CCM wakataa Baba yake Sabaya kuhojiwa kuhusu kuchoma nyumba za Wamasai akiwa DC, wasema hilo siyo swali

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
887
4,133
Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo.

Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM.

Leo Mzee Sabaya alipoulizwa kuhusu njia na utaratibu utakaotumia kulinda ardhi ikiwemo ya wafugaji huko Arusha walisikika viongozi wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bw. Mtaka wakisema ILO SIYO SWALI.

Hawa watu wasiotaka kuulizwa mambo serious na wanaolindwa na akina Mtaka kwa maana ya system wataendelea kubebwa hadi lini?
 
Muuliza swali ni kiherehere tangu shule namfahamu na alifukuzwa Udsm Kwa ajili hiyo ...sasa ivi anajiita wakili WA mchongo hapa mjini ..nahisi alitumwa na halikuwa swali ni kashfa na msimamizi alishasema hataki kejeli wala kashfa..
 
Muuliza swali ni kiherehere tangu shule namfahamu na alifukuzwa Udsm Kwa ajili hiyo, sasa ivi anajiita wakili wa mchongo hapa mjini ..nahisi alitumwa na halikuwa swali ni kashfa na msimamizi alishasema hataki kejeli wala kashfa.
Kwani ukiwa mgombea ukiulizwa Mambo mabaya uliyowahi kutenda na jinsi utakavyofanya ili usiyarudie tena unakuwa umekashifiwa?

Nani hajui Thomas Sabaya akiwa DC Serengeti Kwa kushirikiana na OCD na DSO waliamuru kuchomwa nyumba za Wananchi? Nani hajui watu hao walistaafishwa Kwa kashfa hiyo?
 
Makatili yote yamejificha ndani ya CCM
 
Muuliza swali ni kiherehere tangu shule namfahamu na alifukuzwa Udsm Kwa ajili hiyo ...sasa ivi anajiita wakili WA mchongo hapa mjini ..nahisi alitumwa na halikuwa swali ni kashfa na msimamizi alishasema hataki kejeli wala kashfa..
Huyo jamaa inaonekana alianza kujitambua muda sana mtu anauliza swali ambalo lilimfanya astafishwe wewe unasema ni kiherehere daah aisee ninyi ndio mnachagua Viongozi kazi ipo...
 
Muuliza swali ni kiherehere tangu shule namfahamu na alifukuzwa Udsm Kwa ajili hiyo ...sasa ivi anajiita wakili WA mchongo hapa mjini ..nahisi alitumwa na halikuwa swali ni kashfa na msimamizi alishasema hataki kejeli wala kashfa..
Wewe unaonesha kwa namna gani unatawaliwa na unafiki, au unapenda maswali yanayofurahisha nafsi ili iweje.
 
WANASIASA WA DUNIA YA TATU WAPO KWAAJILI YA MASLAHI YAO NA SI YA WANANCHI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Muuliza swali ni kiherehere tangu shule namfahamu na alifukuzwa Udsm Kwa ajili hiyo ...sasa ivi anajiita wakili WA mchongo hapa mjini ..nahisi alitumwa na halikuwa swali ni kashfa na msimamizi alishasema hataki kejeli wala kashfa..
Umenikumbusha shughuli za uchaguzi...
Jamaa mmoja akauliza swali...
MR. CONTESTER IN YOU I BELIEVE IN YOU I DOUBT? CAN YOU ELABORATE THAT EMBARGO 😊😊☺️

Kuna watu bwanaaa mpaka aulize ndio Roho yake inatulia😂😂🤣
 
Muuliza swali huyu hapa na swali lenyewe hili hapa.
 
Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo.

Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM.

Leo Mzee Sabaya alipoulizwa kuhusu njia na utaratibu utakaotumia kulinda ardhi ikiwemo ya wafugaji huko Arusha walisikika viongozi wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bw. Mtaka wakisema ILO SIYO SWALI.

Hawa watu wasiotaka kuulizwa mambo serious na wanaolindwa na akina Mtaka kwa maana ya system wataendelea kubebwa hadi lini?
Kusanyeni data
Devils line up for 2024/2025 elections
1. Paul Makonda aka Albert Bashite- Kazi - Utekaji na uuaji wapinzani
2. Sabaya- Ujambazi na dhulma kwa wagombea
3. Nape Nnauye- Uratibu wa faulo kwenye uchaguzi aka goli la mkono
4. Tulia Ackson- Uratibu wa Sheria mbovu za uchaguzi
5. Camilius Wambura- Muuaji na mtoa amri ya mauaji kwa kutumia polisi
6. Ramadhani Kingai- Muuaji na kiongozi wa wauaji wa wapinzani
7. Samia Suluhu- Mtoa hela kwa maasi na mauaji.

--- ICC ijiandae kwa ushahidi wa kutosha
 
Back
Top Bottom