Kila mbunge aliyeshiriki kupitisha mkataba wa bandari zetu atupishe 2025

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia Mwarabu.

Ingawa ninajua kiuhalisia ni kwamba kuna viongozi wakubwa kitaifa ambao wameneemeka na wataendelea kuneemeka na vizazi vyao.kutokana na mkataba huu mbovu.Pia kuna ma-chawa kina Maulid kitenge,Mwijaku na Baba Revo kwa mfano wa haraka na wa wazi.

Lakini niseme tu kwa uwazi.....
kama watanzania tungejitafuta na kujitambua!
Kama sio kuiondoa
CCM- Maslahi basi walau wabunge wake kwa 75% warudishwe majumbani na kupisha kizazi kipya cha Bunge.

Hii itatoa fundisho kwa wabunge kuwa wanajitambua majukumu yao pale wanapochaguliwa
Wanakwenda kujiwakilisha wao na matumbo yao Badala ya kwenda kuwawakilisha wapiga kura waliowapigia kura huko majimboni.

Ingawa hata upinzani pia tumeyaona madudu mengi ila kwa sasa naongelea Waliouza bandari zetu kwanza watupishe kama taifa.

Pia soma hii

Nina wasiwasi sana na ule mkataba wao waliouita wa miaka 30, walijua tu hawa viumbe vile maisha yanavyowachapa hawakatizi hiyo miaka, lakini mimi naamini kabisa huo mkataba wa bandari kwa mwarabu ni wa milele.

Mwarabu hawezi kuwa mjinga uingie nae mkataba wa awali usioonesha ukomo, na ndani ya huo mkataba muuite binding, na bado tena ndani ya mkataba huo mwarabu aruhusiwe kuanza majukumu yake baada ya kusainiwa, halafu baadae mje kunidanganya eti mmesaini mkataba mpya na mwarabu tena waliouficha wakatuonesha cover tu wa miaka 30!.

Bado naamini kabisa, ule mkataba wa pili na mwarabu ulikuwa ni ujanja wa kina Prof. Mbarawa na wenzake wizarani, wakaamua kututengenezea mkataba feki, ndani yake wakaona waje na terms zitakazojibu yale maswali yetu ambayo mwanzo yaliwashinda kuyajibu, terms ambazo hata hatukuziona, simply kwa ule mkataba mpya walitugeuza watoto tuamini mambo ambayo hatukuyaona.
 
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia
"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia Mwarabu.

Ingawa kiuhalisia ni kwamba kuna viongozi wakubwa kitaifa ambao wameneemeka na wataendelea kuneemeka na vizazi vyao.kutokana na mkataba huu mbovu.

Na kama watanzania tungejitafuta na kujitambua!
Kama sio kuiondoa
CCM- Maslahi vasi walau wabunge wake kwa 75% warudishwe majumbani na kupisha kizazi kipya cha Bunge.

Hii itatoa fundisho kwa wabunge kuwa wanajitambua majukumu yao!
Wanakwenda kujiwakilisha wao na matumbo yao Badala ya kwenda kuwawakilisha wapiga kura waliowapigia kura.

Hata upinzani pia tumeyaona madudu mengi ila kwa sasa naongelea Waliouza bandari zetu.

Pia soma hii

labda vibaraka walotumwa na mabwenyenye kuvuruga nchi na diaspora wasiopiga kura wanaweza kukuskiza na kuunga mkono maoni na mtazamo wako 🐒
 
Maamuzi yanategemea na kuona mkataba unasemaje,na kwneye mkataba lazima kuwe na pande 2 watakao kubali na kukataaa kama taifa tunatakiwa kuboresha vipengele vinavyotakikana kuondoshwe usiri wa mikataba,viongozi /wawekezaji huja na kuondoka taifa hubaki ila watakao umia ni watu wa chini.

why,Privatization?

Tatizo uwekezaji?hatuna watu wa kuendesha mfumo?au wizi what wrong?
 
Tatizo chadema ya wachaga inanunulika tofauti na chadema ya Dk Slaa
Nadhani pia sasa ni wakati muafaka sheria kubadilishwa ili tuweze kuwa na wagombea huru!

Maana tumeona wanasiasa wengi wazuri,jasiri na wazalendo. Wakiwekwa pembeni na mifumo ya vyama vyao.
Na hatimae kukosa kulitumikia taifa na wananchi kwa ujumla ingawa wamependwa kwa saana na raia huko Site.

Wewe Etwege rafiki na ndugu yangu....
Hili sidhani kama lina ubishi wowote maana mifano hai iko Mingi sana!
Watu kama Dk Slaa au kina Luhaga Mpina na Advocate Mwabukusi wanakosa platform ya kuwaleta kuwahudumia wananchi sababu ya huu mfumo wa ukandamizaji ndani ya vyama vya siasa nchini.
"Party Caucus".
 
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia
"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia Mwarabu.

Ingawa kiuhalisia ni kwamba kuna viongozi wakubwa kitaifa ambao wameneemeka na wataendelea kuneemeka na vizazi vyao.kutokana na mkataba huu mbovu.

Na kama watanzania tungejitafuta na kujitambua!
Kama sio kuiondoa
CCM- Maslahi vasi walau wabunge wake kwa 75% warudishwe majumbani na kupisha kizazi kipya cha Bunge.

