Makundi mbalimbali yajipanga kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu watanzania,

Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa uliojitokeza mbele yake.sasa makundi mbalimbali kutoka kada mbalimbali yameamua kufuata nyayo za walimu .sasa yanajipanga kuchangishana pesa kwa kadri wawezavyo kwa ajili ya kumpatia Rais Samia kuchukulia Fomu ya Urais.

Hii ikiwa ishara ya kuonyesha upendo, kumkubali, kumuunga mkono na kuridhishwa na kazi kubwa na uchapa kazi wake aliouonyesha ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ,ulioleta na kuchochea maendeleo katika kila Secta.

Hii Ni kutaka kukata kiu ya mamilioni ya watanzania wanaohitaji kuona Rais Samia akipeperusha bendera ya CCM Katika uchaguzi ujao ,ili wamlipe kwa kumpigia kura za ndio kwa kishindo.

Jambo hili linafanyika ili kumpa nafasi Rais Samia Kuendelea na kazi kubwa aliyoianza ya kulijenga Taifa letu kwa miradi ya kimkakati na kuboresha huduma za kijamii kwa kiwango kilichoweka historia katika Taifa letu.

Wanataka Aendelee na kazi ya kuinua kilimo na wakulima,kutoa elimu bure na bora kulingana na wakati na maendeleo ya teknolojia,kutoa elimu ambayo wahitimu wake watakuwa bora na wenye sifa ,maarifa,ujuzi na uwezo wa kushindana katika soko la ajira la kimataifa.

Wanataka arejee ikulu tena kuendelea na kazi ya kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama, usambazaji wa umeme mpaka vijijini, utoaji wa ajira kwa vijana, uimarishaji wa demokrasia hapa Nchini, kuvutia uwekezaji na wawekezaji, kutoa huduma bora za afya na kwa gharama nafuu ambazo watanzania wanaweza kuzimudu bila kujali kipato chao.

Kuboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na wawe na morali ya kuwahudumia watanzania na kutoa huduma bora na stahiki kwa watu.

Kwa hakika Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe, haijawahi kutokea kiongozi akapata upendo mkubwa na kukubalika kama Rais Samia anavyopendwa na kukubalika na watanzania.

Ni uwe na chuki binafsi tu na roho mbaya tu ndio utamsema vibaya au kumchukia Rais Samia.lakini katika hali ya kibinadamu na kiuongozi kafanya makubwa sana yenye kumgusa kila mtu.

Kwa sababu kama ni ajira kwa vijana katoa kwa maelfu, kama ni kuwajali na kuwathamini Watanzania kafanya hayo yote.

Kama ni kulinda amani na usalama wa nchi yetu kimekuwa kipaombele chake.kama ni haki sasa imetamalaki hapa nchini.kama ni demokrasia imenawiri na kushamili mpaka watu imewalevya ,kama ni kujenga uchumi jumuishi na kujikita katika maendeleo ya watu kafanya mama yetu,kama ni kuboresha huduma za kijamii kafanya maajabu.

yaani sioni ni kipi ambacho unaweza kusema Rais Samia hajafanya KATIKA TAIFA LETU. shida ya baadhi ya watu ni kuwa wao walishajiweka na kujijenga katika kupinga kila kitu ,kuwa vipofu wa kila kitu, kutokuona chochote kinachofanyika.

Wapo watu hata ufanye nini watalalamika na kupinga tu.hata ufanye yale waliyokuwa wanayahitaji muda wote bado utaona wanalalamika na kupinga tu hata kama utafanya katika namna ileile waliyokuwa wanaihitaji. Kwa hiyo watu wa namna hiyo ni ngumu sana kuridhisha mioyo yao.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Wanataka Anaendelea na kazi ya kuinua kilimo na wakulima,kutoa elimu bure na bora kulingana na wakati na maendeleo ya teknolojia,kutoa elimu ambayo wahitimu wake bora na wenye sifa ,maarifa,ujuzi na uwezo wa kushindana katika soko la kimataifa.

Wanataka arejea ikulu tena kuendelea na kazi ya kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama, usambazaji wa umeme mpaka vijijini, utoaji wa ajira kwa vijana, uimarishaji wa demokrasia hapa Nchini, kuvutia uwekezaji na wawekezaji, kutoa huduma bora za afya na kwa gharama nafuu ambazo watanzania wanaweza kuzimudu bila kujali kipato chao.

Kuboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wawe na morali ya kuwahudumia watanzania na kutoa huduma bora na stahiki kwa watu.

Kwa hakika Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe haijawahi kutokea kiongozi akapata upendo mkubwa na kukubalika kama Rais Samia anavyopendwa na kukubalika na watanzania.

Ni uwe na chuki binafsi tu na roho mbaya tu ndio utamsema vibaya au kumchukia Rais Samia.lakini katika hali ya kibinadamu na kiuongozi kafanya makubwa sana yenye kumgusa kila mtu.

Kwa sababu kama ni ajira kwa vijana katoa kama ni kuwajali na kuwathamini Watanzania kafanya hayo yote.

Kama ni kulinda amani na usalama wa nchi yetu kimekuwa kipaombele chake.kama ni haki sasa imetamalaki hapa nchini.kama ni demokrasia imenawiri na kushamili mpaka watu imewalevya kama ni kujenga uchumi jumuishi na kujikita katika maendeleo ya watu kafanya mama yetu,kama ni kuboresha huduma za kijamii kafanya maajabu.

yaani sioni ni kipi ambacho unaweza kusema Rais Samia hajafanya KATIKA TAIFA LETU. shida ya baadhi ya watu ni kuwa wao walishajiweka na kujijenga katika kupinga kila kitu ,kuwa vipofu wa kila kitu, kutokuona chochote kinachofanyika.

Wapo watu hata ufanye nini watalalamika na kupinga tu.hata ufanye yale waliyokuwa wanayahitaji muda wote bado utaona wanalalamika na kupinga tu hata kama utafanya katika namna ileile waliyokuwa wanaihitaji. Kwa hiyo watu wa namna hiyo ni ngumu sana kuridhisha mioyo yao.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Barakala Mkuu Mwandamizi, kazi inaendelea!
 
Ndugu zangu watanzania,

Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa uliojitokeza mbele yake.sasa makundi mbalimbali kutoka kada mbalimbali yameamua kufuata nyayo za walimu .sasa yanajipanga kuchangishana pesa kwa kadri wawezavyo kwa ajili ya kumpatia Rais Samia kuchukulia Fomu ya Urais.

Hii ikiwa ishara ya kuonyesha upendo, kumkubali, kumuunga mkono na kuridhishwa na kazi kubwa na uchapa kazi wake aliouonyesha ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ,ulioleta na kuchochea maendeleo katika kila Secta.

Hii Ni kutaka kukata kiu ya mamilioni ya watanzania wanaohitaji kuona Rais Samia akipeperusha bendera ya CCM Katika uchaguzi ujao ,ili wamlipe kwa kumpigia kura za ndio kwa kishindo.

Jambo hili linafanyika ili kumpa nafasi Rais Samia Kuendelea na kazi kubwa aliyoianza ya kulijenga Taifa letu kwa miradi ya kimkakati na kuboresha huduma za kijamii kwa kiwango kilichoweka historia katika Taifa letu.

Wanataka Aendelee na kazi ya kuinua kilimo na wakulima,kutoa elimu bure na bora kulingana na wakati na maendeleo ya teknolojia,kutoa elimu ambayo wahitimu wake watakuwa bora na wenye sifa ,maarifa,ujuzi na uwezo wa kushindana katika soko la ajira la kimataifa.

Wanataka arejee ikulu tena kuendelea na kazi ya kujenga miundombinu ya barabara, usambazaji wa maji safi na salama, usambazaji wa umeme mpaka vijijini, utoaji wa ajira kwa vijana, uimarishaji wa demokrasia hapa Nchini, kuvutia uwekezaji na wawekezaji, kutoa huduma bora za afya na kwa gharama nafuu ambazo watanzania wanaweza kuzimudu bila kujali kipato chao.

