Ndugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda ametoa maagizo ya chama kwa waziri wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa kumsimamisha kazi...
Wakuu,
Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali.
Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu...
Wanasiasa wenye mvuto na ushawishi kwa jamii chukueni tahadhari. Wapo watu wameletwa Duniani kuongozwa ila wanatamani kuongoza.
Kipindi hiki hali ya tamaa uwaka sana mioyoni mwa wanasiasa. Malipo...
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa
Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua.
===
"Mimi nimepata wasaa wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia...
Hapana shaka CCM ni SSH:
ACT-Wazalendo ni ZZK:
CHAUMMA ni HRS:
CHADEMA ni nani?
Maoni yangu;
-Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025...
Nchi inaenda vizuri sasa Chadema nao waanza kusikiliza kero za migogoro ya Ardhi kama Waziri Slaa. Safi sana.
Waziri Slaa upo?
https://youtu.be/9UCoZSg0Iv4?si=DgrXa7z7wsWBmgSt
Habari Tanzania!
Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea.
Kiukweli wananchi...
ZITTO ANAPOMFUNDA MBOWE KWA VITENDO.
Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mpigania demokrasia ndani ya vyama na serikali kwa ujumla Zitto kabwe aachia ngazi baada ya miaka kumi ya...
Ni furaha kila kona yenye watu Wenye Mapenzi Mema na Chadema baada ya kupatikana Wenyeviti wapya wa Mikoa wakiwemo Chacha Heche (Mara) na Gratian Matovu (Kagera)
Kituo kitakachofuata ni...
Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia...
Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana..
Walau hata kwa 40%
Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50%...
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine
Zitto Kabwe amesema wao...
Sheria hii inaweka masharti ya kusimamia uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, kufuta Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, 1985 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, 1979 na kuweka masharti mengine...
Kada wa CCM na Mwandishi nguli wa Habari Maulid Kitenge amesema Makada ndani ya CCM wanataka wale wote Waliotaka kuzuia Urais wa Dkt. Samia Wabanwe
Kitenge amesema Makada hao hawajafafanua...
Makosa ya 2015 na 2020 kupata wabunge bila Kupingwa yasijirudie tena, kuna haja ya kupata wabunge waliopita kwa jasho ili wakifika bungeni wafanye Kazi sio ndio ndio zinakuwa nyingi baadae...
Leo 25/03/2024 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, ambako amehutubia mkutano kabambe wa Hadhara kwenye eneo la SHOW VIEW kata ya Bomang'ombe .
Hali ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.