Ni wakati sasa nafasi za watendaji zipatikane kwa ushindani

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Huu ndo ukweli!

Kuna watu wengi wapo kwenye nafasi fulani za maamuzi na uongozi ambao hawana uwezo wa kufanya hizo kazi katika dunia hii ya ushidani.

Ni wakati sasa nafasi za watendaji zikapatikana kwa njia ya ushindani watu waombe wapimwe kutokana na uwezo wao wa kiakili na utendaji na sio kusema kila nafasi iteuliwe na Rais.

Tumefika hatua nchi hii watu hawawazi kuwa creative, hawawazi kuwa innovative ili wafanye mambo makubwa kwa ajili ya nchi na wananchi ila wanawaza wawe karibu na kiongozi fulani ili awakumbuke anapoteua nafasi ya u DAS, DED, RAS Katibu Mkuu au Mkurugenzi wa Shirika au Mjumbe wa Bodi la Shirika.

Mbaya zaidi anawaza kuteuliwa katika nafasi izo ili tu awe na maisha mazuri na aendeshwe kwenye gari zuri. Hakuna jambo kwa ajili ya nchi analiwaza katika hiyo nafasi.

Ndo mana kila siku watu wanalalamika usimamiaji mbovu wa miradi, ujenzi wa miradi chini ya viwango, ujenzi holela wa makazi bila kupangwa na kupimwa katika maeneo mengi ya nchi yetu, kutelelezwa miradi isiyoakisi hatua ya maendeleo ambayo dunia imefika sasa mfano ujenzi wa njia nyembamba za barabara mbili kila upande katika miradi mipya kwenye jiji la biashara la Dar es Salaa.

Ni wakati sasa tupate Mawaziri nje ya wabunge ambao hawa watathibitishwa na kupimwa na Bunge. Mawaziri hawa wateuliwe watu wenye ubobezi na historia ya ufanisi na mafanikio katika maeneo husika ili wanaposhauri itungwe sera fulani au wanashauri jambo fulani wawe wanashauri wakiwa na ubobezi na uelewa sawia wa maeneo hayo na namna dunia inavyoenda kwenye maeneo husika.

Wanaposimamia jambo wawe wanasimamia kwa lengo la kupata ufanisi na ubora.

Ni wakati sasa tupate wakurugenzi wa mashirika na taasisi wenye historia ya mafanikio na ufanisi ambao wameomba nafasi husika na kupimwa na kuchujwa vizuri na wakawekewa KPI ambazo zitapimwa na bodi zenye wajumbe waliopatikana kwa njia za ushindani na kupimwa uwezo wao vizuri

Ukweli usemwe tu. Tanzania ni kituko. Na tusipogundua hili kila siku tutazidi kuongea na kutoka ndita bila kupata ufumbuzi wa tatizo letu linalotukabiri.

Tuna ujinga mkubwa sana kwa wananchi wetu, tuna tabia za wizi na uroho wa mabadala ila endapo ukipataka ufumbuzi wa kikatiba unaweza kuwa moja ya mwarobaini mkubwa katika kutibu haya matatizo na kutufanya tupate maendeleo tunayostahili kuyapata.

Kupata watu sahihi katika uongozi ni tiba ya matatizo mengi tuliyonayo.
 
Naunga mkono hoja
 
Mnawinda nafasi za ulaji ti, mbona hamuongelei nafasi za mtendaji wa kijiji na mtaa
 
Hawa tunaowachagua wanafanya maajabu Gani? Wapo tu kupiga makofi hii nchi hii......Acha tu nipagi na yule mzee wa "piga tu" alipoulizwa kwann Tz ni maskini!
 
Hapana hawatatokana na vyama, kutakuwa na public interview watu wataeleza sera zao na watu watapima
 
Huu ndo ukweli!

Kuna watu wengi wapo kwenye nafasi fulani za maamuzi na uongozi ambao hawana uwezo wa kufanya hizo kazi katika dunia hii ya ushidani.

Ni wakati sasa nafasi za watendaji zikapatikana kwa njia ya ushindani watu waombe wapimwe kutokana na uwezo wao wa kiakili na utendaji na sio kusema kila nafasi iteuliwe na Rais.

Tumefika hatua nchi hii watu hawawazi kuwa creative, hawawazi kuwa innovative ili wafanye mambo makubwa kwa ajili ya nchi na wananchi ila wanawaza wawe karibu na kiongozi fulani ili awakumbuke anapoteua nafasi ya u DAS, DED, RAS Katibu Mkuu au Mkurugenzi wa Shirika au Mjumbe wa Bodi la Shirika.

Mbaya zaidi anawaza kuteuliwa katika nafasi izo ili tu awe na maisha mazuri na aendeshwe kwenye gari zuri. Hakuna jambo kwa ajili ya nchi analiwaza katika hiyo nafasi.

Ndo mana kila siku watu wanalalamika usimamiaji mbovu wa miradi, ujenzi wa miradi chini ya viwango, ujenzi holela wa makazi bila kupangwa na kupimwa katika maeneo mengi ya nchi yetu, kutelelezwa miradi isiyoakisi hatua ya maendeleo ambayo dunia imefika sasa mfano ujenzi wa njia nyembamba za barabara mbili kila upande katika miradi mipya kwenye jiji la biashara la Dar es Salaa.

