2023 Chadema na Bunge la JMT mmetuheshimisha Sana Duniani Hongera Kwake mh Mbowe na Dr Tulia PhD!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,984
142,001
Wote tunajua Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni Makamu Mwenyekiti mwenza wa Muungano wa Vyama Vya Demokrasia Duniani

Hali kadhalika Spika wa Bunge la JMT mh Dr Tulia PhD ni Boss wa Muungano wa Mabunge yote Duniani

Wawili hawa Ndio Wanaofanya Tanzania Isomeke sawia kwenye Ramani ya Dunia hasa Wakati Huu wa machafuko duniani

CCM na ACT Wazalendo msinune 🐼
 
Pumbavu! Umelewa mara hii?
 
Back
Top Bottom