Watu hawapaswi kuhofu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2025

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM.

Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani watakuwa roundef up, watapelekwa mahabusu. Hizi hofu hazina msingi, ndiyo mawazo yangu.

Kweli yalikuwepo matilatizo katika Uchaguzi uliopita. Lakini yale yalikuwa ni makosa ya Magufuli ambaye hakutaka Wapinzani wapate kiti hata kimoja.

Lakini matatizo haya sasa yamekwisha.
Kama Katiba inaweza kubadilishwa katika kipindi hiki kifupi, sawa. Au kama inawezekana kupata Tume Mpya ya Uchaguzi, sawa.

Lakini haina lazima. Halafu complaints za Uchaguzi ni complaints dhidi ya TISS.
Kwa hiyo, itategemea jinsi TISS wanavyofanya kazi. Au jinsi Polisi wanavyofanya kazi.

Au sivyo utakuwa unahangaika bure kuibadili Katiba. Mimi naamini kwamba this is a mature country na hatutashindwa kufanya Uchaguzi credible mwaka 2025.
 
sio hofu hua ni maandalizi ya kisiasa ya sababu za kushindwa uchaguzi vibaya sana za kuwapooza wafuasi wenye jazba watulie
 
Katika suala zima la uchaguzi, hasa tuelekeapo uchaguzi wa 2025, CCM ni sawa kabisa na mbwa mwitu aliyejificha katika ngozi ya kondoo. Wapinzani (kundi la kondoo) wawe makini sana na ahadi zake, kwa kuwa kwa vyovyote vile wataishiwa kuraruriwa tu.

Chama kama hiki kinahitaji kufanyiwa nacho hujuma pale kinapofanya hujuma za wazi. Wale wanaohusika na hujuma ni vyema wakafanyiwa kila aina ya vitimbi, ili wapate kutambua kuwa haki ni tunda la amani.

Kama ikitokea hujuma, basi itabidi majuto iwe ni mjukuu, ofisi za CCM zitapaswa kuchomwa moto kupitia mabomu ya mkono ya petroli, nyumba za makada waliondesha hujuma nazo hazipaswi kubaki salama, na maji ya moto ama tindikali zitapaswa kutumika ku "shape" sura zao ili wabaki na alama za kudumu katika miili yao.

Ingawa Mungu hapendi, lakini hapo itakuwa ni mwanzo wa kukataa ukondoo na kuheshimiana.
 
Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM.

Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani watakuwa roundef up, watapelekwa mahabusu. Hizi hofu hazina msingi, ndiyo mawazo yangu.

Kweli yalikuwepo matilatizo katika Uchaguzi uliopita. Lakini yale yalikuwa ni makosa ya Magufuli ambaye hakutaka Wapinzani wapate kiti hata kimoja.

Lakini matatizo haya sasa yamekwisha.
Kama Katiba inaweza kubadilishwa katika kipindi hiki kifupi, sawa. Au kama inawezekana kupata Tume Mpya ya Uchaguzi, sawa.

Lakini haina lazima. Halafu complaints za Uchaguzi ni complaints dhidi ya TISS.
Kwa hiyo, itategemea jinsi TISS wanavyofanya kazi. Au jinsi Polisi wanavyofanya kazi.

Au sivyo utakuwa unahangaika bure kuibadili Katiba. Mimi naamini kwamba this is a mature country na hatutashindwa kufanya Uchaguzi credible mwaka 2025.
Endelea kujifariji!

"Uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri katiba mpya"maagizo hayoe Toka Kwa wale jamaa!

Sasa huyu nae kama ilivyokawaida Kwa viongozi wakubwa was chama chetu huwa Wana kaugonjwa kao ka "Mimi ndio top hakuna was kunipangia nitafanya navyotaka" hapo ndipo mtego ulipo hapo!!!

Utafanyaje uchaguzi bila katiba mpya wakati ujasusi umesharidhia na maagizo wametoa!!?ukikiuka wale jamaa watakuambia Kaa pembeni au hatutaki nyie tunataka hawa nyie mnahatarisha usalama was nchi Kwa kukiuka maagizo ya sisi wenye Dola!!?utafanyaje!!?

