Mbinu za awamu ya 5 kuifuta Chadema zilikuwa mosi Kuwanunua, pili Kuwafunga Jela na tatu Kuwanyang'anya Halmashauri walizoshinda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,996
Hayo ndio mapito waliyopitia Chadema awamu iliyopita

Tulishuhudia Kikundi cha wabunge na Madiwani waliounga mkono Juhudi, tulishuhudia akina Sugu walifungiwa Jela lakini zaidi tulishuhudia Halmashauri zilizoongozwa na Chadema kama Ilala, Kinondoni, Ubungo, Jiji la DSM nk zikiporwa na chama Tawala kwa hila

Tunamshukuru Mungu wa Mbinguni Siasa za kipuuzi na michongo sasa hazipo tena

Mungu wa Mbinguni Ibariki Tanzania
 
Yule shetani alichelewa kufa
 
mpaka wananchi tulionekena kuwa upande wa chadema tulitishiwa na kama ungekuwa mfanyabiashara ungekiona cha moto.
sabaya katumika sana kutishia wa wastaafu,wafanyabiashara wakubwa walionekana kuwa wapo na chadema kimawazo
 
Hayo ndio mapito waliyopitia Chadema awamu iliyopita

Tulishuhudia Kikundi cha wabunge na Madiwani waliounga mkono Juhudi, tulishuhudia akina Sugu walifungiwa Jela lakini zaidi tulishuhudia Halmashauri zilizoongozwa na Chadema kama Ilala, Kinondoni, Ubungo, Jiji la DSM nk zikiporwa na chama Tawala kwa hila

Tunamshukuru Mungu wa Mbinguni Siasa za kipuuzi na michongo sasa hazipo tena

Mungu wa Mbinguni Ibariki Tanzania
4. Kuwaua kwa kutumia wasiojulikana 5. Kutumia TRA/FIU kuwafilisi
 
Na mbinu za CHADEMA kutaka kukamata Dola ilikuwa kukubali Rushwa(kununulika) kwenda jela kwa kuleta Vurugu. Kujiteka, Uharakati uchwara, kususa na kuzira mpaka wakashindwa chaguzi.

Kwa kifupi walijitengenezea mazingira magumu na kwa hilo they're culpable. Unavuna ulichokipanda
 
Back
Top Bottom