January Makamba ni waziri mbovu kuliko mawaziri wote akifuatiwa na Mwigulu Nchemba

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,398
3,907
January Makamba ameliharibu shirika la Tanesco amekuwa Waziri kwa muda mfupi na kulirudisha shirika hili miaka 40 nyuma yaani enzi za giza huyu ni mharibifu Sana itachukua muda mrefu Sana kulirekebisha ni mhujumu uchumi anatakuwa kufukuzwa Mara moja kazi ya uwaziri na afunguliwe kesi ya uhujumu uchumi kwa hasara kubwa aliyowasababishia watanzania kwa kuingia mikataba ya kilaghai na kuharibu miundombinu ya umeme

Hasara kubwa nyingine aliyotusababishia watanzania Makamba ni kupandisha hovyo hovyo nishati ya mafuta ya petrol, diesel na taa kupanda kwa bidhaa hiii kumesababisha kuongezeka bidhaa kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom