Tusipoondoa fikra za Ukada na Uchama kesho ya Tanzania itakuwa ngumu

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti.

Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine Yale walimshauri na kile anakiona akasema nisipo Ng'atuka kesho itakuwa ya aibu akijuwa moyoni yapo mambo kwa wakati ule watanzania hawakuyajuwa ila mwisho wangeyajuwa na ingekuwa shida kwake.

Pili aliona upepo wa Dunia kule unaenda akajuwa kabisa ipo siku Siasa za ujamaa na kujitegemea zitakuwa wazo mfu mbele ya kizazi kijacho.

Tatu aliona huko mbeleni Dunia itakuwa kwenye mkwamo mkubwa sana hasa baada ya elimu ya usalama kuwa kubwa sana na kusababisha tawala kuanguka.

Mwl Nyerere aliona leo na ndio maana baada yakutoka madarakani akawa ndie mtu alisema tuachie vyama vingi akijuwa chama tawala siku moja kitakuwa same chama cha siasa ama kitagawanyika kuleta mabadiliko ktk siasa za chama alikumbuka kule tanu to CCM ilitoka mpaka leo.

Kwa wale walikuwa karibu naye Mwl walimsikia maono yake leo japo muda ule ilikuwa hali bado sio kama ya leo.

Tanzania kwa sasa tupo kwenye ule wakati wazee wetu walio hai na walio kufa walitabiri na hatupaswi kupuuzia mawazo yao ambayo ndio Siri ya uwepo wa Tz kesho.

Utakubaliana na Mimi ukada na uchama sio mwendo wa Dunia inayokuja yaani ukada na uchama sio mwendo wakisiasa mzuri kwa Mazingira ya sasa na yajayo.

Nilazima Taifa lolote imara lijenge taasisi zake yaani miimili mitatu imara serikali yenyewe, Makama na Bunge.
Pia nilazima idara za usalama kuwa na uhuru mkubwa ktk utendaji kazi ili kuimarisha usalama wa nchi pamoja na uhuru na mshikamano wa Taifa.

Idara imara za usalama pamoja na ulinzi wa Taifa ndio vitu kama Taifa tunapaswa kuvifuma kwa nguvu zetu zote.

Nilazima tuwe na vyombo imara kuingia na kutoka kwa majirani zetu na kuweza kushinda vita ya kiuchumi pamoja na ulinzi wa mipaka yetu.

Nilazima kuwa na watu imara wenye weledi ktk maswala ya usalama na screening za wale wanataka kushika hatam za Taifa ili kuepuka Yale yalizikuta nchi majirani kama Egypt. Lipo somo kubwa sana pale Egypt kwenye mambo ya usalama na jinsi Taifa lingine linaweza kuingilia na kupanga mambo ya Taifa lako mpaka kukuwekea Rais.

Nimuhimu sana kuhakikisha uwezo wetu wako technology.
 
Ndio maana the state wameshtuka kutokana na matukio ya hivi karibuni wakasema kitabu kipya kiandikwe ambacho kitasimamia ipasavyo majanga yaliyoletwa na katiba hii ya muda mrefu inayopendelea mwenyekiti was chama tawala!!

Kimbembe ni kwamba chama tawala hakikuandaa chama dada mbadala Cha kushika Dola iwapo chama mama kitakosa mvuto Sasa wanashindwa kuleta katiba kwa hofu ya kupoteza Dola Kwa chama ambacho hawakukiandaa wao!!

Ndio maana delay inafanywa kuhusu kitabu kipya Hadi Sasa hakuna dalili yoyote na kusababisha hatari kubwa sana kwa hatma ya maisha ya makada waliowengi!kwanini!!?kwasababu pale Dola itakapoanza kufyeka makada ambao Wana Chelewesha uandishi was kitabu kutakua na kilio na kusaga meno!!

Nadhani Hadi Sasa makada wenzangu wameisha ikosea dola Kwa katiba iliyopo hii tukilazimisha TU kushika Dola kinyume Cha namna ya matakwa ya Dola no msiba mkubwa kwetu ambao ndio tutarajie huko mbeleni!!

Walau kujinasua ni kuweka kuandaa Kwa haraka chama dada kipya Cha kukipa dola Kwa baraka za chama tawala yaai chama mama!la sivyo tubanwe na tusubiri majaaliwa ya Dola kama wataaamua kutupa au kawapa wengine!!

Tutubu TU na tumwambie mwenyekiti aende akatubu Kwa wenye dola watuamulie hatma kabla ya kupoteza uhai na Dola Kwa chama chetu!
 
Hakuna mtu mwenye hati miliki ya taifa hili,bali taifa hili nila Watanzania wote.Regard Imani,itikadi ya vyama,kipato au race.

Ni hatari kwa taifa lolote duniani kuwepo kwa kundi la watu,ambao hujipa umiliki wa taifa. kwa wao kujiona ndio alpha na omega katika nchi,yaani wao ndo ujiweka nafasi ya kwanza katika kila jambo kwamba wao ndio taifa na taifa ndio wao.

Tunapaswa kumpata kiongozi kama emperor Meiji wa Japan,Aliye wafutilia mbali wahafidhina wa kisamurai na kuifanya Japan kuwa taifa ambalo linaonekana leo hii,kwa sera zake za reforms au restorations.

