Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa Habari wa Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi.

Mabadiliko ya Sheria yanayotaka kufanyika yanapasaswa kuendana na mabadiliko ya katiba. Huwezi kujenga. Tunashauri kwamba katiba ibadilishwe, tazama sheria inayohusu sheria ya uchaguzi, kilichofanyika wamekopi ibara ya 74 ya Katiba ikaitwa sheria ya uchaguzi. Hakuna kilichotatuliwa, uundwaji na uhuru wa tume bado haujashughulikiwa.

Katiba ya sasa haikujadiliwa hata kwa masaa 4 kwenye kuandokwa kwake, sasa ina umri wa mtu mzima. Katiba ndio msingi wa mamlaka tunayokabidhi kwa viongozi, sasa wewe tunakupa mamlaka kwa katiba hii unakwendaje kujipa mamlaka makubwa kuliko yale tuliyokupa?

Kinachotakiwa ni kutunga sheria kukwamua mchakato wa jaji Warioba, kuna sarakasi zilipigwa bungeni enzi hizo kukwamisha mchakato huo. Hapo ndipo kwenye mkwamo. Kazi hii ukiwapa watu serious inachukua miezi 3 tu, wao wanasema kila siku kuwa muda hautoshi, katiba ya India iliandikwa miaka 2 tu na mwezi 1 na ndio katiba kubwa zaidi duniani.

Yale niliyoshuhudia mimi, wanaoratibu wizi wakura ni maafisa wa uchaguzi, na wale wanasoma nyaraka za mahakamani, niliomba scrutiny of vote, huwezi amini afisa alirudi kwenye kituo cha kupiga kura akaanza kuchoma moto kura zangu. Nikaiandikia tume ya uchaguzi kwa barua kuwa nipo mahakamani, afisa wenu anachoma kura zangu, tume ikanijibu nipo mahakamani haiwezi kuingilia. Nimejaribu kuonesha experience yangu.

Mimi jimbo langu ni dogo sana, lakini nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais. Mimi niliibiwa kizembe 2015, lakini 2020 niliibiwa. Unadhani sasa hivi nikiibiwa kuna kesi itaenda mahakamani? Hapana. Itaenda Manslaughter.
 
Katiba ya sasa haikujadiliwa hata kwa masaa 4 kwenye kuandokwa kwake, sasa ina umri wa mtu mzima.

Yale niliyoshuhudia mimi, wanaoratibu wizi wakura ni maafisa wa uchaguzi, na wale wanasoma nyaraka za mahakamani, niliomba scrutiny of vote, huwezi amini afisa alirudi kwenye kituo cha kupiga kura akaanza kuchoma moto kura zangu. Nikaindikia tume ya uchaguzi kwa barua kuwa nipo mahakamani, afisa wenu anachoma kura zangu, tume ikanijibu nipo mahakamani haiwezi kuingilia. Nimejaribu kuonesha experience yangu.

Dr Slaa bado ni mzima haswa
 
Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa Habari wa Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi.

Mabadiliko ya Sheria yanayotaka kufanyika yanapasaswa kuendana na mabadiliko ya katiba. Huwezi kujenga. Tunashauri kwamba katiba ibadilishwe, tazama sheria inayohusu sheria ya uchaguzi, kilichofanyika wamekopi ibara ya 74 ya Katiba ikaitwa sheria ya uchaguzi. Hakuna kilichotatuliwa, uundwaji na uhuru wa tume bado haujashughulikiwa.

Katiba ya sasa haikujadiliwa hata kwa masaa 4 kwenye kuandokwa kwake, sasa ina umri wa mtu mzima. Katiba ndio msingi wa mamlaka tunayokabidhi kwa viongozi, sasa wewe tunakupa mamlaka kwa katiba hii unakwendaje kujipa mamlaka makubwa kuliko yale tuliyokupa?

Kinachotakiwa ni kutunga sheria kukwamua mchakato wa jaji Warioba, kuna sarakasi zilipigwa bungeni enzi hizo kukwamisha mchakato huo. Hapo ndipo kwenye mkwamo. Kazi hii ukiwapa watu serious inachukua miezi 3 tu, wao wanasema kila siku kuwa muda hautoshi, katiba ya India iliandikwa miaka 2 tu na mwezi 1 na ndio katiba kubwa zaidi duniani.

Yale niliyoshuhudia mimi, wanaoratibu wizi wakura ni maafisa wa uchaguzi, na wale wanasoma nyaraka za mahakamani, niliomba scrutiny of vote, huwezi amini afisa alirudi kwenye kituo cha kupiga kura akaanza kuchoma moto kura zangu. Nikaiandikia tume ya uchaguzi kwa barua kuwa nipo mahakamani, afisa wenu anachoma kura zangu, tume ikanijibu nipo mahakamani haiwezi kuingilia. Nimejaribu kuonesha experience yangu.

Mimi jimbo langu ni dogo sana, lakini nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais. Mimi niliibiwa kizembe 2015, lakini 2020 niliibiwa. Unadhani sasa hivi nikiibiwa kuna kesi itaenda mahakamani? Hapana. Itaenda Manslaughter.

sasa hiki ndio nini?
mbona hamna kipya wala cha maana 🐒
 
Back
Top Bottom