Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana.
-
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza...
Hakika nimeupenda utaratibu wa CCM kuwa na Jumuia ya CHIPUKIZI ktk Chama chao.Jumuia ya Chipukizi ndio UVCCM ya Kesho.
USHAURI kwa CHADEMA Chama Kikuu cha UPINZANI TANZANIA ni vema nao Wakaanzisha...
Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023...
Halo JF members.
Kuna video inamuonesha Rais Magufuli amevaa kombati za jeshi akipigiwa saluti na maafisa wa jeshi huku wakimpa mikono kama ishara ya salamu kwa Amiri Jeshi Mkuu.
Inaonekana...
1. Kuachana rasmi na uwekezaji wa umeme wa Maji. Mipango yote ya umeme sasa ielekezwe kwenye gesi, nuclear, solar, geothermal, upepo n.k Umeme wa maji kutegemea mvua ni kijima na uliopitwa na...
Salaam, Shalom!!!
Hii ni dira muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Katibu MKUU wa Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, ndugu John Mnyika amefanya Press Conference na vyombo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kumaliza...
Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya.
Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa!
Umeme umekuwa anasa!
Benki ya Dunia imesema licha ya Ukuaji mzuri wa Uchumi wa Tanzania wa wastani wa Asilimia 5-7% Kwa miaka 20 Iliyopita umeshindwa kupunguza umaskini na idadi ya maskini Nchini Kwa kiwango...
Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.
Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda...
Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu Watanzania mnaowaambia walipe BIMA ya afya shilingi 488,000 kwa baba na mama, 120,000 kwa kila mtoto, na kama wanaishi na wazee wao, basi Kila mmoja wawalipie...
Huu uchaguzi wa viongozi wa vijana chipukizi wa CCM wanashinda tu watoto wa mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, watoto wa wasanii.
CCM imekuwa kama taaisi ya ukoo, kama mzazi wako siyo waziri, mkuu...
Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche.
Nafahamu CHADEMA Kuna watu...
Bodi ya Wakurugenzi ya Watendaji wa Benki ya Dunia kupitia ufadhili wa Sera yake ya Maendeleo (DPF) imeidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 750 (Sh trilioni 1.9) kwa ajili ya kusaidia...
Wasalaam wana jamvi!
Mfuko wa hifadhi ya jamii muda wowote kuanzia leo utampeleka mahakamani Mwenye kiti wa chama cha kupigania haki ,demokrasi na maendeleo kwa kosa la kuwanyima haki wafanyakazi...
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo ametoa kauli Jana kuwa mchakato wa kupata katiba mpya tayari jambo Hilo haliwezekani ! Ameomba kufanyike marekebisho yenye tija kwenye tume ya...
Aliyekuwa Mgombea Urais nchini Kenya Profesa George Wajackoyah amewatahadharisha Chadema kuwa makini na mchakato wa katiba mpya Ili kuhakikisha wanapata katiba bora.
Wajackoyah amesema suala la...
CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), kimeipongeza Serikali kwa kutoa sh. bilioni 2.4 za malipo ya wanachama wao waliokuwa wanafanya kazi katika...
Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.
Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;
....uongozi duni.
....huduma za jamii kulemaa...
Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi,
Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na...