Tanzania kushirikiana na IEA katika nishati

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
742
479
Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini amekutana na Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Nishati (International Energy Agency - IEA) Bw. Faith Birol, tarehe 10 Januari, 2024

Viongozi hao wamejadili namna ya kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na shirika hilo (IEA) katika nyanja mbalimbali za sekta ya nishati hususan uendelezaji wa nishati salama na endelevu.

Mhe. Mwadini na Bw. Birol wamekubaliana kuendeleza jitihada za kuimarisha upatikanaji wa nishati safi ya kupikia (clean cooking energy) suala ambalo bado ni changamoto kwa nchi nyingi za Afrika.
20240111_121609.jpg
20240111_121606.jpg
 
Hizi ni maigizo kama maigizo mengine tu. Walikuja mabosi wa Acacia hapa wakapiga picha tukaambiwa wataleta pesa trilioni 300. Baada ya jiwe kufariki Kabudi akaja kukiri hadharani kuwa yalikuwa maigizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom