johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,023
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa
Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua.
===
"Mimi nimepata wasaa wa kusikiliza wananchi kwenye mikutano ya operesheni +255 Katiba mpya na kwenye mikutano ya hadhara, nimepata wasaa wa kuwasikiliza wananchi kwenye maandamano hata kwenye maisha ya kawaida wananchi wanatuambia iwe mvua, iwe jua pamoja na kudai marekebisho katika uchaguzi lakini jiandaeni kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 na hawa ni wananchi mitaani, vijijini walioporwa haki yao ya uchaguzi wanatuambia jamani eeh safari hii msisusie shirikini uchaguzi" -John Mnyika
Source: Jambo TV