.
Katika list ya picha Bora ya Christmas Leo kutoka duniani zalizowekwa kwenye mtandao mkubwa wa BBC world news ni hii walioitaja kuwa picha hiyo ilipigwa unguja Kenya ,
Sidhani kama mpigaji...
CCM inaitaji katibu mkuu mzalendo, mpigania haki na usawa, mcha Mungu kama vile Humphrey POLEPOLE.
This guy huwa namkubari sana ni jeniasi na ni PRO MAGUFULI, na ukimtaja Magufuli kwa mema...
Kama kweli Mh. Boniface Jacob ameamua kufuatilia Vyeti vya Viongozi wetu basi kule Moshi ooh sorry Mwanza yupo Mh. Shigongo ambaye ni Darasa la 7 lakini ana degree!
Kama yeye ni mwamba amfate Mh...
Wanajamvi na watanzania kwa ujumla, hasa wafanya kazi wa serikali!
Ninachokiañdika hapa, bila shaka ni hitaji la kila mfanyakazi,
Mimi nikiwa kama mkulima wa hapa nanjilinji, nimechoshwa na...
Mhe. Rais amefanya jambo kubwa sana kufungua milango upya kwa watu kuja Tanzania . Alikuta nchi imefungwa, tulikuwa kisiwani na sasa amekwenda kuwaleta wageni na kutusaidia watanzania tukubalike...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya...
Kwema Wakuu!
Mpango wangu tangu mwaka jana kama nilivyoandika kwenye uzi hapa Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi?
Nilitaka...
Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel, amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia ubora wa huduma katika Hospitali na Vituo vya kutolea Huduma za afya na kuhakikisha...
Mkapa - Benjamin Mkapa Stadium
Kikwete - University of Dodoma, Hospitali ya moyo
Magufuli- Barabara, Magufuli bus terminal, Ikulu Chamwino
Mama Samia Hassan Suluhu nini kikubwa kafanya...
Heri ya Christmas wakuu
Mungu akijalia tunaenda kumaliza Mwaka, mkuu wa nchi yetu ametembea Zaidi ya mataifa kuminane hadi Sasa!
Kimsingi kuna kauli kubwa husemwa na Wana CCM pamoja na baadhi ya...
Hakika nimeshangazwa sana kuona kuna wastaafu wa wizara ya ardhi waliostaafu kwa lazima wameitwa na kupewa tena nafasi zile zile walizostaafia na kupewa mikataba.
Ni ukweli usiofichika mtumishi...
Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu...
Wabunge wengi wameanza kuona dalili za hatari KUELEKEZA 2025. Wamekimbilia kwenye majimbo kwa kazi maalumu. Moja ya kazi wanayofanya nikutembelea wazee maarufu nakupiga nao picha , pili nikununua...
Salaam, Shalom!!!
I declare interest, Rabbon ni mdau wa watoto, nimekuwa katika kitengo hicho Kwa miaka mingi sasa katika Imani.
Viongozi wapo wa Kuzaliwa Toka tumboni, na wapo wa kufundishwa...
INTIMIDATION NI NINI?
INTIMIDATION ina maana na tafsiri mbalimbali hasa ukitegemea na muktadha Stahiki.
Intimidation ni kitendo cha kumfanya mtu aogope, yaani akuhofie kiasi kwamba...
Mwl Udadis, Nairobi
In November 2023, Kenyans are indeed feeling bewildered and frustrated by the consistent increase in oil prices within their country, especially when global oil prices have...
Huu ni ujumbe wa wazi ninaoupeleka kwa Dr Mpango , ambaye ni Makamu wa Rais wa Tanzania.
Tangu itokee sintofahamu ya kutoonekana kwake, Mh huyu alijitokeza kwa mara ya kwanza Kanisani , jambo...
Wadau nimeshangaa kuona watu wanaopiga picha linalojengwa pale kigongo busisi wanakamata na kunyanyaswa sana. Je shida nini?
Kwanini tulipe Kodi lakini kupiga picha ya kitu kinachojengwa na Kodi...
Kwa hali ya siasa za TANZANIA raisi hutoka chama tawala. Tunahitaji raisi mwendawazimu atakayeweza kuleta katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, raisi asiyeogopa mtu yeyote ndani au nje ya chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.