Umoja wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na...
Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo...
#HABARI Msajili wa vyama vya wafanyakazi na waajiri amebatilisha uamuzi wa wajumbe 18 wa kamati ya utendaji wa taifa wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wa kushinikiza kumsimamisha Katibu wao mkuu...
Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu.
Samia amekuwa...
Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM.
Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani...
Nchi yetu ya Tanzania ni kisiwa cha amani Duniani,hili ni tokeo la malezi mema ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,siasa ya ujamaa na kujitegemea ilitufanya tuwe waungwana na...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kujenga uwanja mpya mwingine wa kisasa ambao utatumika katika mashindano ya AFCON...
Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa...
Nyinyi ni watumishi wa Mungu kwanini mnajidhalilisha kwa wana siasa, mbona wao viongozi wa kisiasa hawa jidhalilishi kwenu?
Kwanini nimesema mnajidhalilisha, kwa wana siasa, hasa wa chama...
Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??
Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??
Nani ndani...
DPP wetu kizuizi mapambano dhidi ya ufisadi
M. M. Mwanakijiji
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MAPAMBANO ya ufisadi nchini sasa hivi yanakwamishwa siyo na Rais Jakaya Kikwete kama wengi...
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa...
Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Tunzeni hili andiko, shikeni haya maneno, kamateni haya maandishi kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa na kuingia katika...
Mahakama Kuu ya Tanzania ilisema SIO SAWA Wakurugenzi (ma-DED) Kusimamia Uchaguzi.
Mahakama ya Rufani ikatengua Maamuzi hayo👆🏿, moja ya sababu ilikuwa kwamba Wakurugenzi huwa wanakula kiapo cha...
Baada ya kubanwa,mafisadi wamekuja na mbinu Mpya.
Huko Mbinga Polisi Kwa Kushirikiana na Takukuru wanamsaka Daktari ambae alimuwekea POP Injinia wa Wilaya ambae Anaetuhumiwa Kwa wizi wa Fedha za...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi amesoma Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM kutoka mwaka 2020-2023 ambapo ametumia mkutano mkubwa uliofanyika katika...
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.