Je, ni kweli Chawa wa Kike Wana Mchango mkubwa kwa CCM kuliko CHAWA wa Kiume?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,152
Ni swali tu la Kufungia mwaka

Mfano Shilole ni Chawa lakini ana kampuni zake na ameajiri Watu, Ajira ni kipaumbele cha Ilani ya CCM

Mfano baba levo ni Chawa lakini anategemea Ajira kutoka kwa kada wa CCM au yule Mwijaku Chawa aliyeajiriwa Mawinguni

Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2024!
 
mambo mengine msiwe mnayaleta mnajihaibisha tu na kuonekana mna uwezo mdogo wa kufikiri,་་་་་hivi ni nani asiejua kuwa machawa wa kike 90 % wanagongwa na wanasiasa wakubwa mfano binti chaulembo na zitto kabwe........na hata nafasi za kisiasa hupewa kama shukrani baada ya kugongwa........
 
Ni swali tu la Kufungia mwaka

Mfano Shilole ni Chawa lakini ana kampuni zake na ameajiri Watu, Ajira ni kipaumbele cha Ilani ya CCM

Mfano baba levo ni Chawa lakini anategemea Ajira kutoka kwa kada wa CCM au yule Mwijaku Chawa aliyeajiriwa Mawinguni

Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2024!
Wa kike wana baki kuwa kike wana fursa nyingi wa kiume labda wajiunge na kampuni ya uvuvi tacoshili!
 
Ni swali tu la Kufungia mwaka

Mfano Shilole ni Chawa lakini ana kampuni zake na ameajiri Watu, Ajira ni kipaumbele cha Ilani ya CCM

Mfano baba levo ni Chawa lakini anategemea Ajira kutoka kwa kada wa CCM au yule Mwijaku Chawa aliyeajiriwa Mawinguni

Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2024!
Ukiwa chawa mzuri wa sura., Mbususu ndiyo inayoumia.
 
Back
Top Bottom