Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu Watumishi wa Umma kufanya siasa za Majukwaani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,709
218,255
Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025.

Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la.

Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini, Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka.

Naomba kuwasilisha.
 
Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .

Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la

Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka .

Naomba Kuwasilisha
Watumishi wengine wana akili hawawezi kufanya jaribio la kuchangia mgombea wa chama kingine tofauti na CCM ,kiufupi wanajitambua na wanajua hatari yake,wakichanga ni kwa mgombea wa CCM tu.
 
Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .

Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la

Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka .

Naomba Kuwasilisha
Kila siku hapa JF wewe unadai katiba mpya kumbe hata iliyopo huijui. Ndio maana Samia anasema tuelimishane kwanza kwa miaka miwili mitatu kuhusu katiba, kabla ya kudai katiba mpya

Katiba ina maneno ya jumla tu, mengine unatapata katika sheria za utumishi wa umma (The Public Services Act)
 
Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .

Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la

Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka.

Naomba Kuwasilisha
Mkuu, hao ndiyo wanaweza kuwa ni walimu kweli, lakini ni makada wa CCM ambao wanafanya hivyo kimkakari kwa malengo ya kupenyeza agenda ya siri ya kisiasa kuwa Rais anaungwa mkono na kada ya walimu nchini.

Fomu yenyewe inapigiwa debe kuwa itolewe moja kwa ajili yake, yaani imshinde .mwenyewe kulipia ama watu wake wa karibu, sembuse iwe hawa mambugilo wanaoishi huko uswekeni!?
 
Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .

Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la

Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka.

Naomba Kuwasilisha
HIzo pesa hazijatoka kwenye mfuko wa chama cha walimu!
 
Waalimu wangefanya hvy kwa Mbowe usingekuja na nyee nyee nyee zako, tena ungesifia na kusema Mbowe ni mpango wa mungu
 
Tumesikia leo na siku zilizopita kwamba Walimu wa Mahali fulani wamechanga hela Taslimu kwa ajili ya kumchukulia fomu Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha CCM, Samia Suluhu ili agombee Urais 2025 .

Sasa wale wataalam wa Sheria za Nchi tunawaomba Wajitokeze hapa kufafanua ikiwa jambo hili la hawa Watumishi wa serikali hiki walichofanya ni sahihi ama la

Lengo la jambo hili zuri ni kuweka wazi ili Watumishi wengine kama Makuli wa Bandarini , Polisi na Wanajeshi ama watumishi wengine nao wamchangie hela za fomu Mgombea yeyote wa Chama chochote cha kisiasa wanachokitaka.

Naomba Kuwasilisha
Walimu ni kundi la watu wajinga sn wasemehe bure
 
Back
Top Bottom