Naomba kufahamu Jina na Wasifu wa Mwenyekiti wa kamati ya Katiba na Sheria wa Bunge la Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,778
218,404
Ninamaanisha huyu Mwenyekiti anayeongoza hivi Vikao vya kupokea maoni ya wadau kwenye miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyopelekwa Bungeni .

Ifahamike kwamba Utumishi wa Umma siyo jambo la siri , hivyo kuomba Wasifu wa Mtu huyo si kosa kisheria , bali hatutaki kujua lolote kuhusu familia yake wala kabila lake .

Naomba Kuwasilisha .
 
Nami nilishaomba hivyo kumjua maana ni wazi wazi kuwa ni chawa na a dui wa chadema. badala ya kumacha mtoa hoja wa bavicha akamaliza, anamkatisha pumbavu
 
Siku nikuhusishwa mimi watu wataomba wasifu wangu, majibu yatatolewa na watu wasionijua ilimradi wanichafue.
 
Ninamaanisha huyu Mwenyekiti anayeongoza hivi Vikao vya kupokea maoni ya wadau kwenye miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyopelekwa Bungeni .

Ifahamike kwamba Utumishi wa Umma siyo jambo la siri , hivyo kuomba Wasifu wa Mtu huyo si kosa kisheria , bali hatutaki kujua lolote kuhusu familia yake wala kabila lake .

Naomba Kuwasilisha .
Pumbavu usikilize huko uje hapa kutuuliza sisi ambao hatukuwepo

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Huu mchakato wa kupokea maoni ya wadau wenye maoni mbalimbali juu ya sheria tarajiwa za uchaguzi ulipaswa kusimamiwa na mhimili huru wa mahakama. Tume maalum ya majaji kutoka mahakama kuu wangalipewa jukumu hili la kupokea maoni hayo badala ya wanasiasa ambao wanafungwa mikono yao kutokana na itikadi na misimamo ya vyama vyao vya kisiasa.

Mathalani, Mwenyekiti wa Kamati na wajumbe wake wote ni wana CCM kwa hiyo ni lazima watachuja mawazo ili waje na yale ambayo hayataweza kukiathiri chama chao katika nyakati za uchaguzi. Ni dhahiri watatafuta msimamo wa chama chao kwanza kabla ya kuja na "final submission" ya hayo maoni yaliyopendekezwa, ili "the final draft" iweze kuwapendeza na kuwahakikishia usalama watawala
 
Asante sana
 
Dr. Joseph Kizito Mhagama (Mbunge CCM), mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba

View: https://m.youtube.com/watch?v=y9zbNS6Lfjw

Wasifu :
Dr. Joseph Kizito Mhagama (Mbunge CCM)
Date of Birth : 1973-09-26
Jimbo : Madaba Songea
Chama : CCM

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
University of DodomaDoctor of Philosophy20182021PhD
University of DodomaMasters Degree in Business Administration20132016Masters Degree
Diplo Foundation, MaltaPost Graduate Course in Language and Diplomacy20042005Postgraduate Diploma
University of Madras-IndiaBachelor of Science in Chemistry19982001Bachelor Degree
Open University of TanzaniaBachelor of Laws (On going)20220Bachelor Degree
University of Fribourg-SwitzerlandBachelor of Theology20042008Bachelor Degree
University of Fribourg KV Zurich, SwitzerlandAdvanced Diploma in French Language (DALF C1)20042006Advanced Diploma
St. Augustine's Major SeminaryCertificate of Philosophical Studies20012003Certificate
Likonde Seminary Secondary SchoolCSEE19911994Secondary School
Kasita Seminary Secondary SchoolACSEE19951997Secondary School
Liganga Seminary Primary SchoolPre Form One Certificate19901990Primary School
Tanga Primary SchoolCPEE19831989Primary School

Employment History :​

Company/InstitutionPositionFromTo
Ruvuma Commercialization and Diversification of Agriculture - (RUCODIA)Executive Director20082015

Political Experience :​

Political PartyPositionFromTo
Chama Cha MapinduziMember - Regional Implementation Committee20122015
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20202025
Constitution and Legal Affairs CommitteeMember20212023
HIV and AIDS Affairs CommitteeMember20152018
Constitution and Legal Affairs CommitteeMember20152018
Chama Cha MapinduziMember-District Political Committee20122020
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20152020
Chama cha MapinduziMember-Regional Political Committee20122017
Chama Cha MapinduziMember-Parents Association Regional Executive Committee20122017
Chama Cha MapinduziMember of the Regional Council20122017
Chama Cha MapinduziMember - General Assembly20122015
Constitution and Legal Affairs CommitteeChairperson2021To Date
Source : tovuti ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Tume ya Jaji Warioba ilizunguka nchi nzima ikakusanya maoni. Makamu mwenyekiti alikuwa raisi wa sasa.
Je rais wa sasa hakumbuki kilichokusanywa mpaka ahitaji maoni mengine? Kodi za wavuja jasho hazina maumivu kwa watafunaji isipokuwa kwa wavuja jasho tu.
 
Hakika
 
Back
Top Bottom