Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miongoni mwa Wadau hao, Henry Kilewo, amependekeza kwa watu wa dini kuacha kuwaombea Viongozi wa kisiasa kwenye nyumba za ibada, Badala yake jukumu hilo walifanye wenyewe, maana wenyewe ndio...
2 Reactions
12 Replies
982 Views
Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga. Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa...
41 Reactions
88 Replies
12K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mhe. Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli Ikulu Zanzibar aliyefika...
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Kauli inayotrend huko Zanzibar ni KURASA ZA ILANI YA CCM ZIMEKWISHA; hii inamaanisha kwamba kazi aliyokabidhiwa mzee Mwinyi amemaliza anasubiri kupewa majukumu mengine . Lakini najiuliza nini...
1 Reactions
2 Replies
481 Views
Mojawapo ni jina lake sahihi: Kihomoka, Kiyomoka, Kyomoka, Kiomoka, n.k. Wenyeji wa Kakonko waliomo humu watarekebisha. Ni kizuizi cha kukagulia magari. Kipo Kakonko mkoani Kigoma, ikiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Huu ni mtihani rasmi wa uongozi wa umma humu JF. Sote tuna kubaliana kuwa chama cha mapinduzi (CCM ) kimeshindwa kutuendeleza mahali kama Taifa tulipaswa kuwa. Sasa mtihani wa umma unaliza. •...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji. Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia...
0 Reactions
10 Replies
638 Views
Hii hapa video chini ya Tundu Lissu akitapika nyongo bungeni kuhusu uhalali wa muungano uchwara wa Tanganyika na Zanzibar tumsikilize kwa makini hapa.
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekuwa nikitafakari sana kwa kina kuhusu 4R za Rais Dkt. Samia. Leo nimeona niwezekutoa ufafanuzi. Hebu ungana nami katika kuelewa jambao hili. Reconciliation (Maridhiano) Rais Dkt. Samia...
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Kitendo cha wakuu wa shule Tanzania bara kumchangia Samia pesa za kuchukulia fomu na wakuu wa Zanzibar nao kumachangia Hussein fomu ni ishara tosha kuwa hawafai kusimamia Uchaguzi Mkuu na wowote...
3 Reactions
7 Replies
535 Views
Habarini za asubuhi. Kwanza mimi si muumini wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa ovyo sana. Na mfumo wa ovyo zaidi ni demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia ya vyama vingi ni vurugu sana na ina...
1 Reactions
2 Replies
472 Views
TAWA wanacheza na akili za Wapumbavu wa nchi hii ambao ni asilimia zaidi ya 90, nchi ina watu ambao ku-reason hakupo kabisa. Kwa kifupi nimetonywa na mdau mmoja Arusha kwamba Mzungu ana karatasi...
15 Reactions
61 Replies
7K Views
Sote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma. Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane. Hivi statement ya deni...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Niliwahi andika hili. Naomba niandike tean. Mheshimiwa huyu anatimiza ahadi yake lini? Pamoja na kwamba aliahidi mwenyewe hata hivyo upinzani unahitaji nguvu na mawazo ya mwenyekiti mwingine...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Huwa nacheka sana kuona wanasiasa wanavyohangaika kutetea ujira wao. Inafika wakati wanataka hata kutuharibia amani na utulivu wa nchi hii, kila kitu wanajua wao, hata humu jamvini kuna watu...
2 Reactions
3 Replies
426 Views
MHE. ABDULAZIZ M. ABOOD (MB) ATAFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA MOROGORO. Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini anataraji kufanya Ziara tarehe 29.12.2023 katika Hospitali ya...
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Kuna mambo yanayoendelea mpaka unajiuliza, hivi nchi hii hatuna watu wenye akili, uwezo na dhamira safi ya kuendeleza Taifa? Nimesafiri na kukaa kati ya wiki moja hadi mwezi mmoja kwenye mikoa ya...
29 Reactions
90 Replies
5K Views
Hasa kwa wale wenye ndoto za kuja kuwa viongozi wa nchi hii hasa 2025, mnisikie, please chukua kadi tawi lililo karibu na wewe sasa, ukisubiri utakuwa umechelewa. Yajayo ni matamu!...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mchungaji ametuasa tunapowaombea viongozi wetu basi tuwe na hakika na matendo yao na si kufata Mkumbo tu Ndio nauliza kama kuna Rasilimali yoyote ya nchi Shujaa aliuza? Yesu akauliza " Itamfaa...
1 Reactions
6 Replies
521 Views
Back
Top Bottom