Mzalendo Mussolini,Huyu ndiye Donald Trump,Rais wa Marekani aliyekuwa akiweka vikwazo kwa nchi za kiafrika ambazo Marais wake walikataa kutoka Madarakani,Trump aliongeza vikwazo kwa Zimbabwe,Trump aliweka vikwazo Nigeria,Trump aliweka vikwazo Tanzania,Trump aliweka vikwazo Sudani,Trump aliweka vikwazo Irani,lakini leo kwa anachokifanya Donald Trump,Third world countries like Tanzania are by far more democratic & constitutional than US of Donald J. Trump.

Tafsiri ni kuwa Trump bado hakubaliani na ushindi wa Joe Biden katika uchaguzi uliokwisha kupita.Trump ni king'ang'anizi,yaani kwa watu tulio na roho nyepesi tungekua tushakata tamaa na kuachia, ukisemwa kidogo tu unanuna na kuachia madaraka unasema shauri yao Mimi nilitaka kumake America Great Again ila wamekataa,hii ni tofauti kwa Njemba Trump limetukanwa na vyombo vya habari, maandamano yamefanywa dhidi yake, mitandao ya kijamii imerindima matusi kumuhusu lakini yupo yupo na tena ndio anawasha mzuka,anawezaje kupata usingizi huyu ndugu Donald Trump!?

Trump anakwenda kuacha doa Marekani ambalo itachukua muda kuja kufutika,pengine hii ni laana kutoka Afrika baada ya kuuawa kwa George Floyd kwa kuwekewa goti shingoni"I can't breath" kwenye sala za Trump wakati wa Uchaguzi,walisikia wakiamuru malaika kutoka Afrika kwenda kuwasaidia "All Angel of God from Afrika,come and intervene"hili ni neno la rohoni sana na walijua tayari Wana laana kutoka Afrika baada ya kutufanyika hila nyingi,kututesa,kututukanana kutuibia hata walipotuambia tutakufa kama kuku kwa sababu ya corona,hao Angel from Africa waliokuwa wanawaita waliichukua corona kutoka Afrika na kuipiga kwao na Afrika kunusurika na corona,

-Kuminywa kwa Demokrasia na Uhuru wa Vyombo vya habari.

Trump na kulinganisha na nchi zetu za Afrika wamekuwa wakituambia tunaminya uhuru wa vyombo vya habari,Sasa Vyombo vya habari vimefungia Wafuasi wa Trump na Trump mwenyewe,and Trump was real a Twiter man,Sasa Trump atakuwa na maisha magumu sana nje ya Twitter,

Uongozi wa Twitter umeifungia maisha akaunti ya Twitter ya Rais wa Marekani anayemaliza muda wake ndg. Donald Trump kwa kuhamasisha fujo na migomo katika jiji la Washington wiki iliyopita. Akaunti ya Donald Trump yenye jina la @realDonaldTrump (twitter.com) ndio akaunti ya sita duniani kuwa na followers wengi ikiwa inafuatiliwa na takriban watu milioni 90. Akaunti hiyo ukiitembelea sasa unakutana na neno "ACCOUNT SUSPENDED"

Tweets zilizopelekea Twitter kumfungia Trump ni hizi hapa

On January 8, 2021, President Donald J. Trump tweeted:

“The 75,000,000 great American Patriots who voted for me, AMERICA FIRST, and MAKE AMERICA GREAT AGAIN, will have a GIANT VOICE long into the future. They will not be disrespected or treated unfairly in any way, shape or form!!!”

Shortly thereafter, the President tweeted:

“To all of those who have asked, I will not be going to the Inauguration on January 20th.”

Mtu mwingine ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kutuma ujumbe mfupi kusema kuwa anataka kumpiga risasi spika wa bunge, Nancy Pelosi. Cleveland Grover Meredith, Jr., aliyefika Washington DC siku moja kabla ya tukio la siku ya Jumatano alimtumia ujumbe mfupi mwenzake akisema kuwa anataka "kumpiga risasi [Pelosi] kichwani wakati matangazo mubashara ya televisheni yakiendelea" huku katika ujumbe mwingine akisema kuwa anaenda Washington akiwa na silaha za kutosha. Polisi wamesema kuwa Meredith alipamba ujumbe wake kwa kutumia 'emoji' za shetani huku akitumia maneno yanayoashiria viungo vya mwili wa mwanamke kumtaja Spika Pelosi.

Watu watano wamepoteza maisha, akiwemo mwanamke mmoja aliyetaka kuingia kwa nguvu ndani ya ukumbi wa mikutano wa jengo hilo la bunge, pamoja na polisi mmoja aliyefariki akiwa hospitali kuuguza majeraha yaliyotokana na kuvamiwa na kundi la wafuasi wa Rais Donald Trump walipokuwa wakitumia nguvu kupita vizingiti vya polisi waliokuwa wakilinda eneo hilo. Watu wengine 67 wamekamatwa huku 13 wakifunguliwa mashtaka kufuatia tukio hilo

Sasa Waafrika yetu macho, wakizichapa wao kwa wao itakuwa fundisho kubwa kwao Wamarekani ili waone chungu na fitna walizofanya kwa nchi zetu za Afrika,

-Kuondolewa kwa Rais Trump Madarakani kabla ya siku 10 za muhula wake kuisha.

1. Impeachment of Donald Trump is inevitable

2. And then linching will intensify even more

3 US is clearly heading downwards FOREVER -- to put it more succinctly, USA is at the peak of long-standing deterioration.

4. China is the next hyper-politico-economic power in the world, Tanzania has seen it.

5. Socialism and communism are resurrected to replace capitalism, as a leading political system. It fails miserably. Then there are endless wars and power struggles.

Trump amekuwa kama muhubiri,mchungaji,katekista anayehubiri tusitende dhambi halafu baada ya hapo anatongoza muimba kwaya au Sheikh anayehubiri tuache dhambi halafu anabaka msikitini,Trump alitaka kuiweka Republican mfukoni yeye kuwa ndiyo final say.Itakuwa jambo la afya sana kwa demokrasia ya Marekani, kwa sababu Republicans wakigawanyika hawatakaa washinde tena urais.I think wamarekani wamejifunza jambo kwa sababu madikteta dunia nzima wameshangilia sana hiki kitendo kilichoiaibisha Marekani.Madikteta dunia nzima wamejinadi kuwa Marekani haipaswi tena kunyooshea kidole madikteta.Kweli awamu hii Marekani wamepatikana. Trump kawaachia doa ambalo itachukua muda kuja kufutika.

Hili na liwe somo kwa Vijana wa sasa wa Tanzania,kama Vijana wangu Erick,Benjamin na Moris wakiwa pale Posta,wao wanajua tu when did Vasco da Gama came to Tanzania,they don't know why did Vasco Da Gama came to Tanzania!? Vijana awa hawamjui Kwame Nkrumah,hawamjui Julius Nyerere,hawamjui Dalali Ramazani aliyetumwa na Karl Peter "Mkono wa Damu" kwenda kutafsiri uongo kwa Chifu Mangungo wa Msovero na kusaini mkataba wa kuuza ardhi yote ya Kilosa hadi Bagamoyo na Tanga kwa Karl Peter's,Awa ndio Vijana ambao hata Rais amesema somo la historia lirudiwe kufundishwa kwao iwe kwenye mitandao ya kijamii kwa kuandika makala kama hivi ama kwa kualika wanahistoria kama Mh Profesa Mwaluko Kabudi katika vipindi vya redio na Television,lazima Vijana wa kileo ambao Mimi nawaita Toddlers kwenye historia wafundishwe na Maguru wa historia kila uchwao ili waweze kuwa Historian Academic Terrorist.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Dogo umechanganyikiwa?
Wenye akili hatujakuelewa
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,076
2,000
IMG_20210109_193756.jpg
 
mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
5,217
2,000
Ni tatizo la Trump sio Marekani. Ni mfano wa kujinyonga unaoletea madhara wengine. Rais anataka kujinyonga haiwi sawa na raia...
 
Leslie Mbena

Verified Member
Nov 24, 2019
170
1,000
Naona povu,wengine hawaeleei, "Toddlers" spoon feeding hamuwezi kuelewa,ninyi hadi Faru John awaeleze ndio mtaelewana nae,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom