Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi; Nini hatima ya Tanzania na Maamuzi ya Mahakama ya Rufani?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mahakama Kuu ya Tanzania ilisema SIO SAWA Wakurugenzi (ma-DED) Kusimamia Uchaguzi.

Mahakama ya Rufani ikatengua Maamuzi hayo👆🏿, moja ya sababu ilikuwa kwamba Wakurugenzi huwa wanakula kiapo cha kukana vyama vyao vya Siasa, pia hoja ya kwamba wanateuliwa na Rais hivyo hawawezi kukosa upendeleo kwa Chama tawala, Mahakama ikasema hoja hiyo ni ya kubahatisha/dhahania na inatokana na wasiwasi tu,
hakuna ushahidi.🤔

Sasa leo Mahakama ya Afrika nayo imetoa neno, imesema SIO SAWA Wakurugenzi Kusimamia Uchaguzi.

Pata wasaa wa kupita nazo, nani yupo sahihi? Mahakama Kuu na Mahakama ya Afrika au Mahakama ya Rufani?✍🏼

MD, Mendez (M.C.A)
13/06/2023
 
Attachments

  • MD, Mendez - Bob Chacha Wangwe v. Tanzania , DED to Supervise Election Violates Human Rights, ...pdf
    2.1 MB · Views: 6
Mahakama Kuu ya Tanzania ilisema SIO SAWA Wakurugenzi (ma-DED) Kusimamia Uchaguzi.

Mahakama ya Rufani ikatengua Maamuzi hayo
👆🏿, moja ya sababu ilikuwa kwamba Wakurugenzi huwa wanakula kiapo cha kukana vyama vyao vya Siasa, pia hoja ya kwamba wanateuliwa na Rais hivyo hawawezi kukosa upendeleo kwa Chama tawala, Mahakama ikasema hoja hiyo ni ya kubahatisha/dhahania na inatokana na wasiwasi tu,
hakuna ushahidi.🤔

Sasa leo Mahakama ya Afrika nayo imetoa neno, imesema SIO SAWA Wakurugenzi Kusimamia Uchaguzi.

Pata wasaa wa kupita nazo, nani yupo sahihi? Mahakama Kuu na Mahakama ya Afrika au Mahakama ya Rufani?✍🏼

MD, Mendez (M.C.A)
13/06/2023
Wazee wa goli la mkono watakata rufaa!!
 
Mahakama Kuu ya Tanzania ilisema SIO SAWA Wakurugenzi (ma-DED) Kusimamia Uchaguzi.

Mahakama ya Rufani ikatengua Maamuzi hayo
, moja ya sababu ilikuwa kwamba Wakurugenzi huwa wanakula kiapo cha kukana vyama vyao vya Siasa, pia hoja ya kwamba wanateuliwa na Rais hivyo hawawezi kukosa upendeleo kwa Chama tawala, Mahakama ikasema hoja hiyo ni ya kubahatisha/dhahania na inatokana na wasiwasi tu,
hakuna ushahidi.

Sasa leo Mahakama ya Afrika nayo imetoa neno, imesema SIO SAWA Wakurugenzi Kusimamia Uchaguzi.

Pata wasaa wa kupita nazo, nani yupo sahihi? Mahakama Kuu na Mahakama ya Afrika au Mahakama ya Rufani?

MD, Mendez (M.C.A)
13/06/2023
SUBIRI SIKU SI NYINGI KUNA MTU ATAKATA RUFAA KUPINGA ILI WIZI WA KURA KIPITIA WAKURUGENZI UENDELEE
 
SUBIRI SIKU SI NYINGI KUNA MTU ATAKATA RUFAA KUPINGA ILI WIZI WA KURA KIPITIA WAKURUGENZI UENDELEE
Kwa mahakama za huku nchini ni nadra kutenda haki, lakini kwenye mahakama za nje za watu wanaoweza kusimamia haki serikali haiwezi kushinda kesi. Kitendo cha CCM kuendelea kukaa madarakani muda mrefu kwa shuruti, kutaendelea kufubaza mifumo yote na mamlaka zote za kiutawala. Kitu pekee kitabadilisha hii hali ni machafuko, au mapinduzi.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania ilisema SIO SAWA Wakurugenzi (ma-DED) Kusimamia Uchaguzi.

Mahakama ya Rufani ikatengua Maamuzi hayo
👆🏿, moja ya sababu ilikuwa kwamba Wakurugenzi huwa wanakula kiapo cha kukana vyama vyao vya Siasa, pia hoja ya kwamba wanateuliwa na Rais hivyo hawawezi kukosa upendeleo kwa Chama tawala, Mahakama ikasema hoja hiyo ni ya kubahatisha/dhahania na inatokana na wasiwasi tu,
hakuna ushahidi.🤔

Sasa leo Mahakama ya Afrika nayo imetoa neno, imesema SIO SAWA Wakurugenzi Kusimamia Uchaguzi.

Pata wasaa wa kupita nazo, nani yupo sahihi? Mahakama Kuu na Mahakama ya Afrika au Mahakama ya Rufani?✍🏼

MD, Mendez (M.C.A)
13/06/2023

Kama kuna Jaji wa hovyo ni Mugasha, hopeless lady! Reasoning yake ni very low, low indeed
 
hukumu ya EA iko wapi, if you ahve a copy weka hapa

Kama kuna Jaji wa hovyo ni Mugasha, hopeless lady! Reasoning yake ni very low, low indeed
Inashangaza sana,
Kama mkurungezi akisemwa kusimamia uchaguzi anatenda haki , na kwamba watu wanaosema hawatendi haki ni"hisia" tu.
Kwa mawazo yangu maamuzi yaliyotolewa na mahakama Afrika mashariki ni sahihi sana.
Sisi wananchi huwa tukiona na kusoma Mambo kama haya yanatupa taabu sana na yanatupa maswali mengi sana ambayo tunaishia kukosa majibu mfano '
1) Tunajiuliza swali nyeti kabisa kwa mtu anayeishi Tanzania bado anauliza wakurugenzi kuhusu usimamizi wa uchaguzi , labda kidogo awe anaishi marekani.
2) hapo ndipo tunapoona umuhimu wa vyombo vya maamuzi kuwa huru/kutokuwa huru , kea macho ya kawaida kabisa hata ungemuuliza mtoto anayemaliza darasa la saba kesho atasema , wakurugenzi hasta hili kabisa kusimamia uchaguzi. Na wengi wetu tumeyaishi haya tunafahamu vizuri sana.
3)mbali na mtazamo wa kisheria, unaweza kuona waamuzi wapi Kati ya mahakama ya rufaa na mahakama ya Afrika mashariki wako karibu zaidi na wananchi hapo kwa kuona au kusikia tu ambayo huwa yanatendeka.
Sasa ukijaribu kuona na kujiuliza sana unazalisha maswali mengine mengi sana, kama uzalendo, weledi, uteuzi, ni.
Yote na yote Dawa ni 'KATIBA'mpya yenye mahitaji ya wananchi kwa sasa
 
Katiba mpya ndio suluhisho tu hawa wakurugenzi hawafai kabisa rejea uchaguzi wa 2020
Jibu ni
Hawafai
Hawafai
Hawafai
Hawafai
Hawafai
Hawafai
Hawafai
Hawafai
Kusimamia uchaguzi wanaminya haki za wananchi kuchagua viongozi wanaowataka kuwaweka kina flani uchaguzi kwanza wa nini huwa tunapoteza hela tu huwa inajulikanq mshindi siku zote kupiga kura ni kujisumbua tu ila ipo siku
 
Kwa mwenendo huo hakutakuwa na uhuru katika kura laa basi wawepo wakijitoa muhanga kutosikiliza maelekezo ya wakuu wao vinginevyo mshindi atakuwa ni mmoja tu
 
Back
Top Bottom