Huna Cha kufanya utaachia!!!UGONJWA WA KUTOFUATA MAAGIZO UNAWATAFUNA SANA VIONGOZI WA CHAMA CHETU!WANAAAMINI DEMOKRASIA YA MARIDHIANO YA MEZANI YA AMANI YATABAGAZA MAAGIZO YA DOLA,AKILI FINYU SANA HIZI!

NGOJA NIONE MTANANGE KATI YA VIONGOZI VS WATOA MAAGIZO YAANI DOLA!!
 
Sasa kana matatizo na complains hazijashughulikiwa, kwa nini usiwe na wasiwasi?? Kurudia kufanya kitu kile kile vile vile na kutarajia matokeo tofauti ni Uchizi.

wahusika hawajawahi hata kukiri matatizo kwenye chaguzi zilizipita na hawajafanya chochote kutibu... ina maana wataendelea kufanya yale yale as long as Yana neema kwao.

Wenye akili wanapaswa kuwa ma wasiwasi saaaaana.
 
Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM.

Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani watakuwa roundef up, watapelekwa mahabusu. Hizi hofu hazina msingi, ndiyo mawazo yangu.

Kweli yalikuwepo matilatizo katika Uchaguzi uliopita. Lakini yale yalikuwa ni makosa ya Magufuli ambaye hakutaka Wapinzani wapate kiti hata kimoja.

Lakini matatizo haya sasa yamekwisha.
Kama Katiba inaweza kubadilishwa katika kipindi hiki kifupi, sawa. Au kama inawezekana kupata Tume Mpya ya Uchaguzi, sawa.

Lakini haina lazima. Halafu complaints za Uchaguzi ni complaints dhidi ya TISS.
Kwa hiyo, itategemea jinsi TISS wanavyofanya kazi. Au jinsi Polisi wanavyofanya kazi.

Au sivyo utakuwa unahangaika bure kuibadili Katiba. Mimi naamini kwamba this is a mature country na hatutashindwa kufanya Uchaguzi credible mwaka 2025.
Tatizo la Tanzania katika mambo yote ni mfumo CCM!
 
Kama unakubaliana kuwa matatizo yaliyojitokeza uchaguzi uliopita yalikuwa ni Magufuli ambaye hakutaka Wapinzani wapate hata kiti kimoja,basi waondoe COVID 19 Bungeni ambao walisimikwa kwa njia haramu ili kupata misaada kutoka kwa mabeberu.
 
Katika suala zima la uchaguzi, hasa tuelekeapo uchaguzi wa 2025, CCM ni sawa kabisa na mbwa mwitu aliyejificha katika ngozi ya kondoo. Wapinzani (kundi la kondoo) wawe makini sana na ahadi zake, kwa kuwa kwa vyovyote vile wataishiwa kuraruriwa tu.

Chama kama hiki kinahitaji kufanyiwa nacho hujuma pale kinapofanya hujuma za wazi. Wale wanaohusika na hujuma ni vyema wakafanyiwa kila aina ya vitimbi, ili wapate kutambua kuwa haki ni tunda la amani.

Kama ikitokea hujuma, basi itabidi majuto iwe ni mjukuu, ofisi za CCM zitapaswa kuchomwa moto kupitia mabomu ya mkono ya petroli, nyumba za makada waliondesha hujuma nazo hazipaswi kubaki salama, na maji ya moto ama tindikali zitapaswa kutumika ku "shape" sura zao ili wabaki na alama za kudumu katika miili yao.

Ingawa Mungu hapendi, lakini hapo itakuwa ni mwanzo wa kukataa ukondoo na kuheshimiana.
Wazo zuri kama litafanyiwa kazi barabara.
 
Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM.

Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani watakuwa roundef up, watapelekwa mahabusu. Hizi hofu hazina msingi, ndiyo mawazo yangu.

Kweli yalikuwepo matilatizo katika Uchaguzi uliopita. Lakini yale yalikuwa ni makosa ya Magufuli ambaye hakutaka Wapinzani wapate kiti hata kimoja.

Lakini matatizo haya sasa yamekwisha.
Kama Katiba inaweza kubadilishwa katika kipindi hiki kifupi, sawa. Au kama inawezekana kupata Tume Mpya ya Uchaguzi, sawa.

