Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Umoja wa Mataifa umesema unasikitishwa na Taarifa za Vitendo Vya Jeshi la Israel kuwaua Wapalestina inaowakamata mbele ya Familia zao Source Al jazeera news My take ; Mbona UN hawawakemei Hamas...
3 Reactions
12 Replies
900 Views
Usidhani zamani Watoto wa Viongozi walikuwa wanapelekwa Ulaya na baba zao, la hasha walichonga mipango wenyewe wanaondoka Siku Hizi Watoto wa Viongozi wanafanyiwa connection waingie CCM...
3 Reactions
6 Replies
528 Views
Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe. Ali J. Mwadini, tarehe 20 Disemba, 2023 amesaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Kuwait mjini Paris kufuatia kifo cha Amir wa Kuwait, Sheikh Nawaf...
0 Reactions
1 Replies
575 Views
Najua Waziri wa Foreign mh Byabato anashinda humu Jf tafadhali naomba kujua status ya Watoto wetu walioko Nchi ya Ahadi Israel Walienda 260 sasa wamebaki 258 nadhani Ahsante sana
1 Reactions
14 Replies
636 Views
Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao. Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nakumbuka mwanzo wa utawala wake Magu alitishiaga kufuta hiki kinacho itwa Chipukizu ili watoto wajikite kwenye kusoma waje walisaidie Taifa.Sijui kwanini alighaili ila alikuwa sahihi kabisa...
3 Reactions
5 Replies
819 Views
Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote. Ikumbukwe wazo...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
MOROGORO; Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), Augustine Vuma ametoa rai kwa watanzania kuwa wajiandae kuanza kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi...
0 Reactions
9 Replies
934 Views
Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe...
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mwenyekiti wa Chama cha Wajane Afrika (TAWS), Hope Nwakwesi na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 19...
0 Reactions
4 Replies
519 Views
Habari kubwa Leo ni uchaguzi wa Chipukizi wa CCM ambao ndio Viongozi wa kesho. CCM wanawaandaa viongozi wao na WA Tanzania ya kesho Wangali Wachanga,wakaanza kukomazwa mapema sana. Chadema Sasa...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo...
26 Reactions
116 Replies
8K Views
Nimewaza hapa nikaona kuwa inawezekana huu mgao mkali wa umeme ni serikali haina pesa ya kununulia gesi ya kutosha. Naomba kufahamu serikali inanunua gesi kwa kutumia pesa gani?
0 Reactions
3 Replies
477 Views
Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo . Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya...
30 Reactions
110 Replies
9K Views
Ningetaka kuandika kwa kirefu sana kuelezea jambo ambalo labda kwa kifupi lingetosha kuelezewa. Sijaelewa kwanini hadi leo hii masaa zaidi ya 24 tangu Jaji Manento atoe muhtasari wa ripoti yake ya...
38 Reactions
118 Replies
10K Views
Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana...
27 Reactions
59 Replies
6K Views
Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan "Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Nchi hii imezoea kutoa taarifa za masifa na majidai tuu,lakini habari kama hii ya tahadhari ya Worid Bank kuhusu mipango mibovu ya uchumi ya nchi yetu inayopelekea umasikini kwa raia sio Waziri...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Salaam, Shalom!! Mwalimu Nyerere alipotuambia KILIMO ni UTI wa mgongo, alionyesha Kwa vitendo Kwa kuwachukua watoto wake kina madaraka , na ndugu na kwenda nao shambani. Uongozi ni vitendo Si...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom