Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii...
Ipi ni njia bora ya kupata waliobora ?
Je, ni kuruhusu wajinga wengi wasiojua chochote kuhusu masuala ya siasa na maendeleo kuchagua viongozi?
Au watu wachache/ kijikundi kidogo kijuacho kuhusu...
Watumishi wa umma wanapaswa kuwa watu wanaotumia akili na busara kubwa sana. Wanalipwa mishahara kwa kodi za wananchi , wanalipwa kwa sababu kuna watu waliamua kufanya biashara. Lakini wao ni kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa TAMISEMI ameendelea kuteka na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapa kazi wake ulioleta mapinduzi ya...
Wadau nawasalimu, hebu tukumbushane kidogo.
Katiba iliyopo ya mwaka 1977 ilitungwa na kuandikwa na makada 40 wa chama kwa mgawanyo wa makada 20 kutoka Tanganyika na makada 20 kutoka Zanzibar...
Nimesikia kupitia Al jazeera kwamba Palestine kwa ujumla ina uhaba mkubwa sana wa Madaktari na Wauguzi kwa sasa
Nashauri Waziri wa afya aongee na balozi wa Palestine tupeleke vijana wetu wakatoe...
Kuongeza Ufanisi na Kukuza Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania: Mapendekezo ya Kuanzisha Wizara ya Mafuta na Gesi
Na Elia Wilinasi Sikanyika
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia,
Napenda kuwasilisha maoni...
Video inajieleza.
Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi?
Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025?
Tuanze kukumbushana ahafi...
Kama ni kweli Katiba ya JMT inamfanya Rais kuwa nusu mungu basi ni Mwalimu Nyerere mwenyewe Ndiye aliyetaka iwe hivyo
Ikumbukwe wananchi wa Tanzania hawajawahi kutengeneza Katiba yao
Ahsanteni...
Habari wanaJF,
Leo akiwahutubia wakazi wa Bagamoyo, Mkoani Pwani. Rais Magufuli amesema hakuna Mwanafunzi aliyebeba ujauzito atakayerudi shule katika utawala wake. Akaongeza kuwa hawezi kufanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Kitega Uchumi la Zanzibar State Trade Cooperation - Pemba visiwani Zanzibar...
JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja...
Swali langu lina a na b nalo ni hili kwa anayejua anifahamishe
A. Kwanini ukiwa msifiaji unaitwa mzalendo hata kama unachosifia hakina ukweli?
B. Kwanini ukiwa mkosoaji unaitwa mchochezi hata...
Nimekuwa nikisoma mashambulizi mbalimbali mitandaoni dhidi ya chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanaokiponda hasa CHADEMA na kujikuta wakati mwingine niwaze kitakachoitoa CCM...
Kadri tunavyo badiri viongozi mara nyingi tunapata mawazo mapya na kadri kiongozi anavyo zidi kukaa madarakani ndivyo anavyo fanya mambo ya hovyo.
Ni wakati sasa Tanzania kubadiri utaratibu wa...
Nafuatilia Hapa BBC maelezo ya Waumini wa Kanisa la TB Joshua wakielezea manyanyaso na utapeli waliofanyiwa na mtume huyo wa Nigeria
Nakumbuka 2015 si wafuasi wa mzee Lowasa kuanzia CCM hadi...
Naibu Waziri mkuu Dr Biteko amesema uchaguzi wa serikali za mitaa uko Karibu hivyo Wananchi wajipange kufanya uamuzi wa busara wa kuichagua CCM
Dr Biteko amewashukuru Wananchi wa Mbogwe kwa...
Nitamuomba mbunge wangu wa jimbo la Kawe Gwajima apeleke mswada Binafsi
Yafanyike marekebisho Madogo ya Katiba ya JMT ili kuondoa kipengele kinacholazimisha Waziri kuwa mbunge
Kwamba Waziri...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. Wiebe de Boer na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 08...