Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kidogo kwa miongo kadhaa kiasi kwamba jambo hili limeota mizizi au linaota mizizi nalo ni katika kufanya mambo yetu tunaweka nafasi zetu au ubinafsi mbele kuliko...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria...
18 Reactions
103 Replies
11K Views
Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni...
13 Reactions
117 Replies
23K Views
WATU WAMEKUA WAKIZITUMIA TAASISI HIZI KUTAFUNA PESA ZA WALIPA KODI KWA MIRADI ISIYO NA NYUMA WALA MBELE. Mfano Tanroad waliwahi kujenga maagesho ya magari pale Mbezi kwa Msuguri baada ya mwaka...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Mamlaka za Marekani zimeipiga faini ya dola milioni 222 kampuni ya programu kwa kutoa rushwa katika nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania, nchi nyingine ni Kenya, Afrika Kusini, Ghana, Malawi...
4 Reactions
28 Replies
20K Views
1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha. 2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu! 3. "Mwabukusi...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23. Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi. Hata hivyo...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Watu huko CCM wameanza kufunguka, Kigwangala anakuambia kuna Viongozi wananunua majumba ya Dolla Million 6 kule Masaki ndani ya kipindi kifupi tangu wawe Viongozi.Hajawataja ni wakina nani hasa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Mbowe ametangaza maandamano mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 24 January 2024 huku Makamu Mwenyekiti wa akiwa nchini Ivory Coast kuipa hamasa Taifa Stars. Kwa mujibu wa Lissu atakuwa nchini...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanabodi, Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ikiwa Chalamila atafanya hivyo, tafsiri itakuwa hivi:- 1. Serikali haina nia njema kuelekea chaguzi zinazokuja huko mbeleni kwani kama Serikali ingekuwa na nia njema, badala ya kutumia nguvu...
4 Reactions
14 Replies
950 Views
Kipindi cha Kikwete Upinzani wameshinda sana chini ya usimamizi wa Wakurugenzi wa Halimashauri. Ni Magufuri ndio alikuja na vitisho kwa Wajurugenzi na kuwavuruga kabisa. Hawakuwaga na shida kwenye...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Katika interview aliyofanyiwa Bwana Kigwangala ameonyesha wasiwasi wa kuwa wanasiasa wenzake katika chama chake wanafanya kufuru ya wizi wa mali za umma kununua majumba katika maeneo...
0 Reactions
3 Replies
747 Views
Sijawahi kumwona Makonda akifanya mjadala wala mdahalo wowote wenye tija na usio na tija kuhusu chama chake na nchi kwa ujumla. Leo anapoomba mdahalo anataka kutuambia ametambua umuhimu wa...
2 Reactions
7 Replies
797 Views
Kuna Mdau mmoja wa Kitengo aliwahi nitonya kwamba wakati wa Kampeni zile nguo za kuhonga wapiga kura, Tshirt, Kofia na Kanga huwa zinafanyiwa mazindiko makubwa sana ambayo anaye Vaa husahua kila...
1 Reactions
6 Replies
903 Views
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana Pia, Soma: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Sun Tzu ni mwandishi wa sanaa ya vita na mikakati ya kijeshi ninayempenda na anayesifika kwa falsafa na mawazo yaliyoathiri majeshi mengi ya magharibi na mashariki ya bara la Asia. Miongoni mwa...
2 Reactions
3 Replies
680 Views
Sasa saa imefika kwa viongozi wetu wa Dini kutotenganisha Dini na Siasa. Wakati umefika viongozi wetu wa Dini wasikubali tena kuambiwa eti Siasa haiwahusu wao kama viongozi wa Dini kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
471 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…