Lakini haina lazima. Halafu complaints za Uchaguzi ni complaints dhidi ya TISS.
Kwa hiyo, itategemea jinsi TISS wanavyofanya kazi. Au jinsi Polisi wanavyofanya kazi.

Au sivyo utakuwa unahangaika bure kuibadili Katiba. Mimi naamini kwamba this is a mature country na hatutashindwa kufanya Uchaguzi credible mwaka 2025.
Kilio Cha chaguzi kutokuwa za haki ni toka mfumo wa vyama vingi urejee hapa nchini. Wakati wa dhalimu magu ndio udhaifu huwa ukawa wazi zaidi. Iwapo hakuna mabadiliko ya kweli ya kupata uchaguzi wa halali, itakuwa ni ujinga wa hali ya juu kuendelea kushiriki kwenye chaguzi hizi za kishenzi.

Ifahamike ccm haina uwezo tena wa kushinda chaguzi ili kupata 2/3 ya kufanya maamuzi bungeni watakavyo, na hawatakaa waweze tena kihalali kupata wingi huo. Hivyo wataendelea kufanya rafu hizo hizo ili wapate idadi hiyo. Ukiona hawako tayari kwa tume huru ya uchaguzi Wala katiba mpya, ujue hawako tayari kwa chaguzi halali. Mtu mjinga tu ndio ataweza kushiriki chaguzi hizo za kihayawani, kisha kuanza kulalamika baada ya uchaguzi kwa mazingira ambayo toka awala yako wazi.

Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura hapa nchini. Na kwa kukusaidia tu hakuna mwenye hofu, Bali watu wamepuuza chaguzi za kishenzi.
 
Katika suala zima la uchaguzi, hasa tuelekeapo uchaguzi wa 2025, CCM ni sawa kabisa na mbwa mwitu aliyejificha katika ngozi ya kondoo. Wapinzani (kundi la kondoo) wawe makini sana na ahadi zake, kwa kuwa kwa vyovyote vile wataishiwa kuraruriwa tu.

Chama kama hiki kinahitaji kufanyiwa nacho hujuma pale kinapofanya hujuma za wazi. Wale wanaohusika na hujuma ni vyema wakafanyiwa kila aina ya vitimbi, ili wapate kutambua kuwa haki ni tunda la amani.

Kama ikitokea hujuma, basi itabidi majuto iwe ni mjukuu, ofisi za CCM zitapaswa kuchomwa moto kupitia mabomu ya mkono ya petroli, nyumba za makada waliondesha hujuma nazo hazipaswi kubaki salama, na maji ya moto ama tindikali zitapaswa kutumika ku "shape" sura zao ili wabaki na alama za kudumu katika miili yao.

Ingawa Mungu hapendi, lakini hapo itakuwa ni mwanzo wa kukataa ukondoo na kuheshimiana.
Ww ndio umezungumza kitu Sahihi, na vyombo vya Dola huwa vinahusika moja kwa Moja na kwa uwazi kabisa katika kuhujumu wapinzani. Inatakiwa wao na familia zao pia wasibaki salama. Watekwe familia zao, au kuwekewa sumu kwenye vyakula vyao ndio watajua dhuluma hailipi. Lakini kuendelea kushiriki chaguzi ambazo mwenyekiti wa ccm na genge lake wanaamua nani atangazwe mshindi, huku wapinzani wakibaki na vilema vya maisha, kuuwawa, kutekwa na kubambikiwa kesi, bila hatua za kulipa kisasi, ni ujinga kama ujinga mwingine.
 
Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM.

Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani watakuwa roundef up, watapelekwa mahabusu. Hizi hofu hazina msingi, ndiyo mawazo yangu.

Kweli yalikuwepo matilatizo katika Uchaguzi uliopita. Lakini yale yalikuwa ni makosa ya Magufuli ambaye hakutaka Wapinzani wapate kiti hata kimoja.

Lakini matatizo haya sasa yamekwisha.
Kama Katiba inaweza kubadilishwa katika kipindi hiki kifupi, sawa. Au kama inawezekana kupata Tume Mpya ya Uchaguzi, sawa.

Lakini haina lazima. Halafu complaints za Uchaguzi ni complaints dhidi ya TISS.
Kwa hiyo, itategemea jinsi TISS wanavyofanya kazi. Au jinsi Polisi wanavyofanya kazi.

Au sivyo utakuwa unahangaika bure kuibadili Katiba. Mimi naamini kwamba this is a mature country na hatutashindwa kufanya Uchaguzi credible mwaka 2025.
Hakuna uchaguzii hapo nani mwenye akili timamu kichwanii ambaye hajuii kuwa Rais wa nchi hii tunachaguliwa na CCM,kila mwenye akilii timamu anajua kuwa Mama samia ndiye rais mpaka 2030 hilo hata chadema wanalijuaa labda kitakachogombaniwa hapo ni Ubunge na udiwani
 
Kama Katiba inaweza kubadilishwa katika kipindi hiki kifupi, sawa. Au kama inawezekana kupata Tume Mpya ya Uchaguzi, sawa.

Au sivyo utakuwa unahangaika bure kuibadili Katiba. Mimi naamini kwamba this is a mature country na hatutashindwa kufanya Uchaguzi credible mwaka 2025.
Mkuu Poppy, Poppy Hatonn, hii ni hoja yako kuntu kabisa ya kufungia mwaka, naunga mkono hoja kwa asilimia 100%, asante kwa hoja hii na hongera.
P
 
Katika suala zima la uchaguzi, hasa tuelekeapo uchaguzi wa 2025, CCM ni sawa kabisa na mbwa mwitu aliyejificha katika ngozi ya kondoo. Wapinzani (kundi la kondoo) wawe makini sana na ahadi zake, kwa kuwa kwa vyovyote vile wataishiwa kuraruriwa tu.

Chama kama hiki kinahitaji kufanyiwa nacho hujuma pale kinapofanya hujuma za wazi. Wale wanaohusika na hujuma ni vyema wakafanyiwa kila aina ya vitimbi, ili wapate kutambua kuwa haki ni tunda la amani.

Kama ikitokea hujuma, basi itabidi majuto iwe ni mjukuu, ofisi za CCM zitapaswa kuchomwa moto kupitia mabomu ya mkono ya petroli, nyumba za makada waliondesha hujuma nazo hazipaswi kubaki salama, na maji ya moto ama tindikali zitapaswa kutumika ku "shape" sura zao ili wabaki na alama za kudumu katika miili yao.

Ingawa Mungu hapendi, lakini hapo itakuwa ni mwanzo wa kukataa ukondoo na kuheshimiana.
Absolutely.
Ndio maana Mimi binafsi huwa sina hamasa kabisa na masuala ya siasa za hapa Tz, hususani siasa za kwenye vyama vya siasa vya upinzani kwa sababu daima wamekuwa wakitumia mbinu zisizo sahihi ktk kufanya siasa zao dhidi ya chama tawala "cha ukombozi" kama Ccm. Duniani kote uzoefu unaonyesha kwamba vyama tawala vya siasa vinavyojiita kuwa ni "vyama vya ukombozi" vilidhibitiwa na vyama pinzani au na nguvu za wananchi baada ya vyama hivyo pinzani pamoja na Makundi mbalimbali ya kijamii za wapigania haki kuanzisha "Underground Resistance Movements." Paramilitary Political Wings" zilianzishwa kwenye vyama vyote pinzani na kwenye makundi mbalimbali ya wanajamii ili kupambana au kukomesha vitendo vya dhulma, mateso na unyanyasaji ambavyo watu wamekuwa wakifanyiwa na watawala au vyama tawala vya "ukombozi" vilivyopo kwenye nchi zao. Na hii ndio njia pekee ambayo imekuwa ikitumika na watu duniani kote.
"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."(Martin Luther King Jr)
 
Upinzani inabidi washiriki uchaguzi kwa namna yoyote ile, na raia wote wajitokeze kupiga kura na kuzilinda.
 
Ni kupoteza muda, na hao walinda kura wataishiwa kubambikiwa kesi kuwa walitaka kuharibu uchaguzi. Kwenda kujazana kwenye vituo vya uchaguzi kwa matarajio yatatangazwa matokeo halali ni kujidanganya.
 
Back
Top Bottom