CHADEMA anzisheni Jumuiya ya Chipukizi ili kuwaandaa BAVICHA wa kesho

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,033
Hakika nimeupenda utaratibu wa CCM kuwa na Jumuia ya CHIPUKIZI ktk Chama chao.Jumuia ya Chipukizi ndio UVCCM ya Kesho.
USHAURI kwa CHADEMA Chama Kikuu cha UPINZANI TANZANIA ni vema nao Wakaanzisha Baraza la CHIPUKIZI ( BACHICHA) ili Kesho wawe BAVICHA walioiva kiitikadi ya CHADEMA iliyojengeka ndani ya CHAMA chao.
Nimekisemea CHADEMA kwa sababu ndio CHAMA pekee cha UPINZANI wa KWELI na ndio maana kinapigwa Mawe na CCM na Vyama vingine ambavyo ni Vyama Tanzu vya CCM na vipo kwa ajili ya kufubaisha MIKAKATI na HARAKATI ZA UPINZANI.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hao chipukizi wa CCM wamesaidia Nini?. Mbona tupo kwenye mgao wa umeme na ugumu wa uchumi?. Halafu siku nyingine usilamishe takataka za CCM zije CHADEMA.
 
Chipukizi ya CCM imejaa vijizi chipukizi.

Yani majizi yameweka vitoto vyao kulinda maslahi yao siku za usoni.

Kwahiyo unataka CHADEMA nayo ifuate mtindo huo?
Naona huwa wanafundishwa kukwapua huko.
 
Yule Isack Mwigulu mbeleni atakuja kuwaambia watanzania kama hamuwezi kulipa kodi muende mkaishi Somalia.
Alisema tuhamie Burundi labda akiamua tena kuwa safari hii tuhamie Somalia kwasababu imeshajiunga na Jumuia ya Afrika ya Mashariki.
 
Mwanaye Mwigulu yule Isack siku akija kuwa kiongozi atawaambia watu wahamie Somalia wakiona kodi ni kubwa
 
Hakika nimeupenda utaratibu wa CCM kuwa na Jumuia ya CHIPUKIZI ktk Chama chao.Jumuia ya Chipukizi ndio UVCCM ya Kesho.
USHAURI kwa CHADEMA Chama Kikuu cha UPINZANI TANZANIA ni vema nao Wakaanzisha Baraza la CHIPUKIZI ( BACHICHA) ili Kesho wawe BAVICHA walioiva kiitikadi ya CHADEMA iliyojengeka ndani ya CHAMA chao.
Nimekisemea CHADEMA kwa sababu ndio CHAMA pekee cha UPINZANI wa KWELI na ndio maana kinapigwa Mawe na CCM na Vyama vingine ambavyo ni Vyama Tanzu vya CCM na vipo kwa ajili ya kufubaisha MIKAKATI na HARAKATI ZA UPINZANI.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app

Kuwa brain wash watoto ni jambo la kipumbafu. Watoto wadogo wana itikadi gani kisiasa? Hii mambo ya chipukizi ipigwe marufuku ni kinyume na haki za watoto.
 
Chipukizi in Politics arena is not the preparation for government and party leaders' near-future rather its' a life by itself

Watu wameshasnza maisha hapo kwa kuchagua upande wewe subiri wanao watachagua wakiwa chuo
 
Hakika nimeupenda utaratibu wa CCM kuwa na Jumuia ya CHIPUKIZI ktk Chama chao.Jumuia ya Chipukizi ndio UVCCM ya Kesho.
USHAURI kwa CHADEMA Chama Kikuu cha UPINZANI TANZANIA ni vema nao Wakaanzisha Baraza la CHIPUKIZI ( BACHICHA) ili Kesho wawe BAVICHA walioiva kiitikadi ya CHADEMA iliyojengeka ndani ya CHAMA chao.
Nimekisemea CHADEMA kwa sababu ndio CHAMA pekee cha UPINZANI wa KWELI na ndio maana kinapigwa Mawe na CCM na Vyama vingine ambavyo ni Vyama Tanzu vya CCM na vipo kwa ajili ya kufubaisha MIKAKATI na HARAKATI ZA UPINZANI.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Kwa mambo yalivyo, hao watoto chi i ya serikali ya ccm watapata tabu sana.
Nakumbuka tu viongozi wa chadema wakati niko chuo tabu walizokuwa wanapata ikiwemo kusimamishwa masomo.
Wakiandaa mikutano wanaambiwa wanaleta siada chuoni, ila wakifanya ccm fresh tu.
Kwa sasa ambavyo unakula urefu wa kamba yako ni vigumu kwa wazazi kuwahusisha watoto wao na chadema labda ccm maana kuna maokoto ya kujipatia cake ya taifa
 
