Makada CCM wadaiwa kusema waliotaka kuzuia Urais wa Samia wabanwe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,009

Kada wa CCM na Mwandishi nguli wa Habari Maulid Kitenge amesema Makada ndani ya CCM wanataka wale wote Waliotaka kuzuia Urais wa Dkt. Samia Wabanwe

Kitenge amesema Makada hao hawajafafanua Ubanaji huo uweje

Source: Wasafi Media
 
Back
Top Bottom