Wanaharakati na wapinzani mbona kama washamba sana, hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah

Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii

Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
 
Hiv kila anaetoa maoni ni mpinzani. Hiv hii nchi haina watu wanaofikiri na kuelezea hisia zao. Ukiona watu wanapinga kila kitu ujue washakuona wewe ni muovu usie na jema.
 
Hizo stori za mamba au wanyama fulani kiwa wengi sio kweli, watu wanakatiza katika mito isiyo na mdaraja au wanaenda kuchota maji mtoni ambapo ni makazi ya mamba ndipo wanashambuliwa na mamba.
Serikali ijenge madaraja na kupeleka maji ya bomba majumbani.
 
Hiv kila anaetoa maoni ni mpinzani. Hiv hii nchi haina watu wanaofikiri na kuelezea hisia zao. Ukiona watu wanapinga kila kitu ujue washakuona wewe ni muovu usie na jema.
Huo msitari na sentensi ya kwanza ndio gear ya wanasiasa hasa wasipenda haki hupenda kuutumia. Na kwakuwa Watanganyika wengi hudhani kuwa ni akili kujimilikisha chama basi na wao wanaubigia gitaa.
 
Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah

Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii

Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Mtaji wa kisiasa wa viongozi wa CCM ni ujinga na umaskini uliotopea kwa wananchi waliokuwa wengi nchini. Viongozi hawa muflisi wa maono, mawazo na hata fikra pevu, siku zote huchukizwa sana na watu wenye uthubutu wa kuhoji na kutafuta kudadisi vitu vya msingi

Kwani watapungukiwa na nini pale wanapotoa majibu yenye mantiki endapo wanaharakati ama wapinzani wanapotia shaka juu ya jambo lolote lile!? Kama ni suala la uwepo wa kibali kilichokwisha kutolewa kwa huyo mtalii, basi si walipaswa kutoa maelezo yaliyonyooka tu!

Itoshe tu kusema CCM imechoka sana kimaono, imefika kiwango hata haibebeki tena kwa mbeleko ya vyombo vya dola. Watumishi ndani ya vyombo hivi nao ni maskini wa kutupwa, na tena wanapigika ile mbaya, pengine ni mabosi wao tu wachache ambao kwa kiasi fulani wanalamvishwa kidogo asali.
 
Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah

Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii

Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Na wewe huna tofauti na wao!
Ungeeleweka kama ungeleta jina la huyo Mmarekani. Ungejitofautisha nao kama ungeleta kibali chake cha kufanya hicho alichokifanya!
Zaidi ya yote ungetuonesha kiasi cha fedha alicholipa kwa ajili ya kumuua huyo mamba ungewafunga midomo!
Nasubiria!
 
Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah

Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii

Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Hawajui kabisa...

hata serikali ilipotangaza kuuza wanyama pori hai nje ya nchi baadhi yao walipiga kelele sana hata humu jamvini kumbe ni biashara tu kama ya kuuza nyama.
 
Unamuua kiumbe mkubwa wa aina yake dunian halaf unasema ni uwindaji...dunia ya sasa
 
Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote
Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah

Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu wanalipa vibali vya bei juu kufanya huo utalii

Kuna wanyama ambao wapo hatarini kutoweka na hao huwa vibali vyake hakuna, sasa mamba sio mnyama ambaye yupo hatarini kutoweka,. Mamba wapo wengi sana na tunasikia hadi wananchi na wabunge wakilalamika baadhi ya maeneo kuwa na mamba wengi na kuua wananchi
Mara nyingi hao Huwa ni roporopo na wasiojielewa.

Ni wa kupuuzwa tuu
 
Hawajui kabisa...

hata serikali ilipotangaza kuuza wanyama pori hai nje ya nchi baadhi yao walipiga kelele sana hata humu jamvini kumbe ni biashara tu kama ya kuuza nyama.
Yalivyo majinga yanashindwa kuelewa kwamba wanyama ni Mali Asili sawa tuu na samaki,Madini nk

Sasa huko kwingine Kwa nini hawapingi? Na walivyo na akili fupi hudhani kwamba Utalii ni hao mapunda wakati huko Egypt,Morocco,Tunisia nk hakuna hata wanyama ila ndio zinaongoza Kwa Utalii.

Utalii wa kutegemea Wanyamapori ulishapitwa na wakati ni sehemu ndogo sana ya product kwenye dhana nzima ya Utalii.
 
Back
Top Bottom