Ni wakati sasa tupate Mawaziri nje ya wabunge ambao hawa watathibitishwa na kupimwa na Bunge. Mawaziri hawa wateuliwe watu wenye ubobezi na historia ya ufanisi na mafanikio katika maeneo husika ili wanaposhauri itungwe sera fulani au wanashauri jambo fulani wawe wanashauri wakiwa na ubobezi na uelewa sawia wa maeneo hayo na namna dunia inavyoenda kwenye maeneo husika.

Wanaposimamia jambo wawe wanasimamia kwa lengo la kupata ufanisi na ubora.

Ni wakati sasa tupate wakurugenzi wa mashirika na taasisi wenye historia ya mafanikio na ufanisi ambao wameomba nafasi husika na kupimwa na kuchujwa vizuri na wakawekewa KPI ambazo zitapimwa na bodi zenye wajumbe waliopatikana kwa njia za ushindani na kupimwa uwezo wao vizuri

Ukweli usemwe tu. Tanzania ni kituko. Na tusipogundua hili kila siku tutazidi kuongea na kutoka ndita bila kupata ufumbuzi wa tatizo letu linalotukabiri.

Tuna ujinga mkubwa sana kwa wananchi wetu, tuna tabia za wizi na uroho wa mabadala ila endapo ukipataka ufumbuzi wa kikatiba unaweza kuwa moja ya mwarobaini mkubwa katika kutibu haya matatizo na kutufanya tupate maendeleo tunayostahili kuyapata.

Kupata watu sahihi katika uongozi ni tiba ya matatizo mengi tuliyonayo.
Kama rais mwenyewe anapatikana kwa njia ya wizi wa kura, usitegemee kupata watendaji competent, maana uteuzi utaendana kwa mtindo wa kulindana, na nani anaweza kulinda mamlaka inayoingia madarakani kwa njia batili. Katika mazingira haya, kupata watu wenye uwezo stahiki inakuwa changamoto.
 
Hahaha
 
Huu ndo ukweli!

Kuna watu wengi wapo kwenye nafasi fulani za maamuzi na uongozi ambao hawana uwezo wa kufanya hizo kazi katika dunia hii ya ushidani.

Ni wakati sasa nafasi za watendaji zikapatikana kwa njia ya ushindani watu waombe wapimwe kutokana na uwezo wao wa kiakili na utendaji na sio kusema kila nafasi iteuliwe na Rais.

Tumefika hatua nchi hii watu hawawazi kuwa creative, hawawazi kuwa innovative ili wafanye mambo makubwa kwa ajili ya nchi na wananchi ila wanawaza wawe karibu na kiongozi fulani ili awakumbuke anapoteua nafasi ya u DAS, DED, RAS Katibu Mkuu au Mkurugenzi wa Shirika au Mjumbe wa Bodi la Shirika.

Mbaya zaidi anawaza kuteuliwa katika nafasi izo ili tu awe na maisha mazuri na aendeshwe kwenye gari zuri. Hakuna jambo kwa ajili ya nchi analiwaza katika hiyo nafasi.

Ndo mana kila siku watu wanalalamika usimamiaji mbovu wa miradi, ujenzi wa miradi chini ya viwango, ujenzi holela wa makazi bila kupangwa na kupimwa katika maeneo mengi ya nchi yetu, kutelelezwa miradi isiyoakisi hatua ya maendeleo ambayo dunia imefika sasa mfano ujenzi wa njia nyembamba za barabara mbili kila upande katika miradi mipya kwenye jiji la biashara la Dar es Salaa.

Ni wakati sasa tupate Mawaziri nje ya wabunge ambao hawa watathibitishwa na kupimwa na Bunge. Mawaziri hawa wateuliwe watu wenye ubobezi na historia ya ufanisi na mafanikio katika maeneo husika ili wanaposhauri itungwe sera fulani au wanashauri jambo fulani wawe wanashauri wakiwa na ubobezi na uelewa sawia wa maeneo hayo na namna dunia inavyoenda kwenye maeneo husika.

Wanaposimamia jambo wawe wanasimamia kwa lengo la kupata ufanisi na ubora.

Ni wakati sasa tupate wakurugenzi wa mashirika na taasisi wenye historia ya mafanikio na ufanisi ambao wameomba nafasi husika na kupimwa na kuchujwa vizuri na wakawekewa KPI ambazo zitapimwa na bodi zenye wajumbe waliopatikana kwa njia za ushindani na kupimwa uwezo wao vizuri

Ukweli usemwe tu. Tanzania ni kituko. Na tusipogundua hili kila siku tutazidi kuongea na kutoka ndita bila kupata ufumbuzi wa tatizo letu linalotukabiri.

Tuna ujinga mkubwa sana kwa wananchi wetu, tuna tabia za wizi na uroho wa mabadala ila endapo ukipataka ufumbuzi wa kikatiba unaweza kuwa moja ya mwarobaini mkubwa katika kutibu haya matatizo na kutufanya tupate maendeleo tunayostahili kuyapata.

Kupata watu sahihi katika uongozi ni tiba ya matatizo mengi tuliyonayo.
Well articulated mkuu.
 
Back
Top Bottom