Nani aliye Msafi ndani ya CCM??

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,307
33,925
Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??

Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??

Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??

Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??

Nani aliye msafi ndani ya CCM???
 
Hana usafi wowote, ni sehemu ya dhuluma na ubakaji wa demokrasia uliofanyika 2020.Kwa kauli yake mwenyewe , akiwa Tanga kwenye kampeni alisema "Hata mkiwapigia kura upande ule mwingine , ccm ndiyo inaenda kuunda serikali"
"Askari wa CCM wana shabaha..." Maskini Lissu!!!
 
Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??

Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??

Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??

Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??

Nani aliye msafi ndani ya CCM???
Salaam ndugu, Ndani ya CCM wapo wasafi pengine kuliko unavyofikri, wenye tabia za uzandiki, ufisadi, umalaya na wizi ni matokeo ya malezi na makuzi yao, Mifumo na itikadi za CCM hazizalishi product ya "wanyanganyi na manyangau wa kuhujumu taifa hili" Taifa hili tunalo ombwe la uaminifu katika taasisi nyingi za kijamii na kidini, wezi na mafisadi wapo hadi makanisani na misikitini, mabadiliko ya wema na usafi yawe sehemu ya malezi tangu ngazi ya familia ili kupata kizazi kitakacho simama kama viongozi wenye utumishi wa umma wenye kutanguliza maslahi ya taifa na si matumbo yao na Koo zao.
 
Nani ndani ya CCM hajawahi kutumia cheo chake kwa manufaa yake binafsi??

Nani ndani ya CCM anaona kutumia ghiliba,dhuluma, wizi au rushwa kupata ushindi kwenye chaguzi ni jambo baya??

Nani ndani ya CCM anayesikitika fedha za Umma zinavyokwapuliwa na wajanja wachache waliomo ndani ya Chama hicho??

Ni mwana CCM gani anayesikitika fedha za Umma kuingizwa kwenye miradi isiyo na kichwa Wala Miguu??

Nani aliye msafi ndani ya CCM???
wote majizi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom