January Makamba ameliharibu shirika la Tanesco amekuwa Waziri kwa muda mfupi na kulirudisha shirika hili miaka 40 nyuma yaani enzi za giza huyu ni mharibifu Sana itachukua muda mrefu Sana...
Ndugu zangu wana jf kwanza heli ya sikukuu popote mlipo na niwatakie kheli pia ya mwaka mpya 2024 popote mlipo na kwa kipee wanaccm na mwenyekiti wenu maana siasa sio ugonvi, ila ikumbukwe mwaka...
Pole pole anapiga kazi , ana uwezo wa kujenga hoja na anayo maono makubwa kuhusu kesho ya Tanzania.
Kwa akili alizonazo hawezi kukubalika ndani ya CCM kirahisi na mwisho wa siku watampiga Majungu...
Leo nlikua maeneo ya kawe beach nkafika maeneo ya kikwete ambapo zamani kabla yake palikua na mfereji/mto mkuuubwa unaotiririsha maji yake bahari ya hindi. Mfereji huo ulikua ukikua,kutanuka na...
John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa...
Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopambana humu JF na kwingineko kwa ajili ya kupigania haki kwenye Nchi yetu, Nchi ambayo ndimo tulimozaliwa na ndio Nchi ambayo wamo ndugu zetu na huenda...
Kwa style hii Rais akiamua kukaa madarakani mpaka afe hamna atakaemzuia, kwanza Bunge la Kijani ni kitendo tu cha kuchekecha tu Katiba.
Na kwa vichwa vya Wabongo wengi ni hamnazo, kichwani...
Nilikuwa napendekeza.
Tuweze kufikia uamuzi wa pamoja kama nchi kuondoa kipengele cha ukomo wa mihula katika katiba.
Hiki kipengele binafsi naona hakina maana wala faida yoyote ile kinapaswa...
Wananchi wenzangu 2024 imekwisha piga hodi inahesabu masaa kadhaa toka sasa.
2025 ipo karibu sana
Tushtuke wale watu wa kutufanya wajinga muda wowote wataanza kumiminika kwa ahadi kede kede...
Ndugu zangu Watanzania,
Ikiwa chama cha mapinduzi kitaamua kuchagua katibu mkuu wake mpya kurithi na kubeba mikoba iliyokuwa ikishikiliwa na mheshimiwa Daniel Chongolo basi katibu mkuu wa CCM...
Kuna kipindi serikali ilikuwa inanadi sera ya huduma za afya kwa watoto chini ya miaka 5 na wazee wenye umri wa miaka 60 na kuendelea kutolewa bure katika vituo vya serikali.
Pamoja na sera hiyo...
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa...
Kuna Balozi anayejifanyia mambo tofauti na mila, desturi na nidhamu. Anaingia hadi mitaani mwenyewe kibinafsi kuleta siha njema. Walinda legasi wanapiga makofi, wanasema kufuata protokali ni...
1. Kushuka kwa thamani ya pesa yetu dhidi ya dola
2. kusuasua kwa miradi ya maendeleo
3. mikopo ya hovyo hovyo inayoathiri mzunguko wa fedha kwa wananchi
3. Wizi, ufisadi na uporaji wa mali za...
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua...
Hizo nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum ni stahiki ya Chadema kama chama
Ni vema Mpendwa katika Bwana Rais wa IPU na Spika wa bunge la JMT mh Dr Tulia Mwansasu PhD ukatufanyia wepesi Hili jambo...
Ni muda muafaka sasa kwa Serikali kuruhusu mifuko ya mafao kama NSSF na PSSSF kushindana katika soko. NSSF iongezewe wigo wa kuvutia wanachama toka Serikali, na PSSSF pia ipewe nafasi ya kuingiza...
Hii ndio taarifa mpya ya leo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Addo Shaibu, kwamba chama chake kimetambua ukweli kwamba watu hao wanaoitwa Wabunge wa Viti Maalum hawana chama...
Ninaona vijana wengi machawa wamevuka mipaka na kuanza kusema Samia kafanya hivi kafanya lile mimi ninaweza kusema Samia kawa mpole kupitiliza mpaka kushindwa kusimamia vizuri hela za serikali si...