Kwa njia za kawaida, uwezo huo hauna. Ila kiheshima, eti unao….

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,252
113,646
Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktari wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.

Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.

Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.

Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.

Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.

Yupo tu anachekelea na kufurahia.

Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.

Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.

Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.

Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.

Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.

Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.

Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.

Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
 
Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.

Wivu na chuki binafsi 😂😂😂😂

Wewe Hadi unakufa hutokaa upewe heshima ya hivyo, ukiweza somea ila hizo status ni Kwa watu maalumu tuu
 
Samia yeye hataki imra (maneno matamu yasiokua na uhalisia) yeye kaamua kutoongeaongea na kutekeleza.

Mara nyingi mtu anaependa kuongea saana na maneno matamu mbele za watu mtu huyo ni mtu wa sifa na mafanikio kidogo kwa sababu mtu anaeongea sana sio mtu mwenye bidii kwenye kazi yake.

Mtu asiependa kuongea saana ni mtu wa kazi na mara nyingi huyo ni mtu wa kufanikiwa sana kwenye kazi zake.

Hivyo wanaomtunuku udakitali sio wajinga wanaangalia kazi zake.
 
Tena PhD za Mitaani Ndio zinafanya mambo makubwa kuliko za darasani
Hicho kijamaa kina chuki na Samia hatari,bahati mbaya sana PhD za kusomea hupati Kwa hafla za hadhi ya kitaifa au Kimataifa kama hizi za heshima ambazo hutolewa kutambua mchango adhimu wa mtu au Kiongozi.

Moja ya sababu ya India kumpa heshima Rais Samia ni volume ya biashara kati ya Tanzania na India imeongezeka mara 2 ndani ya mda mfupi sana Kwa Tanzania na India figures ambazo hakuna Kiongozi mwingine wa hapo kabla aliwahi zifikia.Namba Huwa hazidanganyi 👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1711254216507863280?t=BBVp5HFt9CcApYa6N5nKTQ&s=19

On top of that Tanzania na India zimetia Saini makubaliano ya kimkakati ambayo yatawezesha biashara na uwekezaji wa pande mbili kuongezeka mara 10 ya iliyopo Sasa by 2025.Hizo ni rekodi anazoweka Samia , mengine ni chuki binafsi 😂😂

View: https://twitter.com/BloombergAsia/status/1711722600869536120?t=z7RhrEWRcWq7DHm7jTj0Uw&s=19

View: https://twitter.com/economics/status/1711724613527298498?t=lKKNtY0pucAw86zGNcPRYQ&s=19
 
Wivu na chuki binafsi 😂😂😂😂

Wewe Hadi unakufa hutokaa upewe heshima ya hivyo,ukiweza somea ila hizo status ni Kwa watu maalumu tuu
Sina haja na kupewa heshima ya uongo.

Samia kupitia darasani hawezi kupata PhD!

Hivi keshawahi hata kuandika makala yoyote ile [hata kwa kutumia ghost writer] iliyowahi kuchapishwa hata kwenye gazeti la Nipashe?
 
Huna mchango wowote wa maana, PhD za heshima wanapewaa watu maalumu wenye distinguished contribution ya jambo Fulani.

Wewe Hadi unakufa utaishia hivyo hivyo 😁😁
 
Kwa hali ya Kisiasa tuliyonayo pamoja na machawa tuliowazalisha usishangae wewe mwenyewe ukibahatika kuwa Raisi wa Tanzania ukapewa huo u-Dr, na ukafurahia mwenyewe kuitwa Dr Nyani Ngabu

Kama Mbunge Msukuma amepata udaktari wa heshima kwa kuwaongoza Wananchi wa jimbo moja tu, iwe ajabu kwa Samia anayeongoza Watanzania milioni 60?
 
Huna mchango wowote wa maana ,PhD za heshima wanapewaa watu maalumu wenye distinguished contribution ya jambo Fulani.

Wewe Hadi unakufa utaishia hivyo hivyo 😁😁
Nimekwambia sihitaji PhD za uongo mimi. PhD ya uongo hainisaidii chochote mimi.

Na pia sipendi sifa za uongo.

Samia hata kuielezea katiba tu hawezi, seuze masuala makubwa ya kiuchumi au geopolitics?
 
Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktati wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea.

Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo.

Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India.

Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.

Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.

Yupo tu anachekelea na kufurahia.

Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD.

Kuna watu unaona kabisa huyu ana uwezo huo. Mfano Julius Nyerere au Benjamin Mkapa.

Hao ukiwasikiliza tu hata vile waongeavyo kuhusu mada mbali mbali, unauona kabisa uwezo wao.

Ni watu ambao wamewahi kuandika makala zilizochapishwa na magazeti na majarida mbali mbali duniani. Ni watu ambao wameshaahiriki kwenye mijadala mikubwa ya kimataifa na kutoa, kujenga, na kutetea hoja zao kwa umahiri mkubwa sana huku wakiwa na ‘command ya facts’ isiyo na mashaka.

Hao hata wakipewa udaktari wa heshima, mtu unaona kweli wanastahili maana hata wangeamua kupitia mkondo wa elimu, huo udaktari wangeupata tu.

Ila huyu tuliyenaye sasa, hana uwezo wa kupitia mkondo wa elimu na kuipata Phd.

Huo udaktari wake wa kupewa, unatokana na yeye kubahatika tu kuwa Rais.

Hana uwezo wa kuwa PhD wa ukweli…..
Nimenukuu
"
Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu Hassan.

Naye kwa kupenda ujiko, hata hagomi kuitwa hivyo.

Yupo tu anachekelea na kufurahia.

Now let’s face it. Katika hali ya kawaida, Samia hana uwezo wa kusoma na kufaulu mpaka kiwango cha PhD."

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mungu mtie nguvu Rais.
 
Back
Top Bottom