Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktari wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.
Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.
Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa...
Naomba niende direct kwenye point;-
Huwa nachukizwa na kupata uchungu sana kuona raia wanaharibu miundombinu ya umma kwa maksudi bila sababu yeyote ya msingi. Yaani si kwa bahati mbaya wala...
Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala.
So far...
Ndugu zangu Watanzania,
Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha...
Hali ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kisiasa Jimboni Mtama imezidi kuwa mbaya baada ya Chadema kupitia kwa kijana msomi Stephen Kamillius Membe kufanya operesheni kila Kijiji na Sasa kila nyumba...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Mahafali ya Kumi na Tisa (19) ya Chuo Kikuu cha Taifa...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kuendelea kufanya...
Nchi ya Ethiopia imetangazwa kufilisika baada ya Kushindwa kuwalipa Madeni wadai wake deni linalofikia $1bln hivyo kujiunga na Ghana na Zambia kama Mataifa yaliyotangazwa kufilisika...
Wote tunajua Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni Makamu Mwenyekiti mwenza wa Muungano wa Vyama Vya Demokrasia Duniani
Hali kadhalika Spika wa Bunge la JMT mh Dr Tulia PhD ni Boss wa Muungano wa...
Wajuzi wa mambo naomba kuelemishwa tofauti ya utendaji kazi uliopo kati ya Waziri anayetokana na Wabunge wa Kuchaguliwa na Wananchi na Waziri anayetokana na kupewa Ubunge na Rais.
Kama utendaji...
Sera kuu...kula kwa urefu wa kamba....wanyonge tutasubiri sana😢
Ukiendelea kung'ang'ania kuwa chumvi ni chumvi tu na siyo sukari, subiri tu kutupwa ubalozini.👨🏿🦯
Hii sera ya kila mtu ale kwa...
Habari wana Bodi,
Ninachokishuhudia katika mwenendo wa watendaji pamoja na hali ya sasa ya mfuko wa Bima yà Afya, inakatishà tamaa yà kwanini mfuko huu unawafanyia hivi wateja wake?
Kabla...
Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti.
Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za...
Chuo kikuu cha kilimo nchini China kinatarajia kumtunuku Shahada ya juu ya U-profesa Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Bila shaka ni kwa kutambua mchango wake wake mkubwa kwa mapinduzi makubwa ya...
Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki.
Kumbe tulipigwa
USSR
--
Rais Samia...
EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu...
Hii Pwani ya Dar es salaam yote ilikuwa ni Zanzibar
Mambo Makubwa yote ikiwemo Dini Ili kuingia Tanganyika ridhaa ilipatikana Zanzibar
Tanganyika lilikuwa ni shamba la kupata Watumwa na baadae...
Mabaraza ya Maaskofu wa Katoliki huko Nigeria na Ghana pia wamesema hawatatoa baraka zozote kwa wapenzi wa jinsia moja. Kiuhalisia waraka wa Papa Francis umezua taharuki sana, Papa John Paul II na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.