Kwenye Sheria za Uchaguzi CCM tusome alama za nyakati

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
550
786
Wanajamvi actually mimi kama Mwana- CCM nimejisikia Vibaya kuona maoni mengi ya Wadau yanakuwa ni maoni yanayopiganiwa na CHADEMA.

Hii kwa Great Thinkers tafsiri yake ni kwamba CHADEMA ndiyo inaonekana kubeba Agenda za Wananchi kitu ambacho siyo ishara nzuri kwa chama chetu, sisi ni Chama tawala tunapaswa kuwa Chama kinachoonyesha njia na kinachobeba Agenda za Wananchi kila eneo.

Tumefanya vizuri kwenye Miradi ya Maendeleo na Mama Samia amefanya vizuri sana kwenye kutuliza na kufungua nchi ila katika eneo la kisiasa hasa kwenye hayo mabadiliko ya Katiba tumekuwa wazito sana kufanya maamuzi na ndiyo yanayotufikisha hapa.

Ninafahamu kuwa Msimamo wetu wengi haukubaliani na mambo ya Serikali tatu hasa tukiangalia athari zake katika Muungano ila ni vyema yale mengine ya Msingi yanayotekelezeka tukayakubali haraka ili kuchukua ushawishi kwa Wananchi kwasababu tunapochelewa na baadae tukatekeleza tunaonekana tunafanya mambo kwa shinikizo hatukupenda kitu kinachotupunguzia ushawishi.

Kwa hili kwakweli naomba tujifunze kusoma alama za nyakati.
 
CHADEMA hii ya Mbowe? You're not serious
 
Back
Top Bottom