Hakika nimeupenda utaratibu wa CCM kuwa na Jumuia ya CHIPUKIZI ktk Chama chao.Jumuia ya Chipukizi ndio UVCCM ya Kesho.
USHAURI kwa CHADEMA Chama Kikuu cha UPINZANI TANZANIA ni vema nao Wakaanzisha Baraza la CHIPUKIZI ( BACHICHA) ili Kesho wawe BAVICHA walioiva kiitikadi ya CHADEMA iliyojengeka ndani ya CHAMA chao.
Nimekisemea CHADEMA kwa sababu ndio CHAMA pekee cha UPINZANI wa KWELI na ndio maana kinapigwa Mawe na CCM na Vyama vingine ambavyo ni Vyama Tanzu vya CCM na vipo kwa ajili ya kufubaisha MIKAKATI na HARAKATI ZA UPINZANI.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Huko chadema walishatoka na hawawezi fanya ujinga wa kuchukua eti watoto wa miaka 10 mpeleka kwenye siasa,

Vijana wanatakiwa angalau kuandaliwa anzia vyuoni ,ndo maana ipo CHASO, CHADEMA QUEENS,

Ccm mnafanya utapeli kwa watoto ambao bado hawajawa na maamuzi yao binafsi ,lichama liondoke hili ,hii ni haikubaliki
 
Hakika nimeupenda utaratibu wa CCM kuwa na Jumuia ya CHIPUKIZI ktk Chama chao.Jumuia ya Chipukizi ndio UVCCM ya Kesho.
USHAURI kwa CHADEMA Chama Kikuu cha UPINZANI TANZANIA ni vema nao Wakaanzisha Baraza la CHIPUKIZI ( BACHICHA) ili Kesho wawe BAVICHA walioiva kiitikadi ya CHADEMA iliyojengeka ndani ya CHAMA chao.
Nimekisemea CHADEMA kwa sababu ndio CHAMA pekee cha UPINZANI wa KWELI na ndio maana kinapigwa Mawe na CCM na Vyama vingine ambavyo ni Vyama Tanzu vya CCM na vipo kwa ajili ya kufubaisha MIKAKATI na HARAKATI ZA UPINZANI.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Ilianzishwa ikapigwa marufuku.
 
Hoja ya chipukizi bado inahitaji tafakari!

Hawa ni watoto wadogo, pengine tunahitaji zaidi kuwekeza kwao vitu vya maarifa hasa kwenye elimu ya sayansi na teknologia au fani za michezo na sanaa.

Kuwapeleka kwenye siasa ilihali bado uwezo wao wa kufikiri haujapevuka ni kuwaharibu hasa tukizingatia siasa zetu za Bongo zilivyo.

Tunaendelea kutengeneza matabaka baina ya walio nacho, wanao kitafuta na wale wasio nacho.

Ni wazazi wangapi ndani ya chama ambao wanaweza kugharimia zoezi zima la kupigania hizo nafasi za uongozi? Kuanzia nauli, malazi na mengineyo. Hapo tunakuta ni wale wale wa kila siku ndio tutawasikia majina yao yakivuma, hatimaye kundi la chini linaweza kuamka na kuleta shida huko tuendako.

Nashauri, hawa vichupikizi wabaki huko huko wilayani wakipewa mafunzo kama kawaida, mpaka baadae waingie UVCCM at least akili zao zitakua zimekomaa wataweza kucheza vizuri!
 
Hakika nimeupenda utaratibu wa CCM kuwa na Jumuia ya CHIPUKIZI ktk Chama chao.Jumuia ya Chipukizi ndio UVCCM ya Kesho.
USHAURI kwa CHADEMA Chama Kikuu cha UPINZANI TANZANIA ni vema nao Wakaanzisha Baraza la CHIPUKIZI ( BACHICHA) ili Kesho wawe BAVICHA walioiva kiitikadi ya CHADEMA iliyojengeka ndani ya CHAMA chao.
Nimekisemea CHADEMA kwa sababu ndio CHAMA pekee cha UPINZANI wa KWELI na ndio maana kinapigwa Mawe na CCM na Vyama vingine ambavyo ni Vyama Tanzu vya CCM na vipo kwa ajili ya kufubaisha MIKAKATI na HARAKATI ZA UPINZANI.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Chipukizi wa chadomo ni lazima watoke ile kanda ya mzee Mbowe
 
Back
Top Bottom