Aibu: Rasmi Ethiopia imefilisika, ni baada ya kushindwa kulipa madeni yake. Yaungana na Zambia & Ghana

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,114
49,829
Nchi ya Ethiopia imetangazwa kufilisika baada ya Kushindwa kuwalipa Madeni wadai wake deni linalofikia $1bln hivyo kujiunga na Ghana na Zambia kama Mataifa yaliyotangazwa kufilisika.

View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1739633774206271685?t=_ExI8xB_5N_h1wvXy9oo1Q&s=19

Ethiopia inatupia lawama ubiko 19 na vita kwamba ndio vimesababisha ikose pesa za kigeni.Hali hii inakuja kukiwa na mfumuko mkubwa wa bei Nchini humo.

Kiufupi Nchi ya Ethiopia Kwa Sasa haikopesheki na haiaminiki tena na wakopeshaji hivyo itategemea Msaada kutoka WB/IMF na Msaada wa kusamehewa Madeni kama Wadai wake watakubali.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1739686571035562423?t=Ooke8aVyYLvDvcD9aLiLww&s=19

My Take
Kuna Nchi jirani baada ya kuona inaelekea kufilisika ilianzisha msululu wa Kodi na tozo kuwakamua watu wake Ili kulipa Madeni kiasi kwamba Rais wake amepewa jina la Mtoza Ushauri..

Serikali ya Tanzania iwe makini na mikopo isiyo na msingi mfano nomesoma eti Ummy Mwalimu anadai Wizara ya Afya itatoa Mafunzo Kwa Wataalamu wa Afya yatakayigharimu Bil.625.Huu upuuzi na wizi tuukatae Kwa Nguvu zote maana baadae tutapandishiwa msululu wa makodi na wao watakuwa wamepiga pesa wametukia huko.

View: https://www.instagram.com/p/C1MBcmnKsI5/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Nchi ya Ethiopia imetangazwa kufilisika baada ya Kushindwa kuwalipa Madeni wadai wake hivyo kujiunga na Ghana na Zambia kama Mataifa yaliyotangazwa kufilisika.

Ethiopia inatupia lawama ubiko 19 na vita kwamba ndio vimesababisha ikose pesa za kigeni.Hali hii inakuja kukiwa na mfumuko mkubwa wa bei Nchini humo.

Kiufupi Nchi ya Ethiopia Kwa Sasa haikopesheki na haiaminiki tena na wakopeshaji hivyo itategemea Msaada kutoka WB/IMF na Msaada wa kusamehewa Madeni kama Wadai wake watakubali.
View attachment 2853498

Huyu Mama yenu mnayemsifia humu kila siku na Mwigulu wake si ndiyo wanatupeleka uko.
 
Na mabingwa tulioeagharamia na tunawalipa vizuri wanatudai 10m kurekebisha mshipa wa damu.
 
Ulitaka kusema Ethiopia amedefault au ulikua unatafuta entry ya kushambulia serikali?
 
Deni leo bado ni stahimilivu, Tuwe wapole
F_CM5RmXYAAzxD7.jpeg
 
Sisi bado tunaendelea kukopa kwa kwenda mbele
Tunanunua ndege kwa kwenda mbele
Tunahakikisha mgao wa umeme unaendelea kwenda mbele

Hii nchi bado inakopesheka kwa kwenda mbele
Na hatuwezi filisika kijinga bado tuna vitu vingi vya kuuza kwa mwarabu.
 
Nchi ya Ethiopia imetangazwa kufilisika baada ya Kushindwa kuwalipa Madeni wadai wake hivyo kujiunga na Ghana na Zambia kama Mataifa yaliyotangazwa kufilisika.

Ethiopia inatupia lawama ubiko 19 na vita kwamba ndio vimesababisha ikose pesa za kigeni.Hali hii inakuja kukiwa na mfumuko mkubwa wa bei Nchini humo.

Kiufupi Nchi ya Ethiopia Kwa Sasa haikopesheki na haiaminiki tena na wakopeshaji hivyo itategemea Msaada kutoka WB/IMF na Msaada wa kusamehewa Madeni kama Wadai wake watakubali.
View attachment 2853498

My Take
Kuna Nchi jirani baada ya kuona inaelekea kufilisika ilianzisha msululu wa Kodi na tozo kuwakamua watu wake Ili kulipa Madeni kiasi kwamba Rais wake amepewa jina la Mtoza Ushauri..

Serikali ya Tanzania iwe makini na mikopo isiyo na msingi mfano nomesoma eti Ummy Mwalimu anadai Wizara ya Afya itatoa Mafunzo Kwa Wataalamu wa Afya yatakayigharimu Bil.625.Huu upuuzi na wizi tuukatae Kwa Nguvu zote maana baadae tutapandishiwa msululu wa makodi na wao watakuwa wamepiga pesa wametukia huko.

View: https://www.instagram.com/p/C1MBcmnKsI5/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Yes andiko kama hili huwezi shambuliwa negatively. Tuwe makini kweli
 
She is waaayyy better

Tatizo mnatamani Ethiopia, Zambia na Ghana defaults zingekua ze
Kila mtu ana namna yake ya kutoa tahadhari. Na ukitahadharisha Kwa mifano live inaleta sense zaidi. Wala hajatamani nchi yetu ipatwe na lolote baya Kwa sababu nadhani hata yeye ama jamaa zake itawaadhiri pia..
 
Back
Top Bottom