BBC Swahili yasema mazingira ya uwekezaji Tanzania ni Magumu, wafungua ofisi Kenya

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,834
Jumatatu ya Juni 5,2023, BBC Swahili imetangaza kuanza msimu wake mpya wa matangazo ya runinga kutokea mjini Nairobi nchini Kenya badala ya London, Uingereza.Mitandaoni mjadala umekuwa ni kwanini studio hizo zisingehamishiwa Tanzania kutokana na uasili na idadi kubwa ya wazungumzaji wa lugha ya kiswahili.

Mwanahabari mtanzania Mubelwa Bandio, anayefanya kazi zake nchini Marekani kwa upande wake anasema mazingira ya kuwekeza na kufanya kazi za uanahabari nchini Tanzania ni magumu na yaliyoandamwa na urasimu mkubwa kulinganisha na jirani zetu Kenya.
 
Biashara ya vyombo vya habari Tz lazime uwe chawa kwa 50% kwa viongozi wa CCM, ona radio zote na TV wana rudia rudia habari ya kiongozi mkuu yoyote mpaka kuonekana kama state TV au Radio
 
Jumatatu ya Juni 5,2023, BBC Swahili imetangaza kuanza msimu wake mpya wa matangazo ya runinga kutokea mjini Nairobi nchini Kenya badala ya London, Uingereza.Mitandaoni mjadala umekuwa ni kwanini studio hizo zisingehamishiwa Tanzania kutokana na uasili na idadi kubwa ya wazungumzaji wa lugha ya kiswahili.

Mwanahabari mtanzania Mubelwa Bandio, anayefanya kazi zake nchini Marekani kwa upande wake anasema mazingira ya kuwekeza na kufanya kazi za uanahabari nchini Tanzania ni magumu na yaliyoandamwa na urasimu mkubwa kulinganisha na jirani zetu Kenya.
Biashara Tz imefungamana na siasa za ndani ndo maana inakua unpredictable any thing can happen
 
Jumatatu ya Juni 5,2023, BBC Swahili imetangaza kuanza msimu wake mpya wa matangazo ya runinga kutokea mjini Nairobi nchini Kenya badala ya London, Uingereza.Mitandaoni mjadala umekuwa ni kwanini studio hizo zisingehamishiwa Tanzania kutokana na uasili na idadi kubwa ya wazungumzaji wa lugha ya kiswahili.

Mwanahabari mtanzania Mubelwa Bandio, anayefanya kazi zake nchini Marekani kwa upande wake anasema mazingira ya kuwekeza na kufanya kazi za uanahabari nchini Tanzania ni magumu na yaliyoandamwa na urasimu mkubwa kulinganisha na jirani zetu Kenya.
Tuwe wakweli kitu gani Tanzania tuna weza ?
 
Tanzania hata innovator wa kutuma pesa kwa mitandao kimataifa ya NALA Money, Benjamin Fernandez, licha ya kujulikana mpaka na rais na kuahidiwa ushirikiano na serikali kutoka ngazi za juu kabisa, ameshindwa kufanya kazi kutoka Tanzania, ameanzisha ofisi zake Nairobi.

Namnukuu John Doe aliyenihabarisha leo katika mjadala mwingine hapa JF kuwa:-

"Changamoto alizopita mwanzilishi wa NALA kampuni ya kutuma pesa kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ilimpelekea mpaka kupeleka makao makuu kuhamishia Kenya. Huu ni mfano halisi wa jambo ulilozungumza hapo juu.

Angalia kituko kuhusu BoT kuna vibali vya aina moja inachukua benki kuu ya Uingereza siku moja kuvipata hivyo hivyo kwa benki kuu ya Marekani, Kenya na Uganda vinachukua siku 10 za kazi pekee. Kwa upande Rwanda na Burudi ni siku 14 ila kwa Tanzania ni miezi 6."

Mwisho wa kunukuu.
 
haswa tena huwa wanatabia ya kusifia wewe sikiliza kwa umakini habari zao mara nyingi huegemea katika kuomba haki za hiyo jamii
Chief unajua kama Tegeta kuna vijana wa kiume under 30 wengi sanaaa ni mashoga wa hadharani na jamii yao inawapenda na wana events zao Bar za Tegeta kwa uwazi kabisa?

Sio mwanaume wala mwanamke anayewafanya lolote na wanapendwa kishenzi kmmk hivi hawa ushoga wameutolea Texas, Stockholm, HBO, CNN au Winchester?
 
Back
Top Bottom