Freeman Mbowe arejea Jimboni Hai, Umati wajitokeza Bomang'ombe kumsikiliza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,772
218,393
Leo 25/03/2024 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, ambako amehutubia mkutano kabambe wa Hadhara kwenye eneo la SHOW VIEW kata ya Bomang'ombe .

Hali ndio kama mnavyoiona

Screenshot_2024-03-25-22-38-30-1.png
Screenshot_2024-03-25-22-36-24-1.png
Screenshot_2024-03-25-22-28-17-1.png
 
Siku hizi Mikutano ya Chadema inaandaliwa kwa nusu saa tu , Muhimu kuwe na Spika na umeme tu , Watu ni kama wanasubiri tu Chadema itangaze Mkutano Wajae.
"""Hao wananchi masikini ya mungu hawafahamu ya kuwa mtu anayeongea sana ni vigumu kuwaletea maendeleo"""
 
Ukiachilia michango hii,

  • Fedha za join ze chain zilipatikana bei gani na ziko wapi?
  • Ruzuku ya Tsh. 2.7/- Mbowe umekula na nani? Hii fedha mtakuja kusema hapa kama sio hisani ni haki yenu, lakini mkumbuke kwamba baada ya uchaguzi mkuu 2020 mkatamka wazi kwamba, hamtochukua ruzuku kwani kufanya hivyo ni kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu 2020, ila 2023 mmefanya hivyo na mmekaa kimya..

- Fedha za matibabu ya Prof. J hamkuwahi kusema mlipata bei gani na hata siku moja hatukuona mkitoa msaada kwa mgonjwa huyo!
Fedha za Michango ya wahanga wa Mafuriko kule HANANG mtaziwakilisha na kuzikabidhi lini kwa wahanga?
Je!inakuwaje mnatumia RUZUKU kulipana posho za kujikimu kwenye Maandamano ambayo kimsingi ni ya Hiari?

Inakuwaje mwenyekiti wa Chadema ambacho kinajinasibu kuwa mtetezi wa watanzani, ana wadhurumu waandishi wa habari wa "Tanzania Daima" Gazeti ambalo ndio hasa lolikuwa msingi wa Propaganda za Chadema na kusaifia kwa kiasi kikubwa kuipaisha Chadema had kufikia hapo ilipo?

Je tukisema kwamba Mbowe hafai kuwa kiongozi wa kariba ya uongozianaojinasibu kuwa nao mtatuona wabaya?

Maswali hayo hapo juu ukiwa ndani ya chadema kama utayauliza, utakuwa au naweza kuwa ume sign your death warranty!
 
Kama hiyo ndiyo idadi ya watu waliohudhuria mkutano wa Mbowe, halafu ni kwao Hai kwa wamachame wenzake ambako pia aliwahi kuhudumu kama mbunge; basi Mbowe kwisha habari yake.

Akazanie tubiashara twake huenda akazeeka akiwa na uhakika wa kupata chai.
Siasa kwake kwa sasa...imemshinda.
 
Ruzuku ya Tsh. 2.7/- Mbowe umekula na nani? Hii fedha mtakuja kusema hapa kama sio hisani ni haki yenu, lakini mkumbuke kwamba baada ya uchaguzi mkuu 2020 mkatamka wazi kwamba, hamtochukua ruzuku kwani kufanya hivyo ni kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu 2020, ila 2023 mmefanya hivyo na mmekaa kimya..
Kwani trilioni 15 ya ccm walikula akina nani?
Hesabu si zinakaguliwa na CAG, kuna ulaji ulionekana?
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha utapiamlo wako wa akili!
 
Kwanza watakuwa ni wajinga wakidhan mbunge ndio analeta maendeleo, well haijalishi chama anayotokea.
Lakini uzuri machame hamna poyoyo jamii ina wasomi hadi vijijini. Si rahis
Kwa hiyo wanapenda ngonjera bila kuhoji, masuala ya msingi, ndani ya kipindi chake kilichopita.
""Karudi baba mmoja toka safari ya mbali, kavimba yote mashavu naku tetemeka mwili"
 
Back
Top Bottom