Katibu Mkuu wa ACT: Zitto hajang'atuka kwenye Chama, ameheshimu Katiba ya ACT

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
GCcdeDwXoAA7COY.jpeg
Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amefanya mahojiano na Jambo TV Ofisini kwake Alhamisi Desemba 28, 2023.

"Zitto hajang'atuka kwenye Chama, Zitto bado ni Kiongozi kijana na ana nafasi katika Siasa za Tanzania, Zitto ametangaza kuiheshimu Katiba ya ACT Wazalendo kwahiyo ni imani yangu kwamba Zitto ataendelea kutoa mchango wake katika chama hiki.

“Jambo moja ameshalitangaza kwenye Vyombo vya Habari kwamba anakusudia kugombea Ubunge na kurejea tena katika Bunge, hiyo ni nafasi moja ambayo ndugu Zitto anaweza kukitumikia Chama hiki kama Mbunge na kusaidia kusukuma ajenda katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na tunamuomba kwa Mwenyezi Mungu ashinde ili aweze kuwatumikia Watanzania," anasema Ado na kuongeza:

"Sasa tunafahamu hiyo inazalisha changamoto kwamba Zitto alikuwa Kiongozi namba moja kwa mujibu wa hii Katiba yetu ya ACT Wazalendo na tunafahamu kwamba hiyo inamaanisha kubeba maono ya chama.

“Sisi tumeshavuka mtihani huo, tulishakuwa na Maalim Seif Sharif Hamad, yeye alikuwa ni mbeba maono ya vuguvugu la ukombozi wa Zanzibar na kwa kweli kwa miaka mingi amekuwa akiyabeba matumaini ya Wazanzibar.

“Maalim Seif alipofariki tuliulizwa swali hilo kwamba Maalim amekwenda mnadhani kwamba mnaweza kusonga mbele lakini kwa maoni yetu sisi ni kwamba tumeweza kufanikisha.

"Tunaye Othman Masoud Othman ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais SMZ na kwa tathmini zetu za ndani anafanya kazi nzuri sana, kwanza ya kuweza kubalansi taswira yake kama Kiongozi wa Chama cha Upinzani kwa upande wa Zanzibar, kwahiyo awe anafanya wajibu wake wa kukosoa na kuionesha Dira Serikali, pia wajibu wake kama mwakilishi wetu katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa kutekeleza majukumu ya Kiserikali.

"Tunaamini tutapata Wanachama wetu wenye sifa za kuyabeba maono kwa nafasi ya Kiongozi wa Chama na tunaamini tuna Wanachama wengi wenye sifa ambao watajitokeza wenyewe muda utakapofika.”

Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalum na Jambo TV Ofisini kwake leo, Alhamisi Desemba 28.2023
 
ACT inafanyia mabadiliko katiba yake, lengo ni lipi?
 
Zito Kabwe ni kama Valdmir Puttin na Dmitry Medvedev.

Anakua kiongozi wa chama then baadae anang'atuka anaibuka kuwa Mwenyekiti wa chama icho icho
 
Zzk wanaomlipa wamemwambia safari hii asigombee uraisi abakie na ubunge! Unazeeka mkuu gombea uraisi.
 
Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amefanya mahojiano na Jambo TV Ofisini kwake Alhamisi Desemba 28, 2023.

"Zitto hajang'atuka kwenye Chama, Zitto bado ni Kiongozi kijana na ana nafasi katika Siasa za Tanzania, Zitto ametangaza kuiheshimu Katiba ya ACT Wazalendo kwahiyo ni imani yangu kwamba Zitto ataendelea kutoa mchango wake katika chama hiki.

“Jambo moja ameshalitangaza kwenye Vyombo vya Habari kwamba anakusudia kugombea Ubunge na kurejea tena katika Bunge, hiyo ni nafasi moja ambayo ndugu Zitto anaweza kukitumikia Chama hiki kama Mbunge na kusaidia kusukuma ajenda katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na tunamuomba kwa Mwenyezi Mungu ashinde ili aweze kuwatumikia Watanzania," anasema Ado na kuongeza:

"Sasa tunafahamu hiyo inazalisha changamoto kwamba Zitto alikuwa Kiongozi namba moja kwa mujibu wa hii Katiba yetu ya ACT Wazalendo na tunafahamu kwamba hiyo inamaanisha kubeba maono ya chama.

“Sisi tumeshavuka mtihani huo, tulishakuwa na Maalim Seif Sharif Hamad, yeye alikuwa ni mbeba maono ya vuguvugu la ukombozi wa Zanzibar na kwa kweli kwa miaka mingi amekuwa akiyabeba matumaini ya Wazanzibar.

“Maalim Seif alipofariki tuliulizwa swali hilo kwamba Maalim amekwenda mnadhani kwamba mnaweza kusonga mbele lakini kwa maoni yetu sisi ni kwamba tumeweza kufanikisha.

"Tunaye Othman Masoud Othman ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais SMZ na kwa tathmini zetu za ndani anafanya kazi nzuri sana, kwanza ya kuweza kubalansi taswira yake kama Kiongozi wa Chama cha Upinzani kwa upande wa Zanzibar, kwahiyo awe anafanya wajibu wake wa kukosoa na kuionesha Dira Serikali, pia wajibu wake kama mwakilishi wetu katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa kutekeleza majukumu ya Kiserikali.

"Tunaamini tutapata Wanachama wetu wenye sifa za kuyabeba maono kwa nafasi ya Kiongozi wa Chama na tunaamini tuna Wanachama wengi wenye sifa ambao watajitokeza wenyewe muda utakapofika.”

Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amezungumza hayo alipofanya mahojiano maalum na Jambo TV Ofisini kwake leo, Alhamisi Desemba 28.2023
Toothless Makamu wa kwanza wa rais. Ni sanamu tu linapaya.msjaharanomo tu basi bila meno
 
Zitto haondoki subirini muvi itakayochezwa ndipo mtajua unafiki wa zitto ni wa phd level.
 
“Jambo moja ameshalitangaza kwenye Vyombo vya Habari kwamba anakusudia kugombea Ubunge na kurejea tena katika Bunge,
Ndiyo maana amekaa kimya kama maiti. Hata Samia anapouza bandari kwa mwarabu ama anapokataa kuendesha mchakato wa kupata katiba mpya yeye kimyaaaa!

Kumbe sababu ni kwamba Samia amemhakikishia nafasi ya ubunge!!!

Hizi siasa za kutibu njaa hazitatupeleka popote waafrika.
 
Back
Top Bottom