Hii itatoa fundisho kwa wabunge kuwa wanajitambua majukumu yao!
Wanakwenda kujiwakilisha wao na matumbo yao Badala ya kwenda kuwawakilisha wapiga kura waliowapigia kura.

Hata upinzani pia tumeyaona madudu mengi ila kwa sasa naongelea Waliouza bandari zetu.

Pia soma hii

Kwanini Ssmia naye asipigwe chini kwa jambo hili ?
 
Tatizo kubwa la nchi hii kwa sasa ni Uchawa wa kizazi kipya.
Kuanzia mawaziri,RC's,DC's hadi kina Mwijaku,Kitenge na Baba Revo.

Nchi hii kama Magufuli aliwashindwa.
Tunahitaji nguvu za ziada na kujitoa akili kwa kipindi kifupi ili kufikia malengo!

Ebu imagine sasa hivi CCM imeanza mdogo mdogo kununua wapiga kura kiaina.
Mfano:
Jana tumemsikia Waziri wa maji Juma Aweso anautangazia Umma kwamba Rais SSH amewasamehe faini wananchi wote wa Tanzania waliokuwa wanadaiwa bili za maji eti kwamba warudishiwe Maji na wafanye Malipo tatartibu bila bughudha!

Je!
Hiyo imekaaje??
Kwa nini sasa ambapo tunajiandaa kama taifa kuingia kwenye chaguzi mbalimbali za kitaifa?
 
Nina wasiwasi sana na ule mkataba wao waliouita wa miaka 30, walijua tu hawa viumbe vile maisha yanavyowachapa hawakatizi hiyo miaka, lakini mimi naamini kabisa huo mkataba wa bandari kwa mwarabu ni wa milele.

Mwarabu hawezi kuwa mjinga uingie nae mkataba wa awali usioonesha ukomo, na ndani ya huo mkataba muuite binding, na bado tena ndani ya mkataba huo mwarabu aruhusiwe kuanza majukumu yake baada ya kusainiwa, halafu baadae mje kunidanganya eti mmesaini mkataba mpya na mwarabu tena waliouficha wakatuonesha cover tu wa miaka 30!.

Bado naamini kabisa, ule mkataba wa pili na mwarabu ulikuwa ni ujanja wa kina Prof. Mbarawa na wenzake wizarani, wakaamua kututengenezea mkataba feki, ndani yake wakaona waje na terms zitakazojibu yale maswali yetu ambayo mwanzo yaliwashinda kuyajibu, terms ambazo hata hatukuziona, simply kwa ule mkataba mpya walitugeuza watoto tuamini mambo ambayo hatukuyaona.

Wamefanya hadaa kubwa. Mkataba wa bandari ya Dar ni wa miaka 30 lakini IGA ni ya milele. Na IGA ndiyo inayosema kuwa ukiikiuka utashtakiwa mahakama ya SA na kuhukumiwa kwa sheria ya Uingereza.
 
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia
"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia Mwarabu.

Ingawa kiuhalisia ni kwamba kuna viongozi wakubwa kitaifa ambao wameneemeka na wataendelea kuneemeka na vizazi vyao.kutokana na mkataba huu mbovu.

Na kama watanzania tungejitafuta na kujitambua!
Kama sio kuiondoa
CCM- Maslahi vasi walau wabunge wake kwa 75% warudishwe majumbani na kupisha kizazi kipya cha Bunge.

Hii itatoa fundisho kwa wabunge kuwa wanajitambua majukumu yao!
Wanakwenda kujiwakilisha wao na matumbo yao Badala ya kwenda kuwawakilisha wapiga kura waliowapigia kura.

Hata upinzani pia tumeyaona madudu mengi ila kwa sasa naongelea Waliouza bandari zetu.

Pia soma hii

Cahagua yeyote unayemjua lakini sisi ndo tuna mandate ya kumtangaza mshindi. Siyo lazima tutangaze mliyemchagua
 
Wamefanya hadaa kubwa. Mkataba wa bandari ya Dar ni wa miaka 30 lakini IGA ni ya milele. Na IGA ndiyo inayosema kuwa ukiikiuka utashtakiwa mahakama ya SA na kuhukumiwa kwa sheria ya Uingereza.
Iko siku naamini hili jambo litakuja kuwekwa sawa hata kama litatugarimu kama nchi, lakini kwa sasa itoshe kusema tu; Samia ni msaliti.
 
Na on top of that...
Kumbe haiishii kwa Bandar ya Dar pekee bali Tanga na Mtwara pia zimekwenda kwa hio huo mkataba. Ujio wa DP Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu
Ndio maana nawaambia, hapo kinachofanyika ni makubaliano ya kwenye IGA, na wala sio ule mkataba wa Prof. Mbarawa na wenzake, wale jamaa ni waongo sana wasio na aibu.

IGA ndio ilisema makubaliano kati ya DPW na serikali yetu ni ya bandari zote, na hapo ndio maana ya hicho ulichoweka hapo juu.

Tofauti na ule uongo wa kwenye mkataba mpya wanaodai walimpa mwarabu miaka 30, kwa mantiki hiyo, hata hiyo miaka 30 nayo ni uongo mtupu, bandari zetu zimetolewa milele.
 
Back
Top Bottom