Tanzania yetu kwa namna jinsi ilivyo sioni hata hiyo Kazi ya hao waitwao "state" maana ni kundi ambalo linajali maslahi yake binafsi na sio maslahi ya umma.
 
Wananchi wanajitambua, ila tatizo ni uoga.
Uoga ndiyo kutojitambua kwenyewe.
Ujinga (kutojitambua au kutojua) husababisha uoga ambao matokeo yake ni umasikini.
Tunahitaji raia wanaojitambua, wasio waoga, wafundishwe ukakamavu wa kukabiliana na yeyote anayekuwa kikwazo kwa maendeleo yao.
Wakiona uchumi wao unashikwa na wageni, waudhibiti, viongozi wakifanya maamuzi ya hovyo,wadhibitiwe, na mwisho wa yote nchi iwe tajiri mikononi mwa raia wenye ustawi.
 
Ni moja ya shida kubwa sana nchi hii, watu wanawaza CCM tu na kujijenga kimaisha na wakishafanikiwa basi hujiona wao ni viumbe bora.
 
Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti.

Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine Yale walimshauri na kile anakiona akasema nisipo Ng'atuka kesho itakuwa ya aibu akijuwa moyoni yapo mambo kwa wakati ule watanzania hawakuyajuwa ila mwisho wangeyajuwa na ingekuwa shida kwake.

Pili aliona upepo wa Dunia kule unaenda akajuwa kabisa ipo siku Siasa za ujamaa na kujitegemea zitakuwa wazo mfu mbele ya kizazi kijacho.

Tatu aliona huko mbeleni Dunia itakuwa kwenye mkwamo mkubwa sana hasa baada ya elimu ya usalama kuwa kubwa sana na kusababisha tawala kuanguka.

Mwl Nyerere aliona leo na ndio maana baada yakutoka madarakani akawa ndie mtu alisema tuachie vyama vingi akijuwa chama tawala siku moja kitakuwa same chama cha siasa ama kitagawanyika kuleta mabadiliko ktk siasa za chama alikumbuka kule tanu to CCM ilitoka mpaka leo.

Kwa wale walikuwa karibu naye Mwl walimsikia maono yake leo japo muda ule ilikuwa hali bado sio kama ya leo.

Tanzania kwa sasa tupo kwenye ule wakati wazee wetu walio hai na walio kufa walitabiri na hatupaswi kupuuzia mawazo yao ambayo ndio Siri ya uwepo wa Tz kesho.

Utakubaliana na Mimi ukada na uchama sio mwendo wa Dunia inayokuja yaani ukada na uchama sio mwendo wakisiasa mzuri kwa Mazingira ya sasa na yajayo.

Nilazima Taifa lolote imara lijenge taasisi zake yaani miimili mitatu imara serikali yenyewe, Makama na Bunge.
Pia nilazima idara za usalama kuwa na uhuru mkubwa ktk utendaji kazi ili kuimarisha usalama wa nchi pamoja na uhuru na mshikamano wa Taifa.

Idara imara za usalama pamoja na ulinzi wa Taifa ndio vitu kama Taifa tunapaswa kuvifuma kwa nguvu zetu zote.

Nilazima tuwe na vyombo imara kuingia na kutoka kwa majirani zetu na kuweza kushinda vita ya kiuchumi pamoja na ulinzi wa mipaka yetu.

Nilazima kuwa na watu imara wenye weledi ktk maswala ya usalama na screening za wale wanataka kushika hatam za Taifa ili kuepuka Yale yalizikuta nchi majirani kama Egypt. Lipo somo kubwa sana pale Egypt kwenye mambo ya usalama na jinsi Taifa lingine linaweza kuingilia na kupanga mambo ya Taifa lako mpaka kukuwekea Rais.

Nimuhimu sana kuhakikisha uwezo wetu wako technology.
Uzi mzuri sana mkuu lakini kwa mara ya kwanza nakushuhudia ukiandika uzi kinyonge sana sijajua shida ni nini hasa.
 
This analysis makes some good points in general terms, but only in general terms. Naamini kabisa Uchaguzi wa 2020 ulikuwa free and fair, more so than we ever had because people knew what was at stake. They knew wakimchagua Magufuli utakuwa X na wakimchagua tundulissu itakuwa Y. Kura 87%/13% is a fair representation of what people really want. Kura zilikuwa za haki: mbowe, sugu, halima, msigwa, lema, walishindwa kweli. Watu walijua hapa ndiyo mwisho.

Kulikuwa na "uchavuzi" here and there hasa kwa serikali za mitaa, lakini Big Picture ndiyo hii. I ask you: unaweza kumwibia Lema kura zake? Au Sugu? Au Heche? Au tundulissu? You can't, they lost fairly and squarely.

Hata ukipiga kura leo, I doubt kama tundulissu atafika 2 digits. Sasa hata ukabila wa CHADEMA haupo, kwao hawamjui, atabaki vijiweni Mwanjela na kwenye madanguro ya Mwananyamala Kisiwani.

Conclusion? 87%/13% ndiyo hali halisi - tuko salama. I'm sure hawo 13% kamwe hawatoweza kuitingisha Nji.
 
......yaani waache na ukada wao sisi majority tubaki na uchawa wetu......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom