Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,680
59,801
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Mkutano huu kushirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.

Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni Novemba 10, 2023.

Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "

MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
 
Tushiriki Kikamilifu kwa Manufaa ya Taifa letu

Mkutano wa Baraza la Vyama Vya Siasa

Kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama Vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni, mwezi Novemba 10, 2023.

🗓️ 3 - 4 Januari, 2024
📍 Mlimani City - Jijini Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
 
Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama Vya Siasa_20231228_003053_0000.png
 
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "

MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
Waachane na hizi blah blah za Ccm, wajikite katika kuanzisha "Mass Movements" za Mapambano ya Kudai, na Kupigania Upatikanaji wa Katiba Mpya Itakayotokana na Maoni, Mawazo na Fikra za Wananchi wengi zaidi wa nchi hii. Waachane na Ghilba za Ccm, just a wastage of time.
 
Tushiriki Kikamilifu kwa Manufaa ya Taifa letu

Mkutano wa Baraza la Vyama Vya Siasa

Kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama Vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni, mwezi Novemba 10, 2023.

3 - 4 Januari, 2024
Mlimani City - Jijini Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
Wewe mfuasi dikteta Putin na Kiduku demokrasia unaijulia wapi??
 
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "

MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
Hivyo ni vikao vya kupotezeana muda wakati ccm hawako tayari kwa mabadiliko ya kweli. Hivyo ni vikao vya kwenda kupima utayari wa vyama vya upinzani kuendelea kuburuzwa na ccm.
 
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "

MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

🗓️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
📍Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!, ila to be honest, nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya wahusika walishirikishwa na kuridhia picha zao zitumike kuupromote huu mkutano wakati huko nyuma, walisusaga na kuzira!, maana hawa jamaa huwaga hawachelewi kuita press conference na kutangaza bado wamesusa, bado wamezira, licha ya maridhiano na kukubaliana kugawana nusu mkate!.

P
 
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "

MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam

#ImarishaDemokrasia
#TunzaAmani
Hakuna lolote la maana hapo
 
Back
Top Bottom