TEC toeni msimamo kama wa Nigeria na Ghana kuhusu kauli ya Papa Francis

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,277
8,004
Screenshot_20231226_175634_Chrome.jpg
Mabaraza ya Maaskofu wa Katoliki huko Nigeria na Ghana pia wamesema hawatatoa baraka zozote kwa wapenzi wa jinsia moja. Kiuhalisia waraka wa Papa Francis umezua taharuki sana, Papa John Paul II na Benedict XVI hawakuwahi kuyumba wala kutoa matakamko ya kuzua taharuki kiasi hiki
 
Papa hakusema wabariki ndoa za jinsia moja,yeye mwenyewe hakubaliani na mahusiano ya watu wa jinsia moja,baadhi ya watu wenye malengo yao,wanapotosha,na hata hao baadhi ya watumishi wa kanisa katoliki,hakuna sehemu wanasema wanapinga tamko la Papa,kwasababu hakuna tamko alilosema barikini ndoa za jinsia moja.Vatican wana official website yao,hakuna ushahidi.
 
Papa kasema wabariki mashoga ma mali zao. Nashani wewe uko kwenye ndoto hujasoma mitandao
 
Ndomaana nimekuuliza,umeona kwenye website yao official ya Vatican wakiwa wameandika uliyoyaandika,au wewe kila mtandao unauamini tu?
 
Ndiyo nimeona. Na hata hizo nchi za Malawi, Nigeria, Poland na Ghana zimetoa misimamo kutokana na waraka huo. Kubali tu kuwa Papa ALIKENGEUKA
 
Hakuna sehemu kwenye reliable source za information,imesemwa kuwa wamepinga suala la Papa kuhusu ndoa za jinsia moja,kwasababu wao wanajua fika kua Papa hakusema Kama inavyopotoshwa na baadhi ya vyombo vya habari na watu wenye nia zao.
 
Mkuu kumbariki shoga au msagaji yeye na mali yake haina tofaut na kubarik tu ndoa za jinsia moja. Huwa kauli za hivi zinaanzaga afu zinapitishwa zingine nzito. Kwa mkitadha wa Ulaya iyo kauli ya “Baba Mtakatifu” ndo imetoka ila kwetu Afrika inatakiwa kupingwa kwa nguvu kubwa mana sio maadili yetu huku ni maadili yao huko huko kwa machoko wao!
 
Papa hakusema wabariki ndoa za jinsia moja,yeye mwenyewe hakubaliani na mahusiano ya watu wa jinsia moja,baadhi ya watu wenye malengo yao,wanapotosha,na hata hao baadhi ya watumishi wa kanisa katoliki,hakuna sehemu wanasema wanapinga tamko la Papa,kwasababu hakuna tamko alilosema barikini ndoa za jinsia moja.Vatican wana official website yao,hakuna ushahidi.
Huku kuna wajinga wengi sana, ajabu ndio utakuta kila siku wanajiita GT's, basi JF ndio itakuwa na GT's wa ajabu sana wasioweza hata kutafuta information toka kwenye reliable sources, na ukitazama vile wanavyojazana ujinga huku utashangaa, kuanzia kule hoja mchanganyiko mpaka huku siasani...

Inashangaza sana, akili wanazo hawataki kuzitumia, ajabu wanataka TEC ndio wawasaidie kutafsiri kilichoandikwa kwenye ule waraka wa Vatican, hii level ya ujinga nikiri wazi sijawahi kuiona popote hapa duniani, ni special huku JF!.

Hata kama Nigeria, China, Afghanistan na pote pengine wametoa matamko yao, hatuna sababu ya kuiga kila kitu mpaka maamuzi ya wengine, huu utumwa wa kifikra unaotafuna bongo za GT's uchwara wa JF narudia tena ni special, wajinga wenye confidence ya juu sana!.

- Waraka uko wazi waende wakausome wauone, ajabu wanaweza wakausoma na bado wasiyaamini macho yao, wawaite tena TEC kuuliza kama macho yao yanawadanganya au vipi!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Watu mnashangaza sana. Mnataka TEC watoe tamko wakati bado mnaendelea na ushoga wenu tu.

Hata TEC wakitoa tamko kama hamtaki kuacha ushoga endeleeni tu maana mnatumia nguvu kubwa kuendelea kueneza nyuzi za kishoga.

Kama muuza pombe na sigara anakuambia ni hatari kwa afya yako na bado mnatumia tu sasa hata TEC akisema muache ushoga simtaendelea tu.

Wewe play part yako, acha ushoga usisubiri kuambiwa na TEC uache.

Kumbafff
 
Ndiyo nimeona. Na hata hizo nchi za Malawi, Nigeria, Poland na Ghana zimetoa misimamo kutokana na waraka huo. Kubali tu kuwa Papa ALIKENGEUKA
Nikuelemishe tu kuwa ule waraka ninwa KANISA KATOLIKI. Sio wa PAPA. Papa kama mkuu wa Kanusa alichofanya ni kuuwekea sahihi uanze kutumika kama taratibu zilivyo.
Waraka haukuibuka hewani. Umefanyiwa kazi na tafiti za kutosha.
Na hao unaosema wameupinga, sio kweli. Walichofanya ni kusisitiza tu kuwa hawatafungisha ndoa za jinsia moja ambao ndio msimamo wa kanisa mpaka leo.
 
Huku kuna wajinga wengi sana, ajabu ndio utakuta kila siku wanajiita GT's, basi JF ndio itakuwa na GT's wa ajabu sana wasioweza hata kutafuta information toka kwenye reliable sources, na ukitazama vile wanavyojazana ujinga huku utashangaa, kuanzia kule hoja mchanganyiko mpaka huku siasani...

Inashangaza sana, akili wanazo hawataki kuzitumia, ajabu wanataka TEC ndio wawasaidie kutafsiri kilichoandikwa kwenye ule waraka wa Vatican, hii level ya ujinga nikiri wazi sijawahi kuiona popote hapa duniani, ni special huku JF!.

Hata kama Nigeria, China, Afghanistan na pote pengine wametoa matamko yao, hatuna sababu ya kuiga kila kitu mpaka maamuzi ya wengine, huu utumwa wa kifikra unaotafuna bongo za GT's uchwara wa JF narudia tena ni special, wajinga wenye confidence ya juu sana!.

- Waraka uko wazi waende wakausome wauone, ajabu wanaweza wakausoma na bado wasiyaamini macho yao, wawaite tena TEC kuuliza kama macho yao yanawadanganya au vipi!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ni mashoga tu kama wewe ndiyo hamuoni tatizo kwenye kauli ya Papa Francis kwa sababu mumezoea kutifuana mavi. TEC lazima watokeze waweke msimamo kama Malawi, Nigeria na Ghana
 
Nikuelemishe tu kuwa ule waraka ninwa KANISA KATOLIKI. Sio wa PAPA. Papa kama mkuu wa Kanusa alichofanya ni kuuwekea sahihi uanze kutumika kama taratibu zilivyo.
Waraka haukuibuka hewani. Umefanyiwa kazi na tafiti za kutosha.
Na hao unaosema wameupinga, sio kweli. Walichofanya ni kusisitiza tu kuwa hawatafungisha ndoa za jinsia moja ambao ndio msimamo wa kanisa mpaka leo.
Wamesema hawawezi kumbariki shoga wala mali yake kwa kuwa kufanya hivyo ni sawa na kuukbali ushoga. Ppa Francis ni adui wa UKATOLIKI, period
 
Ni mashoga tu kama wewe ndiyo hamuoni tatizo kwenye kauli ya Papa Francis kwa sababu mumezoea kutifuana mavi. TEC lazima watokeze waweke msimamo kama Malawi, Nigeria na Ghana
- Unawaamrisha TEC kama nani?

Kuona tatizo kwenye kauli ya Papa kunachangiwa na ufinyu wa fikra zenu, hili sio kosa langu, la Papa, au la TEC, huu uzuzu wenu ni mzigo wenu mjibebee wenyewe, msitake kuwabebesha wengine sehemu ya huu uzuzu wenu, sijui hata kama unaelewa nachoandika kwa upeo wako!

Hivi umewahi hata kuuona na kuusoma ule waraka wa Vatican kuhusu alichokisema Papa? au mnaimba tu humu ndani kama chiriku?

Back
Top Bottom