Kuboresha maslahi ya watumishi wa umma ili wafanye kazi kwa bidii na kujituma na wawe na morali ya kuwahudumia watanzania na kutoa huduma bora na stahiki kwa watu.

Kwa hakika Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe, haijawahi kutokea kiongozi akapata upendo mkubwa na kukubalika kama Rais Samia anavyopendwa na kukubalika na watanzania.

Ni uwe na chuki binafsi tu na roho mbaya tu ndio utamsema vibaya au kumchukia Rais Samia.lakini katika hali ya kibinadamu na kiuongozi kafanya makubwa sana yenye kumgusa kila mtu.

Kwa sababu kama ni ajira kwa vijana katoa kwa maelfu, kama ni kuwajali na kuwathamini Watanzania kafanya hayo yote.

Kama ni kulinda amani na usalama wa nchi yetu kimekuwa kipaombele chake.kama ni haki sasa imetamalaki hapa nchini.kama ni demokrasia imenawiri na kushamili mpaka watu imewalevya ,kama ni kujenga uchumi jumuishi na kujikita katika maendeleo ya watu kafanya mama yetu,kama ni kuboresha huduma za kijamii kafanya maajabu.

yaani sioni ni kipi ambacho unaweza kusema Rais Samia hajafanya KATIKA TAIFA LETU. shida ya baadhi ya watu ni kuwa wao walishajiweka na kujijenga katika kupinga kila kitu ,kuwa vipofu wa kila kitu, kutokuona chochote kinachofanyika.

Wapo watu hata ufanye nini watalalamika na kupinga tu.hata ufanye yale waliyokuwa wanayahitaji muda wote bado utaona wanalalamika na kupinga tu hata kama utafanya katika namna ileile waliyokuwa wanaihitaji. Kwa hiyo watu wa namna hiyo ni ngumu sana kuridhisha mioyo yao.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
There's so much hidden in poverty.
 
Huna akili taira mkubwa wewe.huna adabu kabisa.inaonyesha ulikosa malezi ya mama yako mzazi.
Sasa wewe Lucas Mbwa Wa Shamba unalipwa buku 7 kumpigia upatu Samia humu wakati hujulikani.

Dogo Isack Mwigulu tu kaibuka juzi analamba asali wewe unapiga mihayo hapo.

Halafu jifunze kuandika maana hujui kanuni za uandishi umejaza vituo vikubwa kwenye sentensi moja bila mpangilio na hata hauanzi na herufi kubwa baada ya kituo kikubwa.

Ushauri wa bure rudi kasome hata elimu ya watu wazima ujinga haujifichi.

Idiot.
 
Mbona

kama mnafiki
 
Kwa hakika Rais Samia Ni mpango wa Mungu Mwenyewe, haijawahi kutokea kiongozi akapata upendo mkubwa na kukubalika kama Rais Samia anavyopendwa na kukubalika na watanzania. Mhhhhhhhhh . Mpango wa Mungu nani aijuaye? Ikiwa kama hujui dk 10 zijazo utakuwa mochwari au ICU mpango wa Mungu KWA Samia nafsi ya pili umeujuaje? Nisaidie Lucas mwashambwa
 
Sasa wewe Lucas Mbwa Wa Shamba unalipwa buku 7 kumpigia upatu Samia humu wakati hujulikani.

Dogo Isack Mwigulu tu kaibuka juzi analamba asali wewe unapiga mihayo hapo.

Halafu jifunze kuandika maana hujui kanuni za uandishi umejaza vituo vikubwa kwenye sentensi moja bila mpangilio na hata hauanzi na herufi kubwa baada ya kituo kikubwa.

Ushauri wa bure rudi kasome hata elimu ya watu wazima ujinga haujifichi.

Idiot.
Jamaa linaonekana lishamba sana halafu lijinga flani
 
Back
Top Bottom