Wajumbe 18 wa CWT kukiona cha Moto

Wajumbe 18 wa CWT kukiona cha Moto

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,128
#HABARI Msajili wa vyama vya wafanyakazi na waajiri amebatilisha uamuzi wa wajumbe 18 wa kamati ya utendaji wa taifa wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wa kushinikiza kumsimamisha Katibu wao mkuu Japhet Maganga kuendesha shughuli za taasisi hiyo.

Kufuatia uamuzi huo Rais wa CWT Leah Ulaya amelaani kitendo kilichofanywa na wajumbe hao kwa kukiuka katiba na misingi ya chama na kusema watachukuliwa hatua za kinidhamu.

“Kikao kilichofanyika hakikuwa halali na kilifanya maamuzi batili ambayo hayakuzingatia katiba na kanuni za CWT”. Amesema Ulaya.
#EastAfricaTV
1686467155438.jpg
 
Serikali ndo inachokitaka.

Yaani jamii ikiyovurugwa haiwezi kuwaza mambo ya msingi
Nyomi la Yanga Jana kama watu wanajielewa likijikusanya kuandama kudai haki lazima serikali isalimu Amri.

Ila Watanzania tuko bize kugombea kiatu apewe Mayele au Saido, akili zikiturudia bora hata mikataba ya Chief Mangungo.
 
Naamini Serikali inafaidika na huu ubadhirifu na ufisadi unaofanywa na hao viongozi wa CWT bila shaka.
Wanaofaidika ni watu na siyo serikali.

Sisi ndio wenye serikali tumekataa, lakini watu wanaonufaika wanalazimisha, mpaka yule aliyejifanya kulia bungeni Jana mmeziona Rangi zake halisi baada ya kupewa rushwa, watu wa Tarime msifanye makosa kumrudisha bungeni huyu muhuni Mwita Waitara.
 
Naamini Serikali inafaidika na huu ubadhirifu na ufisadi unaofanywa na hao viongozi wa CWT bila shaka.
Kivipi nakati juzi mlisema aliyefukuzwa ni mipango ya serikali aligomea teuzi ya Rais, kaja huyu kamkingia kifua pia mnasema serikali inawatetea sasa mpo upande upi?

Shida ya wabongo ndohiyo kama ya kwako huwa wanalalamika bila fact, ebu toa material fact ili watu wakuelewe, weka na vifungu vya kisheria ikiwemo kesi zilizowahi kuendeshwa mahakamani ili uwe na uzito wa hoja yako kuwa cwt ni ccm siyo unaongea tu kufata mkumbo ili upedwe na kundi la watu wanyonge

Ebu tuambie ubaya wa CWT Kwa vidhibitisho, iwe video, gazeti, decided case au ACT yoyote Ile ambayo wameivunja hapo mimi nitakuelewa maana usiwe kama Halima mdee wa Jana akawa anahaha tu kulaani mkataba akiulizwa ubaya upo Wapi anasema anaona mbali
 
Serikali ndo inachokitaka.

Yaani jamii ikiyovurugwa haiwezi kuwaza mambo ya msingi
Serikali inataka aliyegomea uteuzi wa RAIS kuwa mkuu wa wilaya kutokutumbuliwa CWT au umerukia treni kwenye kichwa?
 
Wanaofaidika ni watu na siyo serikali.

Sisi ndio wenye serikali tumekataa, lakini watu wanaonufaika wanalazimisha, mpaka yule aliyejifanya kulia bungeni Jana mmeziona Rangi zake halisi baada ya kupewa rushwa, watu wa Tarime msifanye makosa kumrudisha bungeni huyu muhuni Mwita Waitara.
Elezea anafaidikaje nje ya posho halali kama kiongozi wa CWT? Toa mifano ya rushwa na money laundering waliofanya hawa viongozi wa CWT hususani katibu mkuu
 
Kivipi nakati juzi mlisema aliyefukuzwa ni mipango ya serikali aligomea teuzi ya Rais, kaja huyu kamkingia kifua pia mnasema serikali inawatetea sasa mpo upande upi...
Niliwahi kuwa mwalimu nikakimbia nakujuta kusomea kazi uchwara yakutishwa na visisiemu viongozi vyakijiji!!
CWT nichama cha hovyo kinawalia walimu pesa kihuni huku kikijifungamanisha na ssemu kujidai kitapoza migomo isitokee;

1.) Kutengeneza T shirt Kwa dili chafu bila bila kufuata utaratibu wa tenda.

2.) Kurudisha kiasi cha michango ya walimu mkono Kwa mkono bila KUTUMIA a/c Ili waibe wapendavyo

3.) Kuanzisha bank ya kisanii ikiwa nimradi wawao kutafuta mihela

4.) Kuwa na matumizi makubwa ya pesa wanazokusanya kilazima Kwa walimu bila kuwekwa Wazi kwao wanavyolipana

5.) KUSHINDWA kutetea walimu kwenye maslahi Yao ikiwa increment,promotions nk.

5.) Kutofanya vikao na walimu,kutotoa mrejesho wa Nini wamefanya kila mf. mwaka.

6.)katibu Cwt kulipwa mshahara mkubwa mmno bila tija huku walimu wakiwa na vimishahara vya mwezi ambavyo kistandard vinatosha kula siku 4.

7.) Kutangaza mserereko feki huku wengi wanaostahili hata kutofikiriwa nasasa wamekaa kimya na mserereko hakuna.

Na mengine mengi ya kuchefua yanachosha hata kuandika!!! Itoshe kusema hili lichama nilahovyo huwezi amini ni la walimu maana walipaswa kuwa mfano Kwa taifa.
 
Niliwahi kuwa mwalimu nikakimbia nakujuta kusomea kazi uchwara yakutishwa na visisiemu viongozi vyakijiji!!
CWT nichama cha hovyo kinawalia walimu pesa kihuni huku kikijifungamanisha na ssemu kujidai kitapoza migomo isitokee...
I can't disapprove what you say but I need material fact, ukisema flani kauwa Kwa panga tunataka ulete panga likiwa na damu ya mtu, au video au picha yake akiwa anauwa. Huwez kusema mpwayungu village ni mwembamba ilihali hatujawahi kumwona kwahiyo tunatarajia ulete picha yake.

Narudia tena. Lete ushahidi wa vidhibitisho sio maneno matupu, nipe ushahidi wa gazeti, electronic evidence au case yoyote Ile iliyowahi kuwakuta nawakahukumiwa
 
Acha kuwatetea hao CWT. Ushahidi wa nini ? Kimsingi hicho chama hakiwajali wanachama wake.
Kuomba ushahidi ni kuwatetea?, basi hakimu hana haja ya kuomba ushahidi Kwa public juu ya mtuhumiwa wa murder case maana ataonekana anamtetea defendant
 
I can't disapprove what you say but I need material fact, ukisema flani kauwa Kwa panga tunataka ulete panga likiwa na damu ya mtu, au video au picha yake akiwa anauwa....
Blaza hapa sio mahakamani nawewe siyo hakimu hapa tunapiga filimbi Ili TAKUKURU na wenzao wakiona wafanye kazi Yao waliyosomea waache kuwa irresponsible!

How would I get all those concrete evidence you ask? Do you think I'm from tiss?? I only have partial evidence which I believe it will be helpful on where to start if and only if we have some serious institutions!!!
 
Back